Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hiyo ni karata ya kuungwa mkono na matagaMakonda hafai kupewa nafasi hiyo, Samia atavuna alichopanda muda si mrefu.
Ahsante kwa taarifa.Huyu rais na mwenyekiti wa CCM ni kwamba kuna watu wanamwendesha km gari bovu au ni akili yake. Km ni kuendeshwa kwanini akubali akili zake hazimtoshi?
Aibu atakayoipata kumteua huyu bwana hatakaa asahau. Kwanza tukubaliane Makonda ni miongoni mwa wale binadamu wenye akili ndogo sana hapa duniani. Watu wa dizaini hiyo utawatambua kwa kupenda makuu, sifaa, kuonekana, kujulikana, waropokaji, wazushi, watu wasioona aibu kufanya kioja cha aibu.
Kwangu mimi nafasi ya katibu wa itikadi na uenezi wa chama ni nafasi ndogo tu na ya kawaida. Angalia jitu lisilo na akili kila ofisi anayoenda ni maandamano, mapokezi makubwa yanayogharimu pesa bila sababu. Nafasi hii wamepewa watu wengi kwa nyakati tofauti sijawahi kushuhudia upumbavu wa kiwango cha juu cha huyu bwana. Tunakoelekea hata katibu mkuu wa CCM atakuja kuonekana ni mdogo kuliko Makonda.
Alipokuwa mkuu wa mkoa wa DSM alijikweza mpaka kufikia kuwadharau mawaziri kuwa hawana totauti na yeye wakati kimsingi alikuwa chini ya waziri wa TAMISEMI. Alijiona ndio makamu wa rais zaidi ya hata waziri mkuu.
Sahivi tutashuhudia mtu pekee atakayemheshimu na kumwogopa atakuwa rais pekee. Hili ni janga, Samia umepotea njia, hili jitu halifai kuwa hata balozi wa CCM wa nyumba kumi. Ama kweli miujiza ipo.
Badala aingie ofisini kimya kimya na kwa unyenyekevu ona mambo yanayofanyika na yana live coverage kuchezea kodi za wananchi maskini kipumbavu namna hii. Huyu lofa atakifanya CCM ichukiwe na wananchi, huyu atabomoa chama badala ya kukijenga. Hivi kweli ni Samia nayemfahamu ndio kateu hili fala?
Interesting....Kuna Mambo yalifanyika behind the scene.yanamtesa Sana namba1,ameona ampe cheo ili asichome utambi
Huyu rais na mwenyekiti wa CCM ni kwamba kuna watu wanamwendesha km gari bovu au ni akili yake. Km ni kuendeshwa kwanini akubali akili zake hazimtoshi?
Aibu atakayoipata kumteua huyu bwana hatakaa asahau. Kwanza tukubaliane Makonda ni miongoni mwa wale binadamu wenye akili ndogo sana hapa duniani. Watu wa dizaini hiyo utawatambua kwa kupenda makuu, sifaa, kuonekana, kujulikana, waropokaji, wazushi, watu wasioona aibu kufanya kioja cha aibu.
Kwangu mimi nafasi ya katibu wa itikadi na uenezi wa chama ni nafasi ndogo tu na ya kawaida. Angalia jitu lisilo na akili kila ofisi anayoenda ni maandamano, mapokezi makubwa yanayogharimu pesa bila sababu. Nafasi hii wamepewa watu wengi kwa nyakati tofauti sijawahi kushuhudia upumbavu wa kiwango cha juu cha huyu bwana. Tunakoelekea hata katibu mkuu wa CCM atakuja kuonekana ni mdogo kuliko Makonda.
Alipokuwa mkuu wa mkoa wa DSM alijikweza mpaka kufikia kuwadharau mawaziri kuwa hawana totauti na yeye wakati kimsingi alikuwa chini ya waziri wa TAMISEMI. Alijiona ndio makamu wa rais zaidi ya hata waziri mkuu.
Sahivi tutashuhudia mtu pekee atakayemheshimu na kumwogopa atakuwa rais pekee. Hili ni janga, Samia umepotea njia, hili jitu halifai kuwa hata balozi wa CCM wa nyumba kumi. Ama kweli miujiza ipo.
Badala aingie ofisini kimya kimya na kwa unyenyekevu ona mambo yanayofanyika na yana live coverage kuchezea kodi za wananchi maskini kipumbavu namna hii. Huyu lofa atakifanya CCM ichukiwe na wananchi, huyu atabomoa chama badala ya kukijenga. Hivi kweli ni Samia nayemfahamu ndio kateu hili fala?
