Kinoamiguu
JF-Expert Member
- Nov 29, 2018
- 17,499
- 25,295
TISS. analindwa na TISS getini pake kuna JWTZ wenye silaha za moto. Anatembrlea gari ya serikali na nyumba pia.Mambo yanayoendelea nchini kila mmoja anajua,watu wanatekwa,kuumizwa,na kuuwawa lakini viongozi wetu wa kiislam mpo kimya na wengine mmekuwa watetezi juu ya mambo ya haya .Kimsingi mimi ni Muislam lakini kwenye kusimama upande wa haki nawapa kongole viongozi wa madhehebu ya kikristo.Mnafanya kazi ya Mungu ipasavyo endeleeni kukemea mambo ya hovyo Mungu anaona na Dunia inaona.
TISS. analindwa na TISS getini pake kuna JWTZ wenye silaha za moto. Anatembrlea gari ya serikali na nyumba pia.Mambo yanayoendelea nchini kila mmoja anajua,watu wanatekwa,kuumizwa,na kuuwawa lakini viongozi wetu wa kiislam mpo kimya na wengine mmekuwa watetezi juu ya mambo ya haya .Kimsingi mimi ni Muislam lakini kwenye kusimama upande wa haki nawapa kongole viongozi wa madhehebu ya kikristo.Mnafanya kazi ya Mungu ipasavyo endeleeni kukemea mambo ya hovyo Mungu anaona na Dunia inaona.
Ndiyo ukweli ndugu yangu,,kwanza ni kutetea dini yangu pili ni kumtetea Muisilamu Mwenzangu hii ni pamoja na jamii nzima inayonizunguka,maana yake ni haki Viongozi wa Kiisilamu kusimama na kukemea dhuluma kama anavyofanya shekhe PondaKwahiyo kazi yenu nyiw masikini wa Kiislam ni kutetea dini??
Labda nikwambie Uisilamu umefundisha kufanya kazi,tena kutafuta kipato cha halali,na Uisilamu nashabihana na biashara maana hata Mtume Muhammad(S.A.W)alikuwa mfanyabiashara,na hakuna Swahaba wa Mtume aliyekuwa mpiga ramli bali hayo wanayoyafanya baadhi ya waumini wa Kiisilamu wanachanganya na mambo yao ya kimila ambayo walikuwa wanayafanya baba zao hata kabla Uisilamu haujaingiaMUFTI WA TANZANIA NI
TISS. analindwa na TISS getini pake kuna JWTZ wenye silaha za moto. Anatembrlea gari ya serikali na nyumba pia.
Elimu yake ni ya ahera hana utambuzi.
Wanaomzunguka ni pangu pakavu wanategemea kuombea watu DUA ili waishi. Wakimaliza wakipewa ubwabwa basii wanakula mpaka wanabeba
Watajua nn juu ya haki za watu???
Sasa mbona hamtetei Ally Kibao, na masheikh walioko Jela??Ndiyo ukweli ndugu yangu,,kwanza ni kutetea dini yangu pili ni kumtetea Muisilamu Mwenzangu hii ni pamoja na jamii nzima inayonizunguka,maana yake ni haki Viongozi wa Kiisilamu kusimama na kukemea dhuluma kama anavyofanya shekhe Ponda
Na tunapozungumzia dhuruma haichagui anayedhurumiwa nani?kwani Uisilamu unakataza hata kuwadhulumu wanyama maana nao wana haki zao kutoka kwa Muumba mfano huwezi kumfungia paka ndani afe na njaa wakati unauwezo wa kumuuanjia huru aende huko inje akajitafutie chakula
Labda nikwambie Uisilamu umefundisha kufanya kazi,tena kutafuta kipato cha halali,na Uisilamu nashabihana na biashara maana hata Mtume Muhammad(S.A.W)alikuwa mfanyabiashara,na hakuna Swahaba wa Mtume aliyekuwa mpiga ramli bali hayo wanayoyafanya baadhi ya waumini wa Kiisilamu wanachanganya na mambo yao ya kimila ambayo walikuwa wanayafanya baba zao hata kabla Uisilamu haujaingia
Uisilmu ni Dini peke inayokataza Ushirikina na imeweka waziwazi unayeagua na anayenda kwa mganga wote ni washilikina na wakifa bila kutubu hawatamuona Mwenyezi Mungu
Sahihi, wengi wanateswa na udini tupuMambo yanayoendelea nchini kila mmoja anajua, watu wanatekwa, kuumizwa, na kuuwawa lakini viongozi wetu wa kiislam mpo kimya na wengine mmekuwa watetezi juu ya mambo ya haya. Kimsingi mimi ni Muislam lakini kwenye kusimama upande wa haki nawapa kongole viongozi wa madhehebu ya kikristo. Mnafanya kazi ya Mungu ipasavyo endeleeni kukemea mambo ya hovyo Mungu anaona na Dunia inaona.
