Mwanadiplomasia Mahiri
JF-Expert Member
- Nov 4, 2019
- 685
- 2,355
Mada pendwa jfHiyo press conf, ndo imefanya tisiii ya sahivi iwe hivi ilivyo.
Lol
Kiukweli Mimi mwenyewe nimeshangaa sana TISS kufanywa kama kilinge Cha wachawi kiasi kwamba idara ya usalama wa Taifa iwe ajabu kufanya press conference Africa tunaujinga wa ajabu sanaBongo ni Bongo tu . Kule US, CIA press conference, matangazo ya ajira , nk Huwa ni vitu vya wazi kabisa. CIA mara kadhaa huongea na jamii ya wamarekani na dunia kupitia Press na media zingine hata mitandao ya kijamii pia.
Kwani TISS ni ni Tanzania Intelligence and Security Service
Tanzania Intelligence and Security ServiceKwani TISS ni nini?
Africa itazidi kuwa Afrika tu. Waasia tuliokuwa nao sawa kiuchumi, kijamii, kijeshi, na kisiasa Leo wako mbali pengine mara 50 ya tulipo sasa. Thailand, Singapore, Philippines, Korea nk ni mifano mizuriKiukweli Mimi mwenyewe nimeshangaa sana TISS kufanywa kama kilinge Cha wachawi kiasi kwamba idara ya usalama wa Taifa iwe ajabu kufanya press conference Africa tunaujinga wa ajabu sana
Wauza CHUMVI za mawe. Trust meKwani TISS ni nini?
Sasa wewe unafikiri HAwafanyi Press?Mbona wanazifanya nyingi sana tena kwa action na Ujumbe unafika vizuri tu?Tanzania Intelligence and Security Service
Sasa hizo si zinajiuza hizo?Hazihitaji PressWauza CHUMVI za mawe. Trust me
Naaam tena huenda vyuoni kabisa kutangaza nafasiBongo ni Bongo tu . Kule US, CIA press conference, matangazo ya ajira , nk Huwa ni vitu vya wazi kabisa. CIA mara kadhaa huongea na jamii ya wamarekani na dunia kupitia Press na media zingine hata mitandao ya kijamii pia.
Yaani wajongo mnavyowachukulia hao tiss ni kama aliens fulani hivi..Nyakati kama hizi kuelekea Uchaguzi Mkuu wa 2010 ambapo Rais wa kipindi hiko, Jakaya Kikwete alikuwa anajiandaa kutetea kiti chake kwa muhula wa pili na wa mwisho.
Ghafla kuna tuhuma za wapinzani zikaelekezwa Idara ya Usalama wa Taifa.
Katika hali isiyokuwa yaa kawaida, TISS kupitia kwa Jack Zoka ikaitisha Press kujibu tuhuma zile kama sikosei. Hiyo ilikuwa ni mara ya kwanza na pengine ya mwisho kwa Idara hiyo kufanya hivyo.
Nini hasa kilijiri mpaka TISS wakaitisha press kinyume na taratibu zao?
Karibuni wakongwe.