Katika kizazi hiki cha Z generation Benjamini Netanyau ndiyo kiongozi mtata na mtukutu zaid kumshudia

Naona kama umepaniki sana sheikh wangu. Tatizo nini lakini?kunywa maji tulia kidogo. Benjamin Netanyau is one of the very best and smart leaders ukanda ule alichokifanya. Sisi tumevurugika sana. Syria, Iran, Hizbu, Hamas. The man is very smart. Just calm down usipaniki ukisoma ukiwa na utulivu ukafikiria pia bila mihemko utagundua. Failed hiyo vipi?ikishinda inakuwa state ikishindwa failed state?kunywa maji mengi sheikh wangu. Haya mambo hayataki hasira
 


Ex Sarayet Metkal. Baba yake alikuwa zionist hatari na msomi.
Kaka yake alikufa kwenye operation ya Entebbe mwaka 1976.
Yeye alichangia sana Yitzhak Rabin kupigwa risasi na Yigal Amir kwa amsha amsha zake za kupinga peace process na wapalestina.
Sasa hivi ameibadili Middle East kwa jinsi ilivyompendeza.
Mwenye wivu ajinyonge
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…