chumachakavu
Member
- Oct 1, 2017
- 55
- 103
Wazungu wengi leo wanaslimu kutokana na tabia nzuri ya utamaduni wa Waislamu kuanzia mavazi mpaka haki na hii ni kwa ajili ya Waisilamu wenye misimamo wanaotokea mashariki ya mbali wanaokimbilia ulaya kwenda kutafuta hifadhi siyo hawa wa Saudia Arabia ambao viongozi wetu wa dini ya Kisilamu wa Tanzania ndiyo wanawafwatakajifunze kwanza maana ya kafir halafu labda utaelewa, uislamu uko vitani dhidi ya wanaouita "mfumo Kristo" tangia uhuru, na inavyoonekana wanashinda, hivyo jiandaeni kwa yanayokuja hii ni trailer tu movie yenyewe bado ...
Compare the twoMambo yanayoendelea nchini kila mmoja anajua,watu wanatekwa,kuumizwa,na kuuwawa lakini viongozi wetu wa kiislam mpo kimya na wengine mmekuwa watetezi juu ya mambo ya haya .Kimsingi mimi ni Muislam lakini kwenye kusimama upande wa haki nawapa kongole viongozi wa madhehebu ya kikristo.Mnafanya kazi ya Mungu ipasavyo endeleeni kukemea mambo ya hovyo Mungu anaona na Dunia inaona.
Wazungu wengi leo wanaslimu kutokana na tabia nzuri ya utamaduni wa Waislamu kuanzia mavazi mpaka haki na hii ni kwa ajili ya Waisilamu wenye misimamo wanaotokea mashariki ya mbali wanaokimbilia ulaya kwenda kutafuta hifadhi siyo hawa wa Saudia Arabia ambao viongozi wetu wa dini ya Kisilamu wa Tanzania ndiyo wanawafwata
Ali bin Abi Talib (sio "Ali bin Twalibu")Ali bin Twalibu
Ahsante bwana yule ndiyo mfano wa Uisilamu wenyeweAli bin Abi Talib (sio "Ali bin Twalibu")
Huwajui Wazungu wewe Mbweha. Wakimaliza Kuwadukua WANAWATWANGA kama inavyopigwa Gaza na Iran.Wazungu wengi leo wanaslimu kutokana na tabia nzuri ya utamaduni wa Waislamu kuanzia mavazi mpaka haki na hii ni kwa ajili ya Waisilamu wenye misimamo wanaotokea mashariki ya mbali wanaokimbilia ulaya kwenda kutafuta hifadhi siyo hawa wa Saudia Arabia ambao viongozi wetu wa dini ya Kisilamu wa Tanzania ndiyo wanawafwata
Wake wengi wa Mashehe wanasali kwa Mtume Mwamposa by Alhad Musa SalumSizani hawa Mashekhe wa Tanzania wanaweza kumshawishi mtu aslimu, labda asliim kwa sababu zake mwenyewe,kiasi kwamba wamewafanya leo hii Wanawake wa kiislamu waone kimbilio lao la kutatua shida zao kwa wachungaji wa kilokole
Ndio ujue stori za:Mambo yanayoendelea nchini kila mmoja anajua,watu wanatekwa,kuumizwa,na kuuwawa lakini viongozi wetu wa kiislam mpo kimya na wengine mmekuwa watetezi juu ya mambo ya haya .Kimsingi mimi ni Muislam lakini kwenye kusimama upande wa haki nawapa kongole viongozi wa madhehebu ya kikristo.Mnafanya kazi ya Mungu ipasavyo endeleeni kukemea mambo ya hovyo Mungu anaona na Dunia inaona.
Ali Kibao ni kafir( mkristo)kajifunze kwanza maana ya kafir halafu labda utaelewa, uislamu uko vitani dhidi ya wanaouita "mfumo Kristo" tangia uhuru, na inavyoonekana wanashinda, hivyo jiandaeni kwa yanayokuja hii ni trailer tu movie yenyewe bado ...
Tunaojua Uisilamu labda tukwambie ni Dini ya kiume kwelikweli kutokana na hadithi zake tunazofundishwa,kwanza Dunia ni sehemu ya kupita tu,kama vile unavyosafiri na basi halafu ukaambiwa shukeni kuchimba dawa je hapo ndiyo kwako?Ndio ujue stori za:
- Dini ya haki
- Waislam walipigania Uhuru
- Dini ya amani
Zote ni stori za UWONGO ambazo ukicheki sababu kubwa ni NJAAAA tu.
Ali Kibao kauliwa kikatili, ila hakuna Sheikh anasema, wanasema watu wanaojali utu tu ambao hata siyo Waislam.
Ali Kibao ni kafir( mkristo)
Mm ni muslim kwa style hii huko mbele tusije kulalamika pia.
Kwahiyo kazi yenu nyiw masikini wa Kiislam ni kutetea dini??Tunaojua Uisilamu labda tukwambie ni Dini ya kiume kwelikweli kutokana na hadithi zake tunazofundishwa,kwanza Dunia ni sehemu ya kupita tu,kama vile unavyosafiri na basi halafu ukaambiwa shukeni kuchimba dawa je hapo ndiyo kwako?
Pili ukifa kwa ajili ya kutetea dini yako ni heshima kubwa kwa Mola wako waangalie wale vijana wa kipalestina wanavyojitoa muhanga na tumeambiwa tunaoruhusiwa kupambana nao ni wanaume tu,siyo wanawake na watoto