Minjingu Jingu
JF-Expert Member
- Nov 2, 2023
- 1,072
- 2,384
Naona kama umepaniki sana sheikh wangu. Tatizo nini lakini?kunywa maji tulia kidogo. Benjamin Netanyau is one of the very best and smart leaders ukanda ule alichokifanya. Sisi tumevurugika sana. Syria, Iran, Hizbu, Hamas. The man is very smart. Just calm down usipaniki ukisoma ukiwa na utulivu ukafikiria pia bila mihemko utagundua. Failed hiyo vipi?ikishinda inakuwa state ikishindwa failed state?kunywa maji mengi sheikh wangu. Haya mambo hayataki hasiraKwamba kupambana na failed states ni smartness? Mtu smart alafu amedakwa akihonga sidhani kama unajua unachoongea.
Kingine Russia anampa silaha Iran na Hezbollah, kwanini hamgusi Russia? Ndio ujue anapambana na mataifa madogo tu ila hana ubavu wa kupambana na mataifa size yake. Ni suala la muda tu siku atamchokoza Russia au China na ndio itakua mwisho wake.