ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,643
- 51,642
- Thread starter
-
- #41
Nikueleweshe Tena uchawi upo Kwa maana ya kufanywa yaani matendo yake mfanoBiblia na Quran zenyewe zinasema upo, na hata concept ya shetani, sub component ni uchawi na wachawi. Bahati mbaya wachawi wanalindwa na serikali wasiumbuliwe tangu enzi za witchcraft ordinace ya mkoloni
Hongera mkuu. Jambo lolote lile linalohusisha imani haliko mbali na ujinga.(Namaanisha Imani na ujinga ni mapacha).Nawasikitia sana watu ambao wamebaki kuamini kwamba hapa duniani kuna kitu kinachoitwa uchawi na kinafanya kazi. aisee hakuna kitu kama hicho binadamu ni mnyama tu ana limit zake yako miujiza hawezi tu kufanya mfano kupotea na kwenda kutokea sehemu nyingine au eti kujibadilisha umbo..
kuamini uchawi ni ujinga naini uoga uliopitiliza mimi nimeshapita mazingira mengi sana tu kuanzia makaburini, mabaharini, misituni usiku Kwa usiku na sijawahi kuona badiliko lolote nikalihusisha na eti ni mbinu za kishetani. Maisha yapo tu the way yapo magonjwa yapo ya Kuua so hata Ukifa ghafla hujalogwa tunakupima tunajua ulikuwa na ugonjwa gani..
Zamani kweli mambo mengi yalikuwa hayajagunduliwa maswali yasiyo na majibu yalikuwa mengi.. Pressure, kisukari, kifafa na magonjwa ya akili haya kujulikana hivyo watu akili zao ilibidi ziishie kwenye kuamini uchawi kwamba Ukifa na ugonjwa wasioujua basi umelogwa..
Uchawi upo Kwa dhana kwamba una fanywa (Wana upractice Kwa mazoea yao ila hautendi lolote yaani huwezi ukawa tabora eti umuue mtu yupo dar (hakuna outcome yoyote).
Ndo maana mimi daima napenda mtu ninayefanya naye mijadala awe haamini hakuna uchawi nitamkubali sana nitaona kichwa chake kinaweza ku solve mysterious mbalimbali.. mbona simple tu MUNGU YUPO, UKICHAA UPO, MAARIFA YAPO, NGUVU ZIPO ILA UCHAWI HAUPO LABDA UCHAWA.mwingine unakuta eti kisa tu ana kidonda kilichokataa kupona basi wanaelekeza fikra kwamba ni cha kulogwa cha kichawi mbona ishu kama hiyo ni nyepesi kwamba akili yako haitaki kuamini kama kidonda hakiwezi tu kupona Kwa sababu nyingine za afya au mazingira Mpaka utuhumu uchawi?
Kwanini wewe ndege JOHN Huwa unaanzisha thread ukilewa?Nawasikitia sana watu ambao wamebaki kuamini kwamba hapa duniani kuna kitu kinachoitwa uchawi na kinafanya kazi. aisee hakuna kitu kama hicho binadamu ni mnyama tu ana limit zake yako miujiza hawezi tu kufanya mfano kupotea na kwenda kutokea sehemu nyingine au eti kujibadilisha umbo..
kuamini uchawi ni ujinga naini uoga uliopitiliza mimi nimeshapita mazingira mengi sana tu kuanzia makaburini, mabaharini, misituni usiku Kwa usiku na sijawahi kuona badiliko lolote nikalihusisha na eti ni mbinu za kishetani. Maisha yapo tu the way yapo magonjwa yapo ya Kuua so hata Ukifa ghafla hujalogwa tunakupima tunajua ulikuwa na ugonjwa gani..
Zamani kweli mambo mengi yalikuwa hayajagunduliwa maswali yasiyo na majibu yalikuwa mengi.. Pressure, kisukari, kifafa na magonjwa ya akili haya kujulikana hivyo watu akili zao ilibidi ziishie kwenye kuamini uchawi kwamba Ukifa na ugonjwa wasioujua basi umelogwa..
Uchawi upo Kwa dhana kwamba una fanywa (Wana upractice Kwa mazoea yao ila hautendi lolote yaani huwezi ukawa tabora eti umuue mtu yupo dar (hakuna outcome yoyote).
