Katika kizazi hiki cha Z generation Benjamini Netanyau ndiyo kiongozi mtata na mtukutu zaid kumshudia

Katika kizazi hiki cha Z generation Benjamini Netanyau ndiyo kiongozi mtata na mtukutu zaid kumshudia

Anajiona mwamba kamkurupusha Assad na yeye halali vile vile waasi hawaaminiki kajipa kazi ya kuharibu silaha wale watamgeuka tuu atake asitake nyie subirini
Wakijichanganya atawachinja
 
Naona wewe gen z humjui JPM vizuri huyo jamaa angekuwa na uchumi mkubwa kama wa marekani, sidhani kama dunia hii ingekuwa salama kwa wakosoaji wake🤣🤣
" Hiiiiii au nasema uongo ndugu zangu"
Nani kasema Israel haina uchumi mkubwa? Kaulize vizuri
 
Leo kesema kwenye hotuba kuwa atakaye tana kuidhuru Israel anamkata mikono.. hahaha kesema Alianza kutafuna Iran pale wa na proxy zake tokea ile October 7 hatua kwa hatua hadi sasa wapo hoi na ndio sababu ya kuanguka kwa Assad ze Simba
 
Kuna chuma kimeungia pale Syria kinaitwa jolan lazima benja ateme bungo
Syria Ambayo ameingia bila kupata upinzani. Na amechukua eneo la Mlima Goran ambalo ilikuw kijiwe cha Hezbollah na Hamass kuishambulia Israel. Na pale Goran wataeka Kambi kubwa ya kijeshi baada ya hakutakuwa na Makundi ya Kigaidi tena Middle East. Siku za Ayyatollah wa Iran zinahesabika.
 
Amani kwenu watumishi

Wamewahi kutokea viongozi wengi lakin sisi Gen Z hatukuwashudua

Lakini katika generation yetu hii huyu jamaa mwamba wa kuitwa Benjamini Netanyau ndo mtata zaid kwa sasa

Trump ni jeuri tu lakini si mtata kama jamaa

Huyu jamaa harudigi nyuma

IQ kubwa sana
Mjinga yoyote ukimpa silaha anaweza kuea ruthless, same to Kim Jong Un, Rodrigo duterte so nothing special about huyo Netanyahu. Kuna msemo unasema " never underestimate a fool with a big gun"
 
Leo kesema kwenye hotuba kuwa atakaye tana kuidhuru Israel anamkata mikono.. hahaha kesema Alianza kutafuna Iran pale wa na proxy zake tokea ile October 7 hatua kwa hatua hadi sasa wapo hoi na ndio sababu ya kuanguka kwa Assad ze Simba
Vipi kesi yake ya kutoa rushwa na ufisadi inasikilizwa lini tena? Au tunasubiri vita ziishe turudi mahakamani?
 
Nawaza kama Bibi angekuwa ndio kiongozi wa Russia je angeweza kusustain vita dhidi ya mataifa 30 kwa muda wa miaka mitatu?
 
Amani kwenu watumishi

Wamewahi kutokea viongozi wengi lakin sisi Gen Z hatukuwashudua

Lakini katika generation yetu hii huyu jamaa mwamba wa kuitwa Benjamini Netanyau ndo mtata zaid kwa sasa

Trump ni jeuri tu lakini si mtata kama jamaa

Huyu jamaa harudigi nyuma

IQ kubwa sana
Ritz anamfahamu huyu Netanyau mara kadhaa amekuwa akielezewa amelipuliwa na Hamas au Hizbullah kesho yake anaibuka tena. Ameshindikana. Mataifa yametoa matamko mengi dhidi yake na mahakama za Kimataifa ila hajali anaendelea kugonga tu wenzie. Ni mbishi na akiamua ameamua.
 
Mjinga yoyote ukimpa silaha anaweza kuea ruthless, same to Kim Jong Un, Rodrigo duterte so nothing special about huyo Netanyahu. Kuna msemo unasema " never underestimate a fool with a big gun"
But Netanyau ni very smart na ame prove kuwa ni smart sana. Kilichotokea Syria kimenisikitisha. Iran ipo tu ina chechemea. Huyu jamaa ni very smart.
 
Amani kwenu watumishi

Wamewahi kutokea viongozi wengi lakin sisi Gen Z hatukuwashudua

Lakini katika generation yetu hii huyu jamaa mwamba wa kuitwa Benjamini Netanyau ndo mtata zaid kwa sasa

Trump ni jeuri tu lakini si mtata kama jamaa

Huyu jamaa harudigi nyuma

IQ kubwa sana
Si kweli.@WebabuRitzFaizafoxyKimsboyMalaria wamekataa.
 
Back
Top Bottom