Wewe si mwislamu? Ongea wewe, soma uislamu kwanza halafu uusemee, acha kuropoka, uislamu haufuati Wanavyofanya dini nyingine Bali kama unavyosema uislamu, uislamu unakataza mabaya yote na tunasikia wanakataza, kuua, kuzini, kunywa pombe, kamar, riba, uongo, dhuluma, wizi, na mengineyo, nenda msikitini sikiliza mawaidha soma Quraan utayaskia na uache Zinaa, riba, kunywa pombe, wizi, usengenyaji na mengine, huo ndo uislamu kama unakusudia kuisema serikali uislamu unasema ukiona kitu kibaya kwa kiongozi kwanza muombee Dua anyooke na kama una la kumshaur mwandikie au mfuate umshaur wewe na yeye si kumsema majukwaani huo ndo uislamu, kwa hiyo soma uislamu kwanza uujue na uufuate utakuwa salama na amani zaid.Mambo yanayoendelea nchini kila mmoja anajua, watu wanatekwa, kuumizwa, na kuuwawa lakini viongozi wetu wa kiislam mpo kimya na wengine mmekuwa watetezi juu ya mambo ya haya. Kimsingi mimi ni Muislam lakini kwenye kusimama upande wa haki nawapa kongole viongozi wa madhehebu ya kikristo. Mnafanya kazi ya Mungu ipasavyo endeleeni kukemea mambo ya hovyo Mungu anaona na Dunia inaona.