Katika hili nimejifunza kitu kikubwa sana kuhusu hizi Races

Uislam ni mwema sana. Ni mfumo wa maisha uliokamilika, bila kero wala fungu la kumi.
Ha ha ha.... Hili mwambie mtu ambaye haufaham Uislamu. Kwa mimi ambaye nimelelewa na baba muislamu na babu naufahamu. Mimi nliamua kubaki kafir. Sababu nliona unafiq mkubwa sana katika Dini ambao siwezi danganywa. Nimetengwa na kunyanyaswa sababu ya ukafir. So huwezi nidanganya kuna wema katika uislamu.
 
Wewe ulikuwa ukoo wa Waislam jina siyo wa Kiislam.

IMG-20240420-WA0034.jpg
 
Huwa sipendi kabisa kuzungumzia Dini. Sababu mimi nimeshaitwa majina mengi sana. Ila huwa sijali mzee wangu ni Al Haj, Sheikh ila si Sheikh njaa. Anakazi na miradi yake mingi tu.

Mimi huwa wanasema nina asili ya uasi. Yaani pamoja na kuzaliwa katika Dini bado nina ishi kama kafri/kafir. Sababu ni kweli huwa mara moja moja nakula kitimoto.

Sipendi unafiki sababu namjua mzee hali kitimoto ila huwa naye ana issues zake. Anawakamua sana mabinti. Hanywi pombe lakini mtu ambaye akikusomea mistari flani unaweza ondoka hivi hivi. Mtu wa Dini sana.

Mimi nimefanikiwa kufanya kazi na Wazungu wawili tofauti na waarabu rafiki zake Mzee kama watatu na Mhindi mmoja. Kiukweli ktik hao wote wazungu makafir ndiyo ambao walikuwa wananiheshimu na wanalipa vizuri.

Wale waarabu wangu sababu ya mzee tu walikuwa wananionea aibu lakini kwa wafanyakazi wengine walikuwa wananyanyaswa sana. Hasa ambao si Waislamu. Walinyanyasika sana. Na hawa waliajiriwa tu kwa kuwa hakukuwa na wenzetu wenye uwezo wao.

Mmoja huyu alikuwa wa Dubai angalau alikuwa na madhaifu yake lakini anajali somehow ukilinganisha na wenzie. Jamaa hawa ni wakatili muda pekee unaweza enjoy ni kipindi cha Ramadhan. Hapo walikuwa angalau wanatupa na tende tukale sabab zilikuwa zinaletwa nyingi sana.

Wazungu si malaika ila katika kazi walituheshimu sisi waswahili na kutulipa kwa wakati na likizo tuliambiwa ni lazima huku tukilipwa bila tatizo. Mhindi yeye ndo alikuwa anachukia sana likizo. Sana. Ingawa alikuwa ni swala tano. Alitunyanyasa kwenye malipo na kututafutia sababu ya kutuka mshahara.

Ila naye tunashukuru wakati wa mfungo alitupa tende,mchele na sukari. Ila mfungo ukiisha alikuwa na matusi kama kawaida mpaka siku nlipofungiana naye ndani. Nlifunga mlango ofisini nikamwambia sasa anieleze vizuri mama yangu alikuwa anafanya kazi katika kitengo gani pale kazini. Baada ya kuwa amemtaja kwa dhihaka.

Aliomba msamaha maana nlikuwa nmefunga mlango na nimemkaba nataka mtoa roho mbwa yule.akanilipa mishahara mitatu akasema asinione tena kwake. Na kwa kuwa mtakaba ulikuwa umeisha nikasema poa tu maana tungepeana kesi.

Mimi mkija hapa na imani za wenzenu (maana wazungu na waarabu ndo wana imani ninyi ni watumwa tu au mateka) nitawababua kishenzi mi huwa nazisoma Dini zote sasa leteni wazimu wenu muone.
Sasa hao waarabu ndo wamepewa Bandari yetu na ndugu zetu wameamua kuchagua wafanye na nani kati ya serikali au mwarabu.
Dini ni usen... sana umeficha watu wenye roho mbaya ndiyo maana Mungu anajidhihirisha kwa wazungu kila kitu kinatoka kwao
 
Huwa sipendi kabisa kuzungumzia Dini. Sababu mimi nimeshaitwa majina mengi sana. Ila huwa sijali mzee wangu ni Al Haj, Sheikh ila si Sheikh njaa. Anakazi na miradi yake mingi tu.

Mimi huwa wanasema nina asili ya uasi. Yaani pamoja na kuzaliwa katika Dini bado nina ishi kama kafri/kafir. Sababu ni kweli huwa mara moja moja nakula kitimoto.

