Katika kizazi hiki cha Z generation Benjamini Netanyau ndiyo kiongozi mtata na mtukutu zaid kumshudia

But Netanyau ni very smart na ame prove kuwa ni smart sana. Kilichotokea Syria kimenisikitisha. Iran ipo tu ina chechemea. Huyu jamaa ni very smart.
Smart kivipi? Kutumia aggression ndio smartness? Hata kichaa ukimpa silaha anaweza tu kuvamia nchi yoyote na kuipiga doesn't need smartness.
Pia Angekua smart asingepewa kesi za ICC wala kudakwa kwenye ufisadi.
 
Gen Z ni wewe humu wengi ni Generation millennials.

Mpaka hapo 2013 tumeanza kupokea Gen alpha.
 
Smart kivipi? Kutumia aggression ndio smartness? Hata kichaa ukimpa silaha anaweza tu kuvamia nchi yoyote na kuipiga doesn't need smartness.
Pia Angekua smart asingepewa kesi za ICC wala kudakwa kwenye ufisadi.
Kesi za ICC unafahamu ni watu wangapi wamewahi kupewa? Wala si issue. Kama anachokozwa acha awachape, wachapane. Jamaa yupo smart sana na amefanikiwa angalau kulipiza mauaji ya watu wake ambao wameuawa. Ufisadi waliwahi kudakwa hadi akina kikwete, akina rostam, akina manji. Na je imemuathiri vipi?
 
Amani kwenu watumishi

Wamewahi kutokea viongozi wengi lakin sisi Gen Z hatukuwashudua

Lakini katika generation yetu hii huyu jamaa mwamba wa kuitwa Benjamini Netanyau ndo mtata zaid kwa sasa

Trump ni jeuri tu lakini si mtata kama jamaa

Huyu jamaa harudigi nyuma

IQ kubwa sana
Obama,pekee kama RAIS wa Dunia ,amekili hilo kwamba katika Uongozi wake ,hakuna mtu mtukutu kama Benjamin mkikubaliana hili yeye anaitikia tu matokeo ni tofauti
 
Naona wewe gen z humjui JPM vizuri huyo jamaa angekuwa na uchumi mkubwa kama wa marekani, sidhani kama dunia hii ingekuwa salama kwa wakosoaji wake🤣🤣
" Hiiiiii au nasema uongo ndugu zangu"
Sahihi kabsa! Pembeni yake awepo Bashite na upande mwingine Sabaya
 
Kesi za ICC unafahamu ni watu wangapi wamewahi kupewa? Wala si issue. Kama anachokozwa acha awachape, wachapane. Jamaa yupo smart sana na amefanikiwa angalau kulipiza mauaji ya watu wake ambao wameuawa. Ufisadi waliwahi kudakwa hadi akina kikwete, akina rostam, akina manji. Na je imemuathiri vipi?
Safi sana
 
We hujitambui, umesema ni smart ndio nakuuliza kama angekua smart angetoa rushwa wazi wazi hadi akadakwa kirahisi. Eti anawapa favor kwa kutumia sheria kabisa ili gazeti limsifie alafu unamuita smart?

Ungesema ni mbabe na mkorofi it makes sense ila sio smart. Huwezi toa rushwa kishamba hivyo unajiiya smart. Hao kina Kikwete na Rostam ni smart ndio maana hata kupata ushahidi dhidi ya ufisadi wao ni ngumu!!

Anyway kamtetee mahakamani
 
Ungejuwa usingesema bila Mossad hao jamaa wasingepata nchi achakabisa hawata kohowa hata kidogo stay tune
Bila Mossad? Kila kitu ni kuwasifia hao wahuni. Sema Kama sio urusi kuingilia wasingepata fursa.
 
We hujitambui, umesema ni smart ndio nakuuliza kama angekua smart angetoa rushwa wazi wazi hadi akadakwa kirahisi. Eti anawapa favor kwa kutumia sheria kabisa ili gazeti limsifie alafu unamuita smart?

Ungesema ni mbabe na mkorofi it makes sense ila sio smart. Huwezi toa rushwa kishamba hivyo unajiiya smart. Hao kina Kikwete na Rostam ni smart ndio maana hata kupata ushahidi dhidi ya ufisadi wao ni ngumu!!

Anyway kamtetee mahakamani
Naona kama umepaniki sana sheikh wangu. Tatizo nini lakini?kunywa maji tulia kidogo. Benjamin Netanyau is one of the very best and smart leaders ukanda ule alichokifanya. Sisi tumevurugika sana. Syria, Iran, Hizbu, Hamas. The man is very smart. Just calm down usipaniki ukisoma ukiwa na utulivu ukafikiria pia bila mihemko utagundua.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Salamaleko shekh

Naona umepanik
 
Naona kama umepaniki sana sheikh wangu. Tatizo nini lakini?kunywa maji tulia kidogo. Benjamin Netanyau is one of the very best and smart leaders ukanda ule alichokifanya. Sisi tumevurugika sana. Syria, Iran, Hizbu, Hamas. The man is very smart. Just calm down usipaniki ukisoma ukiwa na utulivu ukafikiria pia bila mihemko utagundua.
Kwamba kupambana na failed states ni smartness? Mtu smart alafu amedakwa akihonga sidhani kama unajua unachoongea.

Kingine Russia anampa silaha Iran na Hezbollah, kwanini hamgusi Russia? Ndio ujue anapambana na mataifa madogo tu ila hana ubavu wa kupambana na mataifa size yake. Ni suala la muda tu siku atamchokoza Russia au China na ndio itakua mwisho wake.
 
Back
Top Bottom