Brelim Skoro_
JF-Expert Member
- Mar 29, 2014
- 15,188
- 37,742
Na mwaka huu waitishe Tena Mana Kuna wakimbizi na Malaya toka nchi za Jirani wapo hapa ndani kikazi zaidi.
Tanzania International Sport ServiceKwani TISS ni nini?
Ndo mana kila siku nawashawishi wenzangu wafanye kazi za kuvuja jashoWabongo tiss wanawaona kama malaika 😄 au watu fulani special sanaaa
Ova
Hapo mpo wangapi mkuuTatizo hawana contents...
Hapo mpo wangapi mkuu
Sasa kama kupiga picha darajani tunakatazwa hadi vibali, wakati picha za madaraja hayo zimesambaa tele mitandaoni... Unahisi watu wana akili?Kiukweli Mimi mwenyewe nimeshangaa sana TISS kufanywa kama kilinge Cha wachawi kiasi kwamba idara ya usalama wa Taifa iwe ajabu kufanya press conference Africa tunaujinga wa ajabu sana
Hilo neno "service" hapo mwishoni wangeliondoa.Tanzania Intelligence and Security Service
NAdhani itakuwaKwani TISS ni nini?
kwani iliyojaa mtandaoni ina sura yako? Na wewe unataka ukapige picha ya nini wakati zimejaa mtandaoni?Sasa kama kupiga picha darajani tunakatazwa hadi vibali, wakati picha za madaraja hayo zimesambaa tele mitandaoni... Unahisi watu wana akili?
😀😀😀😀Sasa kama kupiga picha darajani tunakatazwa hadi vibali, wakati picha za madaraja hayo zimesambaa tele mitandaoni... Unahisi watu wana akili?
Hawataki daraja litangazwe kwa ajili ya utalii.Sasa kama kupiga picha darajani tunakatazwa hadi vibali, wakati picha za madaraja hayo zimesambaa tele mitandaoni... Unahisi watu wana akili?
kwanini wakati wanatoa huduma ya ulinzi kwa viongozi baadhi???Hilo neno "service" hapo mwishoni wangeliondoa.
Kweni hizo taratibu zao unazosema zikoje maana umesema walifanya kinyume na taratibu zao, kuinyesha kuwa wewe ndo unajua zaidiNyakati kama hizi kuelekea Uchaguzi Mkuu wa 2010 ambapo Rais wa kipindi hiko, Jakaya Kikwete alikuwa anajiandaa kutetea kiti chake kwa muhula wa pili na wa mwisho.
Ghafla kuna tuhuma za wapinzani zikaelekezwa Idara ya Usalama wa Taifa.
Katika hali isiyokuwa yaa kawaida, TISS kupitia kwa Jack Zoka ikaitisha Press kujibu tuhuma zile kama sikosei. Hiyo ilikuwa ni mara ya kwanza na pengine ya mwisho kwa Idara hiyo kufanya hivyo.
Nini hasa kilijiri mpaka TISS wakaitisha press kinyume na taratibu zao?
Karibuni wakongwe.
Idara ya Usalama wa Taifa ya Tanzania inafanya kazi Ki-communist sanaNyakati kama hizi kuelekea Uchaguzi Mkuu wa 2010 ambapo Rais wa kipindi hiko, Jakaya Kikwete alikuwa anajiandaa kutetea kiti chake kwa muhula wa pili na wa mwisho.
Ghafla kuna tuhuma za wapinzani zikaelekezwa Idara ya Usalama wa Taifa.
Katika hali isiyokuwa yaa kawaida, TISS kupitia kwa Jack Zoka ikaitisha Press kujibu tuhuma zile kama sikosei. Hiyo ilikuwa ni mara ya kwanza na pengine ya mwisho kwa Idara hiyo kufanya hivyo.
Nini hasa kilijiri mpaka TISS wakaitisha press kinyume na taratibu zao?
Karibuni wakongwe.
Pia soma: Press Conference ya TISS!. Sio Bure....Kuna Jambo!