Ndo maana mimi daima napenda mtu ninayefanya naye mijadala awe haamini hakuna uchawi nitamkubali sana nitaona kichwa chake kinaweza ku solve mysterious mbalimbali.. mbona simple tu MUNGU YUPO, UKICHAA UPO, MAARIFA YAPO, NGUVU ZIPO ILA UCHAWI HAUPO LABDA UCHAWA.mwingine unakuta eti kisa tu ana kidonda kilichokataa kupona basi wanaelekeza fikra kwamba ni cha kulogwa cha kichawi mbona ishu kama hiyo ni nyepesi kwamba akili yako haitaki kuamini kama kidonda hakiwezi tu kupona Kwa sababu nyingine za afya au mazingira Mpaka utuhumu uchawi?
Kwa hiyo hapo ushahidi wa kuonekana uchawi upo ni kitu gani? Je ni mzee kutokea msijue alikotokea au ni inayosemekana harufu ya jini? Au ni kitendo cha kuambiwa mtupe na muondoke bila kugeuka?Generally speaking,
Mpaka leo Nina confusions juu ya baadhi ya vitu..
RAMLI Ni Nini ? Inafanyaje kazi ? MTU anaweza kukutazama na kumwambia your past, present, future.. Tena kwa usahihi bila kukosea..
Kuna siku tulikua mashambani porini mtoto wa shangazi angu akasema ANASIKIA HARUFU YA JINI Mimi nilim crash zaidi ya Mara tatu..
Tulikua tumeingia shambani kwa MTU bila idhini na tunajichumia majani ya SUNGURA gafla mzee akatokea tusijue alikotokea akauliza MMEOMBA tukajib hapana Akasema MNAJUA KWENYE HILI SHAMBA KUNA NINI? Baada ya kumbembeleza Sana mzee alisema TUPENI majani yoteee na msigeuke nyuma..
Hii dunia Ina mengi Sana yanayo onekana na yasiyo onekana na nawashangaa wote wanao jipa upofu kua hakuna uchawi it's just matter of time...
All in all,
Kama Kuna nguvu ya MUNGU Basi Kuna shetani pia ambae ndie mwovu na ibilisi mwalibifu wa hii dunia
Kwamba lipi? Niumwe Kansa au figo niseme nimelogwa wakati mwenyewe nilikuwa nakunywa mipombe Balaa.. Linikute lipi Kwa MfanoYakikukuta utaelewa kama haupo au la.
Sijalewa mkuu ninajiamini tu kila siku.. Kama ni jinamizi tayari Lina jibu lake kwamba ni sleep paralysis.. Sasa tukio gani la ajabu laweza kutokea maishani tukasema uchawi au kufilisika?? Au kukosa wateja dukani yaani kipi Kwa mfano kitajeKwanini wewe ndege JOHN Huwa unaanzisha thread ukilewa?
Yaani wao eti Kwa sababu wanaonaga nazi njiapanda ndo wanasema uchawi upo wanasahau kwamba zimevunjwa na watu wajinga waliodanganywa na watu wajinga ila wajanja kidogo (waganga) wameendelea kufanya mazoea wakiamini yanatenda kazi so wataendelea tu kufanya masharti yoyote bila kuchokaHongera mkuu. Jambo lolote lile linalohusisha imani haliko mbali na ujinga.(Namaanisha Imani na ujinga ni mapacha).
Nimejaribu kusoma comment za watu wanaosema uchawi unafanya kazi na si nadharia za watu wajinga ila bado sijang'amua chochote zaidi ya kuona wanaleta hadithi za watoto.
Unaweza kuamini uwepo wa MUNGU na usiamini vitendo vya uchawi vinafanya kazi.Kama unaamini Mungu yupo, shetani yupo basi ujue unaamini pia uchawi upo
Utakuwa umechanganyikiwa hapo utakuwa unampinga MunguUnaweza kuamini uwepo wa MUNGU na usiamini vitendo vya uchawi vinafanya kazi.
Nawasikitia sana watu ambao wamebaki kuamini kwamba hapa duniani kuna kitu kinachoitwa uchawi na kinafanya kazi. aisee hakuna kitu kama hicho binadamu ni mnyama tu ana limit zake yako miujiza hawezi tu kufanya mfano kupotea na kwenda kutokea sehemu nyingine au eti kujibadilisha umbo..
kuamini uchawi ni ujinga naini uoga uliopitiliza mimi nimeshapita mazingira mengi sana tu kuanzia makaburini, mabaharini, misituni usiku Kwa usiku na sijawahi kuona badiliko lolote nikalihusisha na eti ni mbinu za kishetani. Maisha yapo tu the way yapo magonjwa yapo ya Kuua so hata Ukifa ghafla hujalogwa tunakupima tunajua ulikuwa na ugonjwa gani..
