Katika kundi la 260 waliokwenda Israel kama hakukua na waislamu basi kulikuwa na ajenda ya siri

waislam mmelogwa na nan ? watu wanapambana kwenda kusoma ww unasema wametumwa , uvivu wenu isiwe kigezk cha kuwatisha wengine wasipambane
 
Hamna upendeleo wowote wa kidini kbs, wengine wanasoma zile program za online wakishapata vyeti wanatumia hvo vyeti kuomba kua interns huko na wanapata na wapo wengi sana waliofanya hv mfano waliosoma agronomy, animal science & BVM
waislam ni hamnazo
 
Huko kunakoitwa Israel ni ardhi ya Wapalestina, hivyo ukienda huko ujue kabisa kuuawa ni haki yako.

Watu wanapambania ardhi yao alafu jitu linatoka huku kwenda kusoma huko au kufanya kazi huko....pumbavu
kwaiyo unabishana na quran yenu ?
 
Wale waliokua wanapita kule pembeni nao imekuaje
Au wale walikua sio wazayuni wakachiwa tu kwaraha zao
Pole kwa familia ya mollel ila kwa hili mazayuni wanahusika
mzayuni anafananaje ?
 
Kwenye hii vita tutajua mengi sana, ila mi bado nawashangaa mnaotanguliza udini kila kukicha.
 
Nikisema tatizo la wakristo hasa tec ni ushoga nitakua nakosea sana maana sio tec wote wanaounga mkono huo ujinga,so unatukosea sana waislam unapotujumlisha waislam wote na ujinga
kwa waislam ni % kubwa ni wajinga wanawameza wenye akili wachache
 
aseme kama kuna muislam aliwai omba kusoma Israel akakataliwa
 
kama unamshambulia jamaa na unamuacha mtoa mada anaeleta mada za kijinga bas na ww ni mjinga pia , badala ya kuleta majina ya waislam walioomba kusoma israel wakakataliwa yeye analaumu walioomba wakakubaliwa , pia hajui kuwa wapalestina waarabu na waislam pia kila siku wanaingia Israel kufanya kaz bila buguza ,ila yupo hapa kutunga story
 
lin mliwapima DNA ?
 
Kwa Tanzania hiyo haiwezekani hata iwe vipi, itakuwa wapo mchanganyiko.
 
wale wapita njia una uhakika gan kama sio hamas wenzao ? una uhakika gan kama sio wapalestina na badala yake unawapa uraia wa israel
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…