Katika kizazi hiki cha Z generation Benjamini Netanyau ndiyo kiongozi mtata na mtukutu zaid kumshudia

Amani kwenu watumishi

Wamewahi kutokea viongozi wengi lakin sisi Gen Z hatukuwashudua

Lakini katika generation yetu hii huyu jamaa mwamba wa kuitwa Benjamini Netanyau ndo mtata zaid kwa sasa

Trump ni jeuri tu lakini si mtata kama jamaa

Huyu jamaa harudigi nyuma

IQ kubwa sana
Bibi sio mtata ni hali tu ya mashariki ya kati. Kuna huyu Putin.
 
Amani kwenu watumishi

Wamewahi kutokea viongozi wengi lakin sisi Gen Z hatukuwashudua

Lakini katika generation yetu hii huyu jamaa mwamba wa kuitwa Benjamini Netanyau ndo mtata zaid kwa sasa

Trump ni jeuri tu lakini si mtata kama jamaa

Huyu jamaa harudigi nyuma

IQ kubwa sana
Gen z wapo kila mwaka ni namba tu za miaka ya watu kubadilika
 
Amani kwenu watumishi

Wamewahi kutokea viongozi wengi lakin sisi Gen Z hatukuwashudua

Lakini katika generation yetu hii huyu jamaa mwamba wa kuitwa Benjamini Netanyau ndo mtata zaid kwa sasa

Trump ni jeuri tu lakini si mtata kama jamaa

Huyu jamaa harudigi nyuma

IQ kubwa sana
Naunga mkono hoja.

Mm kinachonishangaza Israel ipo vitani ila raia Kila uchwao wako barabarani wanaandamana pia PM Netanyau akiwa kama Kiongozi wa nchi pamoja na war cabinet hapo hapo anatakiwa asimame mahakamani kujitetea asiwajibishwe kwa makosa aliyoyafanya kabla hata vita havijaanza.

Kuna muda napata shida kuwaelewa waisrael na mambo Yao.
 
Back
Top Bottom