Zamani kweli mambo mengi yalikuwa hayajagunduliwa maswali yasiyo na majibu yalikuwa mengi.. Pressure, kisukari, kifafa na magonjwa ya akili haya kujulikana hivyo watu akili zao ilibidi ziishie kwenye kuamini uchawi kwamba Ukifa na ugonjwa wasioujua basi umelogwa..
Uchawi upo Kwa dhana kwamba una fanywa (Wana upractice Kwa mazoea yao ila hautendi lolote yaani huwezi ukawa tabora eti umuue mtu yupo dar (hakuna outcome yoyote).
Ndo maana mimi daima napenda mtu ninayefanya naye mijadala awe haamini hakuna uchawi nitamkubali sana nitaona kichwa chake kinaweza ku solve mysterious mbalimbali.. mbona simple tu MUNGU YUPO, UKICHAA UPO, MAARIFA YAPO, NGUVU ZIPO ILA UCHAWI HAUPO LABDA UCHAWA.mwingine unakuta eti kisa tu ana kidonda kilichokataa kupona basi wanaelekeza fikra kwamba ni cha kulogwa cha kichawi mbona ishu kama hiyo ni nyepesi kwamba akili yako haitaki kuamini kama kidonda hakiwezi tu kupona Kwa sababu nyingine za afya au mazingira
Ulimwenguni Kuna nguvu mbili tuu zinazo fanya kazi hasi na chanya yaan ndiomaana tukiona mtu kafanya kitu hasi tunasema hii nguvu ni mbaya na inatokana na kitu tunachokiita (ushetani) ikitokea umefanya kitu chanya basi sisi tutatafsiri umefanya kwa uwezo wa (mungu)Nawasikitia sana watu ambao wamebaki kuamini kwamba hapa duniani kuna kitu kinachoitwa uchawi na kinafanya kazi. aisee hakuna kitu kama hicho binadamu ni mnyama tu ana limit zake yako miujiza hawezi tu kufanya mfano kupotea na kwenda kutokea sehemu nyingine au eti kujibadilisha umbo..
kuamini uchawi ni ujinga naini uoga uliopitiliza mimi nimeshapita mazingira mengi sana tu kuanzia makaburini, mabaharini, misituni usiku Kwa usiku na sijawahi kuona badiliko lolote nikalihusisha na eti ni mbinu za kishetani. Maisha yapo tu the way yapo magonjwa yapo ya Kuua so hata Ukifa ghafla hujalogwa tunakupima tunajua ulikuwa na ugonjwa gani..
Zamani kweli mambo mengi yalikuwa hayajagunduliwa maswali yasiyo na majibu yalikuwa mengi.. Pressure, kisukari, kifafa na magonjwa ya akili haya kujulikana hivyo watu akili zao ilibidi ziishie kwenye kuamini uchawi kwamba Ukifa na ugonjwa wasioujua basi umelogwa..
Uchawi upo Kwa dhana kwamba una fanywa (Wana upractice Kwa mazoea yao ila hautendi lolote yaani huwezi ukawa tabora eti umuue mtu yupo dar (hakuna outcome yoyote).
Ndo maana mimi daima napenda mtu ninayefanya naye mijadala awe haamini hakuna uchawi nitamkubali sana nitaona kichwa chake kinaweza ku solve mysterious mbalimbali.. mbona simple tu MUNGU YUPO, UKICHAA UPO, MAARIFA YAPO, NGUVU ZIPO ILA UCHAWI HAUPO LABDA UCHAWA.mwingine unakuta eti kisa tu ana kidonda kilichokataa kupona basi wanaelekeza fikra kwamba ni cha kulogwa cha kichawi mbona ishu kama hiyo ni nyepesi kwamba akili yako haitaki kuamini kama kidonda hakiwezi tu kupona Kwa sababu nyingine za afya au mazingira Mpaka utuhumu uchawi
Nawasikitia sana watu ambao wamebaki kuamini kwamba hapa duniani kuna kitu kinachoitwa uchawi na kinafanya kazi. aisee hakuna kitu kama hicho binadamu ni mnyama tu ana limit zake yako miujiza hawezi tu kufanya mfano kupotea na kwenda kutokea sehemu nyingine au eti kujibadilisha umbo..
kuamini uchawi ni ujinga naini uoga uliopitiliza mimi nimeshapita mazingira mengi sana tu kuanzia makaburini, mabaharini, misituni usiku Kwa usiku na sijawahi kuona badiliko lolote nikalihusisha na eti ni mbinu za kishetani. Maisha yapo tu the way yapo magonjwa yapo ya Kuua so hata Ukifa ghafla hujalogwa tunakupima tunajua ulikuwa na ugonjwa gani..
