Mcqueenen
JF-Expert Member
- Nov 2, 2019
- 7,368
- 12,964
Aisee nilikuambia matusi hayana nafasi hapa ni Hoja TU mpaka ukimbie.Sikiliza ulivyokuwa mjinga na fala sio unajua zipo hadihi sahili na masimulizi ya ovyo Kama unayoleta nitajie wale waimam wakuu then uje na huo ujinga wako
Unaanza kuleta stori za maimam Tena hapa? Maimam waliozaliwa juzi TU na kukuta stori zote za uislam zimeandikwa na watu kama kina Bukhari,Al Tabari,Ibn Ishaq??
Embu kwanza kasome hiyo Al Tabari ndo urudi hapa.