Aanze kuwaorodhesha orodha yake wakifika ishirini alete hoja nyingine.Unaonaje tukianza kwanza na waasi/majambazi/majangili waliojazana ndani ya chama? Badala ya kuhangaika na Padre ambaye hata hajulikani?
Rose Tweve, au Rose Muhando!Anauhusiano wowote na Rose Tweve?
Tweve...viti maalum MbRose Tweve, au Rose Muhando!
Pia tufahamishwe Ben Saanane aliuwawa kwa kosa gani na Magufuli.Unaonaje tukianza kwanza na waasi/majambazi/majangili waliojazana ndani ya chama? Badala ya kuhangaika na Padre ambaye hata hajulikani?
Nkwera au Tweve?Miaka kadhaa nyuma aliwahi kutokea padre muasi wa imani ya kanisa katoliki Tanzania.
Padre huyu alikuwa na wafuasi wengi waliomkubali kwa mahubiri yake na hakika alileta changamoto na taharuki kubwa sio tu kwa waumini wa kanisa katoliki lakini pia kwa nchi nzima.
sakata hili lilipelekea wakatoliki wa Tanzania kupiga marufuku kupokea ekaristi wakiwa wamepiga magoti.
Baada ya kufukuzwa alianzisha kanisa lake kama sikosei maeneo ya ubungo.
Je yuko wapi padre Tweve?
Kwa wanaokumbuka sakata hili hebu tujazie ujumbe katika sakata hili .
Kitima ndio zakeMiaka kadhaa nyuma aliwahi kutokea padre muasi wa imani ya kanisa katoliki Tanzania.
Padre huyu alikuwa na wafuasi wengi waliomkubali kwa mahubiri yake na hakika alileta changamoto na taharuki kubwa sio tu kwa waumini wa kanisa katoliki lakini pia kwa nchi nzima.
sakata hili lilipelekea wakatoliki wa Tanzania kupiga marufuku kupokea ekaristi wakiwa wamepiga magoti.
Baada ya kufukuzwa alianzisha kanisa lake kama sikosei maeneo ya ubungo.
Je yuko wapi padre Tweve?
Kwa wanaokumbuka sakata hili hebu tujazie ujumbe katika sakata hili .
Wewe ndio uko sahihi, aliekuwa Ubungo sio mbali kutoka Mabibo Hostel/Azania Wheat Miller ni Father NkweraNkwera au Tweve?
Wakati wa mwamba Bahati Tweve,nilikuwa UDSM!。pia umenikumbusha mwamba mmoja hivi alikuwa UDSM anaitwa BAHATI TWEVE alianzisha mgomo mkubwa kupinga bodi ya mikopo
Utekaji umeanza juzi juzi.Pascal Mayalla hivi kipindi cha sakata hili ulikuwa ITV?
Mada ni ile ile. Sema tu utakuwa na kichwa kizito/slow learner.Mbona unatoka nje ya mada?