Zamani kweli mambo mengi yalikuwa hayajagunduliwa maswali yasiyo na majibu yalikuwa mengi.. Pressure, kisukari, kifafa na magonjwa ya akili haya kujulikana hivyo watu akili zao ilibidi ziishie kwenye kuamini uchawi kwamba Ukifa na ugonjwa wasioujua basi umelogwa..
Uchawi upo Kwa dhana kwamba una fanywa (Wana upractice Kwa mazoea yao ila hautendi lolote yaani huwezi ukawa tabora eti umuue mtu yupo dar (hakuna outcome yoyote).
Ndo maana mimi daima napenda mtu ninayefanya naye mijadala awe haamini hakuna uchawi nitamkubali sana nitaona kichwa chake kinaweza ku solve mysterious mbalimbali.. mbona simple tu MUNGU YUPO, UKICHAA UPO, MAARIFA YAPO, NGUVU ZIPO ILA UCHAWI HAUPO LABDA UCHAWA.mwingine unakuta eti kisa tu ana kidonda kilichokataa kupona basi wanaelekeza fikra kwamba ni cha kulogwa cha kichawi mbona ishu kama hiyo ni nyepesi kwamba akili yako haitaki kuamini kama kidonda hakiwezi tu kupona Kwa sababu nyingine za afya au mazingira
Hongera sana. Wewe ni Shujaa wa fikra. Katika jambo linarudisha nyuma maendeleo na ustawi wa jamii ni hizi fikra za kubebeshana hii Imani na kuishi kuwa na hofu miaka yote na kusababisha majanga kwenye jamii.
Nakuunga mkono, tafadhali nipeni ushirikiano natafuta watu jasiri ambao hawakujengwa kwenye hii fikra tuandae mijadala ya wazo tukomboe fikra za wengi.
Mimi mwenyewe siyo muumini wa hizi fikra haya sms tafadhali kwenye 0765345777 turatibu wengine twendeni kwenye ukombozi jamani. Nilianza huu mjadala juzi Instagram pia, yaani kumbe watu wanaweza kukombolewa. Ahsante Sana.
Nasubiri sms yako na ya yeyote anayependa tushirikiane tafadhali anitumie ujumbe nawaomba Sana sana mashujaa🙏🏽
Nikisema nguvu hasi iko hivi.Ulimwenguni Kuna nguvu mbili tuu zinazo fanya kazi hasi na chanya yaan ndiomaana tukiona mtu kafanya kitu hasi tunasema hii nguvu ni mbaya na inatokana na kitu tunachokiita (ushetani) ikitokea umefanya kitu chanya basi sisi tutatafsiri umefanya kwa uwezo wa (mungu)
Hii ndio sababu watu wanaoamini uwepo wa mungu wanahisi wakipitia mabaya wanafikili ni shetani kawapeleka kwenye mabaya hayo.
Pia uchawi uko hivohivo.
Ni nguvu kama nguvu zozote zile na ipo coz ni elimu ambayo haifundishwi na haiko wazi maana ata wale wanaojifunza huwa wanaitumia kufanya mabaya ndio maana watu ufikili uchawi ni mambo ya kishetani ila mim binafsi naamini uchawi upo. na upo katika pande zote kwenye mazuri na mabaya
ILA UCHAWI UPO BRO.
Watu wote wasioamini uwepo wa uchawi... Kuna level fulani ya maturity hamjafikia(hamjakutana na changamoto ya uchawi) na hii inasabahbiswa na status yako au familia uliyotokea na mazingira unayoishi.Nawasikitia sana watu ambao wamebaki kuamini kwamba hapa duniani kuna kitu kinachoitwa uchawi na kinafanya kazi. aisee hakuna kitu kama hicho binadamu ni mnyama tu ana limit zake yako miujiza hawezi tu kufanya mfano kupotea na kwenda kutokea sehemu nyingine au eti kujibadilisha umbo..