Katika hili viongozi wa kiislamu hamtendi Haki

chumachakavu

Member
Joined
Oct 1, 2017
Posts
55
Reaction score
103
Mambo yanayoendelea nchini kila mmoja anajua, watu wanatekwa, kuumizwa, na kuuwawa lakini viongozi wetu wa kiislam mpo kimya na wengine mmekuwa watetezi juu ya mambo ya haya. Kimsingi mimi ni Muislam lakini kwenye kusimama upande wa haki nawapa kongole viongozi wa madhehebu ya kikristo. Mnafanya kazi ya Mungu ipasavyo endeleeni kukemea mambo ya hovyo Mungu anaona na Dunia inaona.
 
Tatizo Uisilamu wa kipindi cha Mtume Muhammad (S.A.W) na hawa wa sasa ni vitu viwili tofauti,nahisi huu ni Uisilamu wa Saudia Arabia tofauti na ule wa Afghanistani na Irani,yaani hawa mashekhe wako kimaslai zaidi ya kidunia tofauti na pepo,
Ulishawahi kuyasoma hadithi ya Ali bin Twalibu yule ndugu na Mtume Muhammad alivyofanyiwa fingusi na Maswahaba wa mtume?
 
kajifunze kwanza maana ya kafir halafu labda utaelewa, uislamu uko vitani dhidi ya wanaouita "mfumo Kristo" tangia uhuru, na inavyoonekana wanashinda, hivyo jiandaeni kwa yanayokuja hii ni trailer tu movie yenyewe bado ...
 
Wazungu wengi leo wanaslimu kutokana na tabia nzuri ya utamaduni wa Waislamu kuanzia mavazi mpaka haki na hii ni kwa ajili ya Waisilamu wenye misimamo wanaotokea mashariki ya mbali wanaokimbilia ulaya kwenda kutafuta hifadhi siyo hawa wa Saudia Arabia ambao viongozi wetu wa dini ya Kisilamu wa Tanzania ndiyo wanawafwata
 
Mambo yanayoendelea nchini kila mmoja anajua,watu wanatekwa,kuumizwa,na kuuwawa lakini viongozi wetu wa kiislam mpo kimya na wengine mmekuwa watetezi juu ya mambo ya haya .Kimsingi mimi ni Muislam lakini kwenye kusimama upande wa haki nawapa kongole viongozi wa madhehebu ya kikristo.Mnafanya kazi ya Mungu ipasavyo endeleeni kukemea mambo ya hovyo Mungu anaona na Dunia inaona.
Compare the two

its part of the plot, unafikiri kwa nini muslims wanapelekwa western Christian countries? europe has fallen tayari.

europe has fallen already ...

1755759421027.png
 
Sizani hawa Mashekhe wa Tanzania wanaweza kumshawishi mtu aslimu, labda asliim kwa sababu zake mwenyewe,kiasi kwamba wamewafanya leo hii Wanawake wa kiislamu waone kimbilio lao la kutatua shida zao kwa wachungaji wa kilokole
 
Wazungu wengi leo wanaslimu kutokana na tabia nzuri ya utamaduni wa Waislamu kuanzia mavazi mpaka haki na hii ni kwa ajili ya Waisilamu wenye misimamo wanaotokea mashariki ya mbali wanaokimbilia ulaya kwenda kutafuta hifadhi siyo hawa wa Saudia Arabia ambao viongozi wetu wa dini ya Kisilamu wa Tanzania ndiyo wanawafwata
Huwajui Wazungu wewe Mbweha. Wakimaliza Kuwadukua WANAWATWANGA kama inavyopigwa Gaza na Iran.

Mkishiba Ubwabwa akili inahamia jikoni
 
Mambo yanayoendelea nchini kila mmoja anajua,watu wanatekwa,kuumizwa,na kuuwawa lakini viongozi wetu wa kiislam mpo kimya na wengine mmekuwa watetezi juu ya mambo ya haya .Kimsingi mimi ni Muislam lakini kwenye kusimama upande wa haki nawapa kongole viongozi wa madhehebu ya kikristo.Mnafanya kazi ya Mungu ipasavyo endeleeni kukemea mambo ya hovyo Mungu anaona na Dunia inaona.
Ndio ujue stori za:

  • Dini ya haki
  • Waislam walipigania Uhuru
  • Dini ya amani

Zote ni stori za UWONGO ambazo ukicheki sababu kubwa ni NJAAAA tu.

Ali Kibao kauliwa kikatili, ila hakuna Sheikh anasema, wanasema watu wanaojali utu tu ambao hata siyo Waislam.
 
kajifunze kwanza maana ya kafir halafu labda utaelewa, uislamu uko vitani dhidi ya wanaouita "mfumo Kristo" tangia uhuru, na inavyoonekana wanashinda, hivyo jiandaeni kwa yanayokuja hii ni trailer tu movie yenyewe bado ...
Ali Kibao ni kafir( mkristo)

Mm ni muslim kwa style hii huko mbele tusije kulalamika pia.
 
Ndio ujue stori za:

  • Dini ya haki
  • Waislam walipigania Uhuru
  • Dini ya amani

Zote ni stori za UWONGO ambazo ukicheki sababu kubwa ni NJAAAA tu.

Ali Kibao kauliwa kikatili, ila hakuna Sheikh anasema, wanasema watu wanaojali utu tu ambao hata siyo Waislam.
Tunaojua Uisilamu labda tukwambie ni Dini ya kiume kwelikweli kutokana na hadithi zake tunazofundishwa,kwanza Dunia ni sehemu ya kupita tu,kama vile unavyosafiri na basi halafu ukaambiwa shukeni kuchimba dawa je hapo ndiyo kwako?
Pili ukifa kwa ajili ya kutetea dini yako ni heshima kubwa kwa Mola wako waangalie wale vijana wa kipalestina wanavyojitoa muhanga na tumeambiwa tunaoruhusiwa kupambana nao ni wanaume tu,siyo wanawake na watoto
 
Ali Kibao ni kafir( mkristo)

Mm ni muslim kwa style hii huko mbele tusije kulalamika pia.

sawa labda una hoja basi nitajie wengine kama akina kibao kama 3 ili tujaribu angalau kubalance the equation kama tulivyofundishwa sekondari chemistry balance the equation, isitoshe haya mambo ni global, yanaendelea dunia nzima au unafikiri boko haram ni nani na nani anafadhili boko haram? nani anafadhili magaidi wa al kaida msumbiji jirani zetu hata kongo drc kuna attacks pia yote haya ni against Christians iko well documented kila mahali ...
 
Tunaojua Uisilamu labda tukwambie ni Dini ya kiume kwelikweli kutokana na hadithi zake tunazofundishwa,kwanza Dunia ni sehemu ya kupita tu,kama vile unavyosafiri na basi halafu ukaambiwa shukeni kuchimba dawa je hapo ndiyo kwako?
Pili ukifa kwa ajili ya kutetea dini yako ni heshima kubwa kwa Mola wako waangalie wale vijana wa kipalestina wanavyojitoa muhanga na tumeambiwa tunaoruhusiwa kupambana nao ni wanaume tu,siyo wanawake na watoto
Kwahiyo kazi yenu nyiw masikini wa Kiislam ni kutetea dini??
 
Back
Top Bottom