Katika historia ya TISS, ni mara moja tu walifanya Press Conference, ilikuwa ni mwaka 2010, nini hasa kilijiri?

Nyakati kama hizi kuelekea Uchaguzi Mkuu wa 2010 ambapo Rais wa kipindi hiko, Jakaya Kikwete alikuwa anajiandaa kutetea kiti chake kwa muhula wa pili na wa mwisho.

Ghafla kuna tuhuma za wapinzani zikaelekezwa Idara ya Usalama wa Taifa.

Katika hali isiyokuwa yaa kawaida, TISS kupitia kwa Jack Zoka ikaitisha Press kujibu tuhuma zile kama sikosei. Hiyo ilikuwa ni mara ya kwanza na pengine ya mwisho kwa Idara hiyo kufanya hivyo.

Nini hasa kilijiri mpaka TISS wakaitisha press kinyume na taratibu zao?

Karibuni wakongwe.

Pia soma: Press Conference ya TISS!. Sio Bure....Kuna Jambo!
Kutuletea Watu wasiojulikana.
 
Africa itazidi kuwa Afrika tu. Waasia tuliokuwa nao sawa kiuchumi, kijamii, kijeshi, na kisiasa Leo wako mbali pengine mara 50 ya tulipo sasa. Thailand, Singapore, Philippines, Korea nk ni mifano mizuri
Mimi naonaga Afrika imelaniwa angalia mtu smart kma Lissu yuko jela kisa alafu kibajaji na Msukuma wako uraiani na Steve Nyerere
 
Nyakati kama hizi kuelekea Uchaguzi Mkuu wa 2010 ambapo Rais wa kipindi hiko, Jakaya Kikwete alikuwa anajiandaa kutetea kiti chake kwa muhula wa pili na wa mwisho.

Ghafla kuna tuhuma za wapinzani zikaelekezwa Idara ya Usalama wa Taifa.

Katika hali isiyokuwa yaa kawaida, TISS kupitia kwa Jack Zoka ikaitisha Press kujibu tuhuma zile kama sikosei. Hiyo ilikuwa ni mara ya kwanza na pengine ya mwisho kwa Idara hiyo kufanya hivyo.

Nini hasa kilijiri mpaka TISS wakaitisha press kinyume na taratibu zao?

Karibuni wakongwe.

Pia soma: Press Conference ya TISS!. Sio Bure....Kuna Jambo!
Upo makini na idara hii? Ngoma inaweza kuanzia kakonko kigoma alafu usijue , hawa jamaa noma sana
 
Back
Top Bottom