Ndenji five
JF-Expert Member
- Nov 1, 2021
- 1,985
- 3,109
Mnachoniuzi nyie watu hamnaga msimamo kiongozi wenu akisema samia mbaya woote mnaanza kubadilika ngoja tuone mbona muda bado
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ujinga ni ukosefu wa elimu, mimi ni mjinga na nimekua mjinga mara nyingi, ila nadhani wewe ni mpumbavu. Pamoja na kupewa elimu bado unang'ang'ania ujinga wako.Ni mtu mjinga tuu ndiye awazaye hivyo. Jee ndugu nawe ni mjinga?
Ndiyo maana mapinduzi hayaishi.Wanajitakia wenyewe.Kuna yule mbibi aliwahi kusema,tena bungeni kwamba CCM haitoondolewa kwa vipande vya makaratasi madarakani.Inafurahisha sana.Hakuna mswahili atakayeacha kutumia dola Kubaki madarakani, ndo maana nchi za magharibi command ya dollar na maamuzi hayapo moja kwa moja na rais.
Africa, Rais Ana influence ya moja kwa moja na dollar, this is an ending battle, ni struggle ambayo haijawai kuisha.
Hapo ndio mwisho wa fikra zako? Unakubali kuwa ni mjinga kutokana na swali langu, sasa kwa swali ulilokubali ndio kunanifanya kuwa mpumbavu au unatudhibitishia kuwa sio mjinga tu bali na mpumbavu?Ujinga ni ukosefu wa elimu, mimi ni mjinga na nimekua mjinga mara nyingi, ila nadhani wewe ni mpumbavu. Pamoja na kupewa elimu bado unang'ang'ania ujinga wako.
Mnachoniuzi nyie watu hamnaga msimamo kiongozi wenu akisema samia mbaya woote mnaanza kubadilika ngoja tuone mbona muda bado
Nadhani utakuwa umesikia Shaka alichosema kuhusu kamati kuu na agizo lao kwa serikali about Polisi.Bado najaribu kujiridhisha anachoongea Mbowe baada ya kufutiwa kesi, na mazungumzo yake na mama. Kwasasa sitaki kutoa mtazamo wangu nasubiri muda uamue, lakini nina mashaka fulani.
Nadhani utakuwa umesikia Shaka alichosema kuhusu kamati kuu na agizo lao kwa serikali about Polisi.
Kama ccm imeanza kuwakana polisi ujue kuna mazito chini ya kapeti
Hahahaha . Umemjibu vyemaNi mtu mjinga tuu ndiye awazaye hivyo. Jee ndugu nawe ni mjinga?
Mazingira ya kuendesha siasa za upinzani hapa Afrika hutegemeana na aina gani ya uongozi uliopo madarakani wenye dhamana ya kuongoza nchi. Ninasema hivyo kwa sababu viongozi wengi hapa barani Afrika, wale waliopo madarakani ama wale hata waliowahi kushika madaraka ya kuongoza serikali za nchi zao wana sifa zinazofanana sana kiutendaji.Maudhui makuu ya mazungumzo ya viongozi hawa Tundu Lissu vs Mh. Rais Samia Suluhu Hassan [Brussels, Ubelgiji] na Mh. Freeman Mbowe vs Mh. Rais Samia S. Hassan [Dar es Salaam, Tanzania] ni maridhiano ya kisiasa kwa mustakabali wa kujenga Tanzania ya HAKI kama tunda la UPENDO na AMANI.
Hawa wanaonesha kutofurahishwa na hatua hii ya viongozi hawa wa CHADEMA kuonana na Rais na kufanya mazungumzo naye ambayo kiukweli ni hatua njema kuelekea kwenye maridhiano na upatanisho mkuu.
Hawa wanaamini kuwa ni kilichowakutanisha hawa ni zaidi ya mazungumzo tu. Wanadhani viongozi hawa kwa kitendo chao cha kukutana na Rais ni UNYONGE na KUUZA UTU wao na possibly wameenda kutulizwa kwa fedha - mulungula eti ili wanyamaze....
Hawa bila shaka ni watu wa ajabu sana na pengine bila shaka yoyote kuwa hawajui watakacho ktk harakati zao za kisiasa na kama wanajua, basi hawajui hicho wakitakacho watakipata kwa njia gani.
Hawa viongozi, Mh. Freeman Mbowe [M/Kiti CHADEMA - taifa] na Mh. Tundu Lissu [M/M/Mwenyekiti Tanzania Bara si tu wamezungumza na kila kitu kubaki gizani, bali wametoa.
View attachment 2145007
mrejesho (feedback) ya maudhui ya mazungumzo hayo hadharani kila mtu akiona na kusikia...
Hivi ukiwasikiliza hawa viongozi wa chama hiki kikuu cha upinzani hapa chini kwenye video hii, kuna mwana - CHADEMA mwenye akili timamu atasema haelewi lolote kweli...?
Sikiliza...