Katika hili viongozi wa kiislamu hamtendi Haki

MUFTI WA TANZANIA NI
Mambo yanayoendelea nchini kila mmoja anajua,watu wanatekwa,kuumizwa,na kuuwawa lakini viongozi wetu wa kiislam mpo kimya na wengine mmekuwa watetezi juu ya mambo ya haya .Kimsingi mimi ni Muislam lakini kwenye kusimama upande wa haki nawapa kongole viongozi wa madhehebu ya kikristo.Mnafanya kazi ya Mungu ipasavyo endeleeni kukemea mambo ya hovyo Mungu anaona na Dunia inaona.
TISS. analindwa na TISS getini pake kuna JWTZ wenye silaha za moto. Anatembrlea gari ya serikali na nyumba pia.
Elimu yake ni ya ahera hana utambuzi.
Wanaomzunguka ni pangu pakavu wanategemea kuombea watu DUA ili waishi. Wakimaliza wakipewa ubwabwa basii wanakula mpaka wanabeba
Watajua nn juu ya haki za watu???
 
Kwahiyo kazi yenu nyiw masikini wa Kiislam ni kutetea dini??
Ndiyo ukweli ndugu yangu,,kwanza ni kutetea dini yangu pili ni kumtetea Muisilamu Mwenzangu hii ni pamoja na jamii nzima inayonizunguka,maana yake ni haki Viongozi wa Kiisilamu kusimama na kukemea dhuluma kama anavyofanya shekhe Ponda
Na tunapozungumzia dhuruma haichagui anayedhurumiwa nani?kwani Uisilamu unakataza hata kuwadhulumu wanyama maana nao wana haki zao kutoka kwa Muumba mfano huwezi kumfungia paka ndani afe na njaa wakati unauwezo wa kumuuanjia huru aende huko inje akajitafutie chakula
MUFTI WA TANZANIA NI

TISS. analindwa na TISS getini pake kuna JWTZ wenye silaha za moto. Anatembrlea gari ya serikali na nyumba pia.
Elimu yake ni ya ahera hana utambuzi.
Wanaomzunguka ni pangu pakavu wanategemea kuombea watu DUA ili waishi. Wakimaliza wakipewa ubwabwa basii wanakula mpaka wanabeba
Watajua nn juu ya haki za watu???
Labda nikwambie Uisilamu umefundisha kufanya kazi,tena kutafuta kipato cha halali,na Uisilamu nashabihana na biashara maana hata Mtume Muhammad(S.A.W)alikuwa mfanyabiashara,na hakuna Swahaba wa Mtume aliyekuwa mpiga ramli bali hayo wanayoyafanya baadhi ya waumini wa Kiisilamu wanachanganya na mambo yao ya kimila ambayo walikuwa wanayafanya baba zao hata kabla Uisilamu haujaingia
Uisilmu ni Dini peke inayokataza Ushirikina na imeweka waziwazi unayeagua na anayenda kwa mganga wote ni washilikina na wakifa bila kutubu hawatamuona Mwenyezi Mungu
 
Ndiyo ukweli ndugu yangu,,kwanza ni kutetea dini yangu pili ni kumtetea Muisilamu Mwenzangu hii ni pamoja na jamii nzima inayonizunguka,maana yake ni haki Viongozi wa Kiisilamu kusimama na kukemea dhuluma kama anavyofanya shekhe Ponda
Na tunapozungumzia dhuruma haichagui anayedhurumiwa nani?kwani Uisilamu unakataza hata kuwadhulumu wanyama maana nao wana haki zao kutoka kwa Muumba mfano huwezi kumfungia paka ndani afe na njaa wakati unauwezo wa kumuuanjia huru aende huko inje akajitafutie chakula

Labda nikwambie Uisilamu umefundisha kufanya kazi,tena kutafuta kipato cha halali,na Uisilamu nashabihana na biashara maana hata Mtume Muhammad(S.A.W)alikuwa mfanyabiashara,na hakuna Swahaba wa Mtume aliyekuwa mpiga ramli bali hayo wanayoyafanya baadhi ya waumini wa Kiisilamu wanachanganya na mambo yao ya kimila ambayo walikuwa wanayafanya baba zao hata kabla Uisilamu haujaingia
Uisilmu ni Dini peke inayokataza Ushirikina na imeweka waziwazi unayeagua na anayenda kwa mganga wote ni washilikina na wakifa bila kutubu hawatamuona Mwenyezi Mungu
Sasa mbona hamtetei Ally Kibao, na masheikh walioko Jela??
 
