Mazayuni wote ni wahamiaji tu hapo baada ya 1948, hata DNA zao haziendani kabisa na Wayahudi waliokuwepo nchi za Kiarabu kabla ya 1948 wanaoitwa "mezrahