Katika hili viongozi wa kiislamu hamtendi Haki

Wewe si mwislamu? Ongea wewe, soma uislamu kwanza halafu uusemee, acha kuropoka, uislamu haufuati Wanavyofanya dini nyingine Bali kama unavyosema uislamu, uislamu unakataza mabaya yote na tunasikia wanakataza, kuua, kuzini, kunywa pombe, kamar, riba, uongo, dhuluma, wizi, na mengineyo, nenda msikitini sikiliza mawaidha soma Quraan utayaskia na uache Zinaa, riba, kunywa pombe, wizi, usengenyaji na mengine, huo ndo uislamu kama unakusudia kuisema serikali uislamu unasema ukiona kitu kibaya kwa kiongozi kwanza muombee Dua anyooke na kama una la kumshaur mwandikie au mfuate umshaur wewe na yeye si kumsema majukwaani huo ndo uislamu, kwa hiyo soma uislamu kwanza uujue na uufuate utakuwa salama na amani zaid.
 
Unataka viongozi wa kiislam waseme kitu gani,unadhani hawajui kuwa MAKAFIRI KINACHOWASUMBUA NI CHUKI ZENU ZA UDINI??

MAKAFIRI MAGUFULI HAKUULIWA NA WAISLAM,NA SAMIA HANA KOSA LOLOTE KUWA MAKAMU NA HIVI SASA KUWA RAIS WA NCHI,HIVYO HIZO MIMBA ZENU ZA CHUKI MTAKUFA NAZO SAFARI HII
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…