Jana ilibidi nichokonoe masikio yangu niliponsikia Makonda akimpa waziri mkuu miezi sita awe ameshughulikia kero zote za ardhi! Haya ngoja tuone.Huyu rais na mwenyekiti wa CCM ni kwamba kuna watu wanamwendesha km gari bovu au ni akili yake. Km ni kuendeshwa kwanini akubali akili zake hazimtoshi?
Aibu atakayoipata kumteua huyu bwana hatakaa asahau. Kwanza tukubaliane Makonda ni miongoni mwa wale binadamu wenye akili ndogo sana hapa duniani. Watu wa dizaini hiyo utawatambua kwa kupenda makuu, sifaa, kuonekana, kujulikana, waropokaji, wazushi, watu wasioona aibu kufanya kioja cha aibu.
Kwangu mimi nafasi ya katibu wa itikadi na uenezi wa chama ni nafasi ndogo tu na ya kawaida. Angalia jitu lisilo na akili kila ofisi anayoenda ni maandamano, mapokezi makubwa yanayogharimu pesa bila sababu. Nafasi hii wamepewa watu wengi kwa nyakati tofauti sijawahi kushuhudia upumbavu wa kiwango cha juu cha huyu bwana. Tunakoelekea hata katibu mkuu wa CCM atakuja kuonekana ni mdogo kuliko Makonda.
Alipokuwa mkuu wa mkoa wa DSM alijikweza mpaka kufikia kuwadharau mawaziri kuwa hawana totauti na yeye wakati kimsingi alikuwa chini ya waziri wa TAMISEMI. Alijiona ndio makamu wa rais zaidi ya hata waziri mkuu.
Sahivi tutashuhudia mtu pekee atakayemheshimu na kumwogopa atakuwa rais pekee. Hili ni janga, Samia umepotea njia, hili jitu halifai kuwa hata balozi wa CCM wa nyumba kumi. Ama kweli miujiza ipo.
Badala aingie ofisini kimya kimya na kwa unyenyekevu ona mambo yanayofanyika na yana live coverage kuchezea kodi za wananchi maskini kipumbavu namna hii. Huyu lofa atakifanya CCM ichukiwe na wananchi, huyu atabomoa chama badala ya kukijenga. Hivi kweli ni Samia nayemfahamu ndio kateu hili fala?
Mkuu acha mvua inyeshe ili tupaone panapovuja. Mamlaka ya uteuzi naona ilipima "strengs vs weaknesses" zake na hatimaye kujiridhisha anakidhi viwango vyote vya kuwa ni "asset" ndani ya chama kupitia nafasi aliyopewa.Huyu rais na mwenyekiti wa CCM ni kwamba kuna watu wanamwendesha km gari bovu au ni akili yake. Km ni kuendeshwa kwanini akubali akili zake hazimtoshi?
Aibu atakayoipata kumteua huyu bwana hatakaa asahau. Kwanza tukubaliane Makonda ni miongoni mwa wale binadamu wenye akili ndogo sana hapa duniani. Watu wa dizaini hiyo utawatambua kwa kupenda makuu, sifaa, kuonekana, kujulikana, waropokaji, wazushi, watu wasioona aibu kufanya kioja cha aibu.
Kwangu mimi nafasi ya katibu wa itikadi na uenezi wa chama ni nafasi ndogo tu na ya kawaida. Angalia jitu lisilo na akili kila ofisi anayoenda ni maandamano, mapokezi makubwa yanayogharimu pesa bila sababu. Nafasi hii wamepewa watu wengi kwa nyakati tofauti sijawahi kushuhudia upumbavu wa kiwango cha juu cha huyu bwana. Tunakoelekea hata katibu mkuu wa CCM atakuja kuonekana ni mdogo kuliko Makonda.
Alipokuwa mkuu wa mkoa wa DSM alijikweza mpaka kufikia kuwadharau mawaziri kuwa hawana totauti na yeye wakati kimsingi alikuwa chini ya waziri wa TAMISEMI. Alijiona ndio makamu wa rais zaidi ya hata waziri mkuu.