Sipendi unafiki sababu namjua mzee hali kitimoto ila huwa naye ana issues zake. Anawakamua sana mabinti. Hanywi pombe lakini mtu ambaye akikusomea mistari flani unaweza ondoka hivi hivi. Mtu wa Dini sana.

Mimi nimefanikiwa kufanya kazi na Wazungu wawili tofauti na waarabu rafiki zake Mzee kama watatu na Mhindi mmoja. Kiukweli ktik hao wote wazungu makafir ndiyo ambao walikuwa wananiheshimu na wanalipa vizuri.

Wale waarabu wangu sababu ya mzee tu walikuwa wananionea aibu lakini kwa wafanyakazi wengine walikuwa wananyanyaswa sana. Hasa ambao si Waislamu. Walinyanyasika sana. Na hawa waliajiriwa tu kwa kuwa hakukuwa na wenzetu wenye uwezo wao.

Mmoja huyu alikuwa wa Dubai angalau alikuwa na madhaifu yake lakini anajali somehow ukilinganisha na wenzie. Jamaa hawa ni wakatili muda pekee unaweza enjoy ni kipindi cha Ramadhan. Hapo walikuwa angalau wanatupa na tende tukale sabab zilikuwa zinaletwa nyingi sana.

Wazungu si malaika ila katika kazi walituheshimu sisi waswahili na kutulipa kwa wakati na likizo tuliambiwa ni lazima huku tukilipwa bila tatizo. Mhindi yeye ndo alikuwa anachukia sana likizo. Sana. Ingawa alikuwa ni swala tano. Alitunyanyasa kwenye malipo na kututafutia sababu ya kutuka mshahara.

Ila naye tunashukuru wakati wa mfungo alitupa tende,mchele na sukari. Ila mfungo ukiisha alikuwa na matusi kama kawaida mpaka siku nlipofungiana naye ndani. Nlifunga mlango ofisini nikamwambia sasa anieleze vizuri mama yangu alikuwa anafanya kazi katika kitengo gani pale kazini. Baada ya kuwa amemtaja kwa dhihaka.

Aliomba msamaha maana nlikuwa nmefunga mlango na nimemkaba nataka mtoa roho mbwa yule.akanilipa mishahara mitatu akasema asinione tena kwake. Na kwa kuwa mtakaba ulikuwa umeisha nikasema poa tu maana tungepeana kesi.

Mimi mkija hapa na imani za wenzenu (maana wazungu na waarabu ndo wana imani ninyi ni watumwa tu au mateka) nitawababua kishenzi mi huwa nazisoma Dini zote sasa leteni wazimu wenu muone.
Upo sahihi kabisa, halafu Wazungu si Wanafiki....hata kama ni Mzinzi au Mleci hafichi fichi, na kuvaa kama ni Mwanamke hajivungi...ila sasa Waarabu kwa kujidai watakatifu lakini WACHAFU SANA na wana ROHO MBAYA SANA
 
Nakula....WALA SIPENDI KUWA MNAFIQ NA KUNA "WENZANGU" WENGI TU NAO WANAKULA NA WANAKIPONDA SANA KWA WATU. KAMA WENGINE WANAVYOZINI AU IBA NA KUCHUKIA WEZI AU WAZINIFU. NAAMINI WEWE HULI. UTAENDA AKHERA.
Na unataka kutuaminisha kuwa ni muislam?? Swali dogo nikuulize ni nini tofauti kati ya muislaam na asiyekuwa muislaam??
 
Keep to your faith. With our evils we will never recognized good.
 
Huwa sipendi kabisa kuzungumzia Dini. Sababu mimi nimeshaitwa majina mengi sana. Ila huwa sijali mzee wangu ni Al Haj, Sheikh ila si Sheikh njaa. Anakazi na miradi yake mingi tu.

Mimi huwa wanasema nina asili ya uasi. Yaani pamoja na kuzaliwa katika Dini bado nina ishi kama kafri/kafir. Sababu ni kweli huwa mara moja moja nakula kitimoto.

Sipendi unafiki sababu namjua mzee hali kitimoto ila huwa naye ana issues zake. Anawakamua sana mabinti. Hanywi pombe lakini mtu ambaye akikusomea mistari flani unaweza ondoka hivi hivi. Mtu wa Dini sana.

Mimi nimefanikiwa kufanya kazi na Wazungu wawili tofauti na waarabu rafiki zake Mzee kama watatu na Mhindi mmoja. Kiukweli ktik hao wote wazungu makafir ndiyo ambao walikuwa wananiheshimu na wanalipa vizuri.