Mambo yanayoendelea nchini kila mmoja anajua, watu wanatekwa, kuumizwa, na kuuwawa lakini viongozi wetu wa kiislam mpo kimya na wengine mmekuwa watetezi juu ya mambo ya haya. Kimsingi mimi ni Muislam lakini kwenye kusimama upande wa haki nawapa kongole viongozi wa madhehebu ya kikristo. Mnafanya kazi ya Mungu ipasavyo endeleeni kukemea mambo ya hovyo Mungu anaona na Dunia inaona.
Sahihi, wengi wanateswa na udini tupu
 
Sizani hawa Mashekhe wa Tanzania wanaweza kumshawishi mtu aslimu, labda asliim kwa sababu zake mwenyewe,kiasi kwamba wamewafanya leo hii Wanawake wa kiislamu waone kimbilio lao la kutatua shida zao kwa wachungaji wa kilokole
Sahihi hawana ushawishi wowote
 
Mambo yanayoendelea nchini kila mmoja anajua, watu wanatekwa, kuumizwa, na kuuwawa lakini viongozi wetu wa kiislam mpo kimya na wengine mmekuwa watetezi juu ya mambo ya haya. Kimsingi mimi ni Muislam lakini kwenye kusimama upande wa haki nawapa kongole viongozi wa madhehebu ya kikristo. Mnafanya kazi ya Mungu ipasavyo endeleeni kukemea mambo ya hovyo Mungu anaona na Dunia inaona.
Kuwagawa, wa bongo, tumia, dini tu, hapo,ubongo haufanyi, kazi, ni tumbo, na, makamasi,
Waislam wengi, tena, wengine wasomi wakubwa,wanaamini Samia na, serikali yake wanakosolewa, kwa, sababu ya uislam wao, yaani kwa sasa wakristo ndio wabaya,
Kuna profesa mmoja, alimkalia kooni Maghu, kwa, madudu yake, lakini kwa sasa, Samia, muislam mwenzie hata, akiteka na, kuua muislam, kama, mzee Kibao, ni, sawa, tu muislam anamuua muislam mwenzie!
Subconsciously waislam, wengi wanachuki sana, na, wakristo, utakuta Hapo, Samia, anajusrfy kwa, kutumia dini kuua, wakristo kwa, kivuli cha sasa,
 
Mambo yanayoendelea nchini kila mmoja anajua, watu wanatekwa, kuumizwa, na kuuwawa lakini viongozi wetu wa kiislam mpo kimya na wengine mmekuwa watetezi juu ya mambo ya haya. Kimsingi mimi ni Muislam lakini kwenye kusimama upande wa haki nawapa kongole viongozi wa madhehebu ya kikristo. Mnafanya kazi ya Mungu ipasavyo endeleeni kukemea mambo ya hovyo Mungu anaona na Dunia inaona.
Hakika
 
Sasa mbona hamtetei Ally Kibao, na masheikh walioko Jela??
Uislamu unafundisha Viongozi hupewa nasaha siyo kukalipiwa, waangalie kisa cha nabii Musa anaambiwa na Mungu amwambie Firauni maneno mazuri na alikuwa akijiita Mungu na kuuwa watoto.
 
Kwahiyo maneno gani ya staha mmetoa baada ya Samia kuanza kuua watu??
 
Alafu kweli, hamna muislamu aliyekemea mambo ya serekali, na ni dini ya haki eti.
Ktk uislam hata ukigundua aliyemuua baba yako au mama yako (siyo tu hao ambao siyo ndugu zako) kwamba ni muislam mwenzako dini inakutaka unyamaze ukae kimya umuache akamalizane na alaha huko mbele ya safari.

So wote wanaojifanya wanatetea na ni waislam hao wanaonekana wasaliti wa deen ya haki wataenda kuchomwa huko ahera na ambao wamekaa/wanakaa kimya hao pepo ni yao.
 
Kwahiyo maneno gani ya staha mmetoa baada ya Samia kuanza kuua watu??
Katika hafla mbalimbali nchni na kama mna ushahidi kwanini msipeleke mahakamani hamuoni hiyo njia mnayotumia machafuko yasiyo na kikomo kama Sudan na kwengineko.
 
Mahakama gani??

Hizo za mashahidi wa siri chini ya Haji Mwanga anayefanya kazi ya Samia??
 
🤣🤣🤣 Hapana za kimataifa ICC,
Mimi nashangaa hadi sasa mnatafuta vurugu wakati njia ya amani ipo tusianze kulaumiana maana mtaanzisha vita ya kidini ambayo italeta balaa kubwa msitumie jazba.
 
Njia ya amani ipi?

Nani anatafuta vurugu?

Nchi wauaji wanakufa wenyewe tu kama sisimizi juani.

Sasa hivi Samia hata kutoka nje ya nje anaogopa, amekondaaaaa.

Nyie hambebi mzigo alionao.
 
Mambo yanayoendelea nchini kila mmoja anajua, watu wanatekwa, kuumizwa, na kuuwawa lakini viongozi wetu wa kiislam mpo kimya na wengine mmekuwa watetezi juu ya mambo ya haya. Kimsingi mimi ni Muislam lakini kwenye kusimama upande wa haki nawapa kongole viongozi wa madhehebu ya kikristo. Mnafanya kazi ya Mungu ipasavyo endeleeni kukemea mambo ya hovyo Mungu anaona na Dunia inaona.
Hawawezi kusema kitu kwa sababu wanafadhiliwa mambo mengi ya kuiendesha misikiti pamoja na ujenzi wake.
 
Back
Top Bottom