Sahivi tutashuhudia mtu pekee atakayemheshimu na kumwogopa atakuwa rais pekee. Hili ni janga, Samia umepotea njia, hili jitu halifai kuwa hata balozi wa CCM wa nyumba kumi. Ama kweli miujiza ipo.
Badala aingie ofisini kimya kimya na kwa unyenyekevu ona mambo yanayofanyika na yana live coverage kuchezea kodi za wananchi maskini kipumbavu namna hii. Huyu lofa atakifanya CCM ichukiwe na wananchi, huyu atabomoa chama badala ya kukijenga. Hivi kweli ni Samia nayemfahamu ndio kateu hili fala?
Mama Samiah kajiua kwa risasi yake mwenyewe. Anadhani anawakomoa CHADEMA kumbe anajikomoa mwenyewe. Baada ya CHADEMA kususia ule mkutano wa vyama mama akaona awakomoe CHADEMA kwa kumteua Makonda. Yetu macho
Ukute wananchi ndo wanapenda mambo hayo... ccm mbele kwa mbeleeeHuyu rais na mwenyekiti wa CCM ni kwamba kuna watu wanamwendesha km gari bovu au ni akili yake. Km ni kuendeshwa kwanini akubali akili zake hazimtoshi?
Aibu atakayoipata kumteua huyu bwana hatakaa asahau. Kwanza tukubaliane Makonda ni miongoni mwa wale binadamu wenye akili ndogo sana hapa duniani. Watu wa dizaini hiyo utawatambua kwa kupenda makuu, sifaa, kuonekana, kujulikana, waropokaji, wazushi, watu wasioona aibu kufanya kioja cha aibu.
Kwangu mimi nafasi ya katibu wa itikadi na uenezi wa chama ni nafasi ndogo tu na ya kawaida. Angalia jitu lisilo na akili kila ofisi anayoenda ni maandamano, mapokezi makubwa yanayogharimu pesa bila sababu. Nafasi hii wamepewa watu wengi kwa nyakati tofauti sijawahi kushuhudia upumbavu wa kiwango cha juu cha huyu bwana. Tunakoelekea hata katibu mkuu wa CCM atakuja kuonekana ni mdogo kuliko Makonda.
Alipokuwa mkuu wa mkoa wa DSM alijikweza mpaka kufikia kuwadharau mawaziri kuwa hawana totauti na yeye wakati kimsingi alikuwa chini ya waziri wa TAMISEMI. Alijiona ndio makamu wa rais zaidi ya hata waziri mkuu.
Sahivi tutashuhudia mtu pekee atakayemheshimu na kumwogopa atakuwa rais pekee. Hili ni janga, Samia umepotea njia, hili jitu halifai kuwa hata balozi wa CCM wa nyumba kumi. Ama kweli miujiza ipo.
Badala aingie ofisini kimya kimya na kwa unyenyekevu ona mambo yanayofanyika na yana live coverage kuchezea kodi za wananchi maskini kipumbavu namna hii. Huyu lofa atakifanya CCM ichukiwe na wananchi, huyu atabomoa chama badala ya kukijenga. Hivi kweli ni Samia nayemfahamu ndio kateu hili fala?
Hukuwahi kusikia hiyo? JPM alimchoka na ndiyo kisa alikosa u RC na uabunge wa Kigamboni piahii mpya kwangu..duh...aibu
yaani sijui siku hiyo nilikua wapi .kumbe chanzo ninhki??Hukuwahi kusikia hiyo? JPM alimchoka na ndiyo kisa alikosa u RC na uabunge wa Kigamboni pia
Si ndiyo faida kwa upinzani? waachane naye waeneze chamaWanaolalamika. Kuhusu Makonda hata CCM wako wengi
Basi anapata anachokitaka kwamba anataka azungumziwe na kweli mnamzungumzia. Hata hivyo ndio aina ya siasa zetu hizo kujadili jadili matukio matukio ya mpito.Yeye ndio anataka kuzungumziwa. Sasa itabidi azungumziwe tu. Mtu anaongea pumba hadharani kwani msimzumzie?
Lipi alilofanya ambalo sio la ovyo na aibu kwa Taifa?Huyu rais na mwenyekiti wa CCM ni kwamba kuna watu wanamwendesha km gari bovu au ni akili yake. Km ni kuendeshwa kwanini akubali akili zake hazimtoshi?