Wale waarabu wangu sababu ya mzee tu walikuwa wananionea aibu lakini kwa wafanyakazi wengine walikuwa wananyanyaswa sana. Hasa ambao si Waislamu. Walinyanyasika sana. Na hawa waliajiriwa tu kwa kuwa hakukuwa na wenzetu wenye uwezo wao.

Mmoja huyu alikuwa wa Dubai angalau alikuwa na madhaifu yake lakini anajali somehow ukilinganisha na wenzie. Jamaa hawa ni wakatili muda pekee unaweza enjoy ni kipindi cha Ramadhan. Hapo walikuwa angalau wanatupa na tende tukale sabab zilikuwa zinaletwa nyingi sana.

Wazungu si malaika ila katika kazi walituheshimu sisi waswahili na kutulipa kwa wakati na likizo tuliambiwa ni lazima huku tukilipwa bila tatizo. Mhindi yeye ndo alikuwa anachukia sana likizo. Sana. Ingawa alikuwa ni swala tano. Alitunyanyasa kwenye malipo na kututafutia sababu ya kutuka mshahara.

Ila naye tunashukuru wakati wa mfungo alitupa tende,mchele na sukari. Ila mfungo ukiisha alikuwa na matusi kama kawaida mpaka siku nlipofungiana naye ndani. Nlifunga mlango ofisini nikamwambia sasa anieleze vizuri mama yangu alikuwa anafanya kazi katika kitengo gani pale kazini. Baada ya kuwa amemtaja kwa dhihaka.

Aliomba msamaha maana nlikuwa nmefunga mlango na nimemkaba nataka mtoa roho mbwa yule.akanilipa mishahara mitatu akasema asinione tena kwake. Na kwa kuwa mtakaba ulikuwa umeisha nikasema poa tu maana tungepeana kesi.

Mimi mkija hapa na imani za wenzenu (maana wazungu na waarabu ndo wana imani ninyi ni watumwa tu au mateka) nitawababua kishenzi mi huwa nazisoma Dini zote sasa leteni wazimu wenu muone.
😅
 
Demu wa Fulani alikuwa anaitwa Zainabu.

Ni ustaadhat Ile mbaya.

Kila akija geto kufanya yetu anasema nimuandaliwe NOAH nusu kilo na ndizi zake Tatu plus bia yake ya Serengeti lite[emoji2].

Kwanza nilikuwa siamini kama anakitafuta nilienda ninua nikakiweka ndani. Nikasema asipokuwa nitakula mwenyewe.

Alipokuja alikifakamia hatari akasema ana hamu Nako hajala long time.

Nikamuliza vipi wakikudaka maustaadh utasemaje. Akasema hata wao wanakula WATAJIJU[emoji1787].

Hapo hapo Kuna mzee mmoja USTAADH Ile mbaya yaani swala Tano na ana sigda kabisa kichwani hakosi swala.

Ana wake wawili. Mke mkubwa ni mkristo. Kazaa nae watoto watatu wote waislamu. Katika wale mabinti mmoja akanipa stori kwamba kitimoto anakula kama kawa na mama yake anafuga kitimoto pale home kwao katika nyumba aliyojenga mzee wake USTAADH.

Trust me kitimoto hakina makosa ila Imani zetu ndio Zina matege.

Watu wanakamua Noah kama Hawana akili vizuri.

Pale Tanga mjini Kuna sehemu Iko majani mapana ndani ndani hivi sio mbali sana shule ya Galanos Kuna maustaadh wanaagizia NOAH sana. [emoji2][emoji2][emoji1787]
NOAH Hoyeeeee NOAH 🐷🐷🐷Mashalaaah! siyo Mashalaaaah Alhamdulilah kwa Allah kutuletea hyu kiumbe🐷🐷🐷 yan Mashallah kinaonekana kiliumbwa na mchanga wa Pwani 😋😋
 
si umeona mbuzi katoliki alivyo mtamu kaka.
nitumie mawasiliano hako PM nikutumie ya kilo moja.
 
Mtu akisema dini ni chuki, watu wanabisha kisa wamesokotewa humo kwenye dini hakuna kitu wanaelewa humo..
 
Kuna mtu mtaani anaviela ela ni swala tano ila daah ni anaroho mbaya watu wanamfanyia azi tena ya zege alafu hawalipi yani yupo radhi kwenda polisi kuwalipa waje wawatimue wale watu yani adi waislam wenzje waliona aibu maana si tuliwauilza si anaswali huyu mbona anawafayia watu hivi ilibidi wamkatae uislam aupo ivo
 
Back
Top Bottom