Gobole Lenye Risasi
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 11,519
- 23,693
Nakula....WALA SIPENDI KUWA MNAFIQ NA KUNA "WENZANGU" WENGI TU NAO WANAKULA NA WANAKIPONDA SANA KWA WATU. KAMA WENGINE WANAVYOZINI AU IBA NA KUCHUKIA WEZI AU WAZINIFU. NAAMINI WEWE HULI. UTAENDA AKHERA.Uliponiambia tu unakula kiti moto nimeishia hapo.
Hili ni kweli hapo huwa nashindwa kuelewa kwa nini hawa Makafir wawe tena wanajali jasho la mtu kuliko sisi waja waungwana.Waarabu wako tofauti sana na uislam unavyotaka sijui kwanini
Uislam unataka mtu anapokufanyia kazi umlipe fasta kabla jasho halijakauka lkn waarabu ni wasumbufu utasema dini hawaijui
Wazungu kwenye malipo na kuheshimu mkataba wa kazi wapo vizuri sana, hata malipo yao yapo vizuri tofauti na waarabu
Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
Ni kheri umekuwa real.Nakula....WALA SIPENDI KUWA MNAFIQ NA KUNA "WENZANGU" WENGI TU NAO WANAKULA NA WANAKIPONDA SANA KWA WATU. KAMA WENGINE WANAVYOZINI AU IBA NA KUCHUKIA WEZI AU WAZINIFU. NAAMINI WEWE HULI. UTAENDA AKHERA.
Safi. Umekuwa miongoni mwa wachache waliojua siri nzitoI am spiritual not religious…naambiwa nimeasi [emoji23][emoji23][emoji23]. Several times watu wananiuliza mimi dini gani na huwa nawajibu love is my religion.
😂😂 Aisee...... akanilipa mishahara mitatu akasema asinione tena kwake. Na kwa kuwa mtakaba ulikuwa umeisha nikasema poa tu maana tungepeana kesi.
Leo umeanza kuongea sense..kiufupi hizi imani nitamaduni za watu..shida sisi waafrika tulizibeba kama zilivyo bila kujua hizo ni tamaduni zao.Asili ya Asia ni roho mbaya sana kutokana na walivyo ni sawa na hapa bongo hata umkute muislamu wa kibena au mchaga utakuta anakunywa pombe na utapeli kama kawaida iyo ni asili yao . Kule america na Europe hawanaga asili hizo coz wale ni matajiri tangu kitambo .
Sema waarabu na wahindi hata mm nakuunga mkono ila uislamu unasema "mpe ujira mfanyakazi kabla jasho lake halijakauka" .Nakuunga mkono
Binafsi Nina rafiki yangu ni mtu wa kibosho ni muislamu anaswali ila akipenda kwao anakula kitimoto na pombe anakunywa .point yangu kila kitu ni asili dini zipo tu ila asili Ina matter mno .
I wish hii siku ije..dini ni upuuzi kama upuuzi mingine tena kwa miafrika ndio imekuwa ujinga na uchizi ulopitiliza.Dini ni KANSA kubwa sana iliompata binadamu.
Watu wanadhani dini imekuwepo tokea binadamu awepo...Wakati dini ya zamani kabisa kuliko zote (Zoroastrianism) ni ya juzi juzi TU (Miaka 7000 iliyopita)...wakati binadamu tuna zaidi ya Miaka laki 2 hapa duniani.
Lakini msijali....Miaka ya mbele hizi dini zitabaki kwenye vitabu vya historia TU.
Vyema ukakojoe ulale..Na hili ndio tatizo la members wengi hukurupuka kujibu ama kuunga mkono hoja iliyotolewa na mleta mada bila kujua dhumuni la mada yake, tumuogopeni sana Mwenyezi Mungu ndugu zangu, msipende kuchangia/kuunga mkono hoja bila kujua ukweli.
Hapo anaelengwa si mwingine bali ni Muislamu/mwarabu, msipokua makini na huu uzi mtajiingiza kwenye dhambi ndugu zangu.
Ahsante, jioni njema wananzengo.