Sahihi hawana ushawishi wowoteSizani hawa Mashekhe wa Tanzania wanaweza kumshawishi mtu aslimu, labda asliim kwa sababu zake mwenyewe,kiasi kwamba wamewafanya leo hii Wanawake wa kiislamu waone kimbilio lao la kutatua shida zao kwa wachungaji wa kilokole
Kuwagawa, wa bongo, tumia, dini tu, hapo,ubongo haufanyi, kazi, ni tumbo, na, makamasi,Mambo yanayoendelea nchini kila mmoja anajua, watu wanatekwa, kuumizwa, na kuuwawa lakini viongozi wetu wa kiislam mpo kimya na wengine mmekuwa watetezi juu ya mambo ya haya. Kimsingi mimi ni Muislam lakini kwenye kusimama upande wa haki nawapa kongole viongozi wa madhehebu ya kikristo. Mnafanya kazi ya Mungu ipasavyo endeleeni kukemea mambo ya hovyo Mungu anaona na Dunia inaona.
Udugu wangu nilikua na shemu wakoleoUdugu wangu cc Poor Brain
😆😆😆😆
HakikaMambo yanayoendelea nchini kila mmoja anajua, watu wanatekwa, kuumizwa, na kuuwawa lakini viongozi wetu wa kiislam mpo kimya na wengine mmekuwa watetezi juu ya mambo ya haya. Kimsingi mimi ni Muislam lakini kwenye kusimama upande wa haki nawapa kongole viongozi wa madhehebu ya kikristo. Mnafanya kazi ya Mungu ipasavyo endeleeni kukemea mambo ya hovyo Mungu anaona na Dunia inaona.
Uislamu unafundisha Viongozi hupewa nasaha siyo kukalipiwa, waangalie kisa cha nabii Musa anaambiwa na Mungu amwambie Firauni maneno mazuri na alikuwa akijiita Mungu na kuuwa watoto.Sasa mbona hamtetei Ally Kibao, na masheikh walioko Jela??
Kwahiyo maneno gani ya staha mmetoa baada ya Samia kuanza kuua watu??Uislamu unafundisha Viongozi hupewa nasaha siyo kukalipiwa, waangalie kisa cha nabii Musa anaambiwa na Mungu amwambie Firauni maneno mazuri na alikuwa akijiita Mungu na kuuwa watoto.
Ktk uislam hata ukigundua aliyemuua baba yako au mama yako (siyo tu hao ambao siyo ndugu zako) kwamba ni muislam mwenzako dini inakutaka unyamaze ukae kimya umuache akamalizane na alaha huko mbele ya safari.Alafu kweli, hamna muislamu aliyekemea mambo ya serekali, na ni dini ya haki eti.
Muhimu kuupatia mwili hitaji lake,Udugu wangu nilikua na shemu wakoleo
Katika hafla mbalimbali nchni na kama mna ushahidi kwanini msipeleke mahakamani hamuoni hiyo njia mnayotumia machafuko yasiyo na kikomo kama Sudan na kwengineko.Kwahiyo maneno gani ya staha mmetoa baada ya Samia kuanza kuua watu??
Mahakama gani??Katika hafla mbalimbali nchni na kama mna ushahidi kwanini msipeleke mahakamani hamuoni hiyo njia mnayotumia machafuko yasiyo na kikomo kama Sudan na kwengineko.
🤣🤣🤣 Hapana za kimataifa ICC,Mahakama gani??
Hizo za mashahidi wa siri chini ya Haji Mwanga anayefanya kazi ya Samia??
Njia ya amani ipi?🤣🤣🤣 Hapana za kimataifa ICC,
Mimi nashangaa hadi sasa mnatafuta vurugu wakati njia ya amani ipo tusianze kulaumiana maana mtaanzisha vita ya kidini ambayo italeta balaa kubwa msitumie jazba.
Hawawezi kusema kitu kwa sababu wanafadhiliwa mambo mengi ya kuiendesha misikiti pamoja na ujenzi wake.Mambo yanayoendelea nchini kila mmoja anajua, watu wanatekwa, kuumizwa, na kuuwawa lakini viongozi wetu wa kiislam mpo kimya na wengine mmekuwa watetezi juu ya mambo ya haya. Kimsingi mimi ni Muislam lakini kwenye kusimama upande wa haki nawapa kongole viongozi wa madhehebu ya kikristo. Mnafanya kazi ya Mungu ipasavyo endeleeni kukemea mambo ya hovyo Mungu anaona na Dunia inaona.