Aibu atakayoipata kumteua huyu bwana hatakaa asahau. Kwanza tukubaliane Makonda ni miongoni mwa wale binadamu wenye akili ndogo sana hapa duniani. Watu wa dizaini hiyo utawatambua kwa kupenda makuu, sifaa, kuonekana, kujulikana, waropokaji, wazushi, watu wasioona aibu kufanya kioja cha aibu.
Kwangu mimi nafasi ya katibu wa itikadi na uenezi wa chama ni nafasi ndogo tu na ya kawaida. Angalia jitu lisilo na akili kila ofisi anayoenda ni maandamano, mapokezi makubwa yanayogharimu pesa bila sababu. Nafasi hii wamepewa watu wengi kwa nyakati tofauti sijawahi kushuhudia upumbavu wa kiwango cha juu cha huyu bwana. Tunakoelekea hata katibu mkuu wa CCM atakuja kuonekana ni mdogo kuliko Makonda.
Alipokuwa mkuu wa mkoa wa DSM alijikweza mpaka kufikia kuwadharau mawaziri kuwa hawana totauti na yeye wakati kimsingi alikuwa chini ya waziri wa TAMISEMI. Alijiona ndio makamu wa rais zaidi ya hata waziri mkuu.
Sahivi tutashuhudia mtu pekee atakayemheshimu na kumwogopa atakuwa rais pekee. Hili ni janga, Samia umepotea njia, hili jitu halifai kuwa hata balozi wa CCM wa nyumba kumi. Ama kweli miujiza ipo.
Badala aingie ofisini kimya kimya na kwa unyenyekevu ona mambo yanayofanyika na yana live coverage kuchezea kodi za wananchi maskini kipumbavu namna hii. Huyu lofa atakifanya CCM ichukiwe na wananchi, huyu atabomoa chama badala ya kukijenga. Hivi kweli ni Samia nayemfahamu ndio kateu hili fala?
Kumbe mazuzu tuko wengi nji hii?Huyu rais na mwenyekiti wa CCM ni kwamba kuna watu wanamwendesha km gari bovu au ni akili yake. Km ni kuendeshwa kwanini akubali akili zake hazimtoshi?
Aibu atakayoipata kumteua huyu bwana hatakaa asahau. Kwanza tukubaliane Makonda ni miongoni mwa wale binadamu wenye akili ndogo sana hapa duniani. Watu wa dizaini hiyo utawatambua kwa kupenda makuu, sifaa, kuonekana, kujulikana, waropokaji, wazushi, watu wasioona aibu kufanya kioja cha aibu.
Kwangu mimi nafasi ya katibu wa itikadi na uenezi wa chama ni nafasi ndogo tu na ya kawaida. Angalia jitu lisilo na akili kila ofisi anayoenda ni maandamano, mapokezi makubwa yanayogharimu pesa bila sababu. Nafasi hii wamepewa watu wengi kwa nyakati tofauti sijawahi kushuhudia upumbavu wa kiwango cha juu cha huyu bwana. Tunakoelekea hata katibu mkuu wa CCM atakuja kuonekana ni mdogo kuliko Makonda.
Alipokuwa mkuu wa mkoa wa DSM alijikweza mpaka kufikia kuwadharau mawaziri kuwa hawana totauti na yeye wakati kimsingi alikuwa chini ya waziri wa TAMISEMI. Alijiona ndio makamu wa rais zaidi ya hata waziri mkuu.
Sahivi tutashuhudia mtu pekee atakayemheshimu na kumwogopa atakuwa rais pekee. Hili ni janga, Samia umepotea njia, hili jitu halifai kuwa hata balozi wa CCM wa nyumba kumi. Ama kweli miujiza ipo.
Badala aingie ofisini kimya kimya na kwa unyenyekevu ona mambo yanayofanyika na yana live coverage kuchezea kodi za wananchi maskini kipumbavu namna hii. Huyu lofa atakifanya CCM ichukiwe na wananchi, huyu atabomoa chama badala ya kukijenga. Hivi kweli ni Samia nayemfahamu ndio kateu hili fala?
Hatumii kodi za Wananchi bali anatumia pesa za CCM, halafu kama kwako wewe ni mtu mdogo unamuongelea wa nini kutwa kucha? Punguza hasira subiri zamu yenu Makonda awanyoosheHuyu rais na mwenyekiti wa CCM ni kwamba kuna watu wanamwendesha km gari bovu au ni akili yake. Km ni kuendeshwa kwanini akubali akili zake hazimtoshi?