Katika hotuba yake, Lissu anajadili bajeti ya mkutano wa Baraza Kuu wakati alipewa kazi ya kuchangisha milioni 30, hajatoa hata mia. Mnampaje chama?

Lissu ameanza kutoa milio.

Anasema bajeti ya wajumbe kulala, hizo hela wajumbe wasipewe, walipiwe hotel, Lissu anataka hata hela ya safari wajumbe wasipewe, wakodiwe magari, hela ya kula wasipewe, walipiwe kwa mama ntilie.

Yaani mjumbe hata kama ana ndugu yake asifikie huko ili kuokoa gharama walau arudi nyumbani na nguo za watoto na kanga ya mama yoyooo!? Hii ni roho mbaya kiasi gani kwa wajumbe hawa?

Anayasema hayo akiwa hajafikia lengo alilopewa na chama kukusanya milioni 30 kusaidia gharama za mkutano.

Hii ni dalili ya mwanzo tu kwamba chama kitapigwa ukata mkubwa endapo atakiongoza hata kwa wiki moja.

Kuna genge kubwa liko JF na Twitter linatuna kwamba liko naye, kwa nini hawachangi?

Anadhani chama kitaendeshwa kwa maneno tu na tuvifungu twake twa sheria?.

Ukiona vyaelea......
Wewe mwanaccm yachadema yanakuumiza sikuhizi.
 
Hiyo agenda waliijadili kamati kuu na Lissu akiwepo kama alikuwa na maoni mbadala bila shaka aliyatoa yakachekechwa na yakaonekana hayafai yakawekwa pembeni.

Lissu anatakiwa asimamie waklchokubaliana sio kuleta hoja mpya kwa suala lililokwishaamuliwa.
 
Kama kweli kasema hivyo basi nihatari sana ushauri huu angeutoa NDANI ya vikao angekuwa mujarabu
 
Hili nalo litupe kufikiri kama una marafiki wa kweli kwenye jambo kama hili lazima wakubebe uvuke.Sio kila pesa inatoka kwa kiongozi,ila uhusiano wa kiongozi na watu ni mtaji mkubwa sana.Wanaokupenda hawatakuacha uanguke
 
Kama kweli kasema hivyo basi nihatari sana ushauri huu angeutoa NDANI ya vikao angekuwa mujarabu
Usishangae huyo ni kombora lisilo na macho.Haamini kwenye vikao.Ni narcissist anayefikiri kwamba yeye ana akili ana mitazamo mizuri kuliko yeyote yule.Haamini kwenye teamwork.
 
Lissu ameanza kutoa milio.

Anasema bajeti ya wajumbe kulala, hizo hela wajumbe wasipewe, walipiwe hotel, Lissu anataka hata hela ya safari wajumbe wasipewe, wakodiwe magari, hela ya kula wasipewe, walipiwe kwa mama ntilie.

Yaani mjumbe hata kama ana ndugu yake asifikie huko ili kuokoa gharama walau arudi nyumbani na nguo za watoto na kanga ya mama yoyooo!? Hii ni roho mbaya kiasi gani kwa wajumbe hawa?

Anayasema hayo akiwa hajafikia lengo alilopewa na chama kukusanya milioni 30 kusaidia gharama za mkutano.

Hii ni dalili ya mwanzo tu kwamba chama kitapigwa ukata mkubwa endapo atakiongoza hata kwa wiki moja.

Kuna genge kubwa liko JF na Twitter linatuna kwamba liko naye, kwa nini hawachangi?

Anadhani chama kitaendeshwa kwa maneno tu na tuvifungu twake twa sheria?.

Ukiona vyaelea......
Kwanza anaishi Belgium, ataongozaje chama, aende akagombee uwenyekiti wa (LGBTQIA+)
 
Lissu ameanza kutoa milio.

Anasema bajeti ya wajumbe kulala, hizo hela wajumbe wasipewe, walipiwe hotel, Lissu anataka hata hela ya safari wajumbe wasipewe, wakodiwe magari, hela ya kula wasipewe, walipiwe kwa mama ntilie.

Yaani mjumbe hata kama ana ndugu yake asifikie huko ili kuokoa gharama walau arudi nyumbani na nguo za watoto na kanga ya mama yoyooo!? Hii ni roho mbaya kiasi gani kwa wajumbe hawa?

Anayasema hayo akiwa hajafikia lengo alilopewa na chama kukusanya milioni 30 kusaidia gharama za mkutano.

Hii ni dalili ya mwanzo tu kwamba chama kitapigwa ukata mkubwa endapo atakiongoza hata kwa wiki moja.

Kuna genge kubwa liko JF na Twitter linatuna kwamba liko naye, kwa nini hawachangi?

Anadhani chama kitaendeshwa kwa maneno tu na tuvifungu twake twa sheria?.

Ukiona vyaelea......
Lissu aanzishe chama chake ndiyo awrke hizo kanuni na sheria zake. Watu wameanzisha chama miaka hiyo ya 1992 yeye akiwa sekondari school Ilboru. Leo kadandia treni anataka chama kiendeshwe kufuatana na feelings zake?? Huyu ni DIKTETA mbaya kuliko Magufuli
 
Kweli kabisa
 
Lissu ameanza kutoa milio.

Anasema bajeti ya wajumbe kulala, hizo hela wajumbe wasipewe, walipiwe hotel, Lissu anataka hata hela ya safari wajumbe wasipewe, wakodiwe magari, hela ya kula wasipewe, walipiwe kwa mama ntilie.

Yaani mjumbe hata kama ana ndugu yake asifikie huko ili kuokoa gharama walau arudi nyumbani na nguo za watoto na kanga ya mama yoyooo!? Hii ni roho mbaya kiasi gani kwa wajumbe hawa?

Anayasema hayo akiwa hajafikia lengo alilopewa na chama kukusanya milioni 30 kusaidia gharama za mkutano.

Hii ni dalili ya mwanzo tu kwamba chama kitapigwa ukata mkubwa endapo atakiongoza hata kwa wiki moja.

Kuna genge kubwa liko JF na Twitter linatuna kwamba liko naye, kwa nini hawachangi?

Anadhani chama kitaendeshwa kwa maneno tu na tuvifungu twake twa sheria?.

Ukiona vyaelea......
Lisu ni mwehu.
Ataongoza chama wakati yeye ni ombaomba
 
It's

It's my honest opinion Lissu needs professional psychiatrist treatment.
 
Kashanusa kua hela za Abdul zitatakatishwa,wajumbe wazile.
Kati ya chaguzi zenye pesa,ni pamoja na huo.Pesa njenje.Lussu Vs Mbowe+chama tawala.
Ni Umasikni tu hakuna hela yoyote ya maana, lakini tusiwabeze wajumbe kuwa watayumbishwa na rushwa ya hela za abdul
 
Abdul is a myth watu wanajifichia mapungufu yao
 
Hiyo agenda waliijadili kamati kuu na Lissu akiwepo kama alikuwa na maoni mbadala bila shaka aliyatoa yakachekechwa na yakaonekana hayafai yakawekwa pembeni.

Lissu anatakiwa asimamie waklchokubaliana sio kuleta hoja mpya kwa suala lililokwishaamuliwa.
Huyu shida ipo kwenye collective responsibility
 
Back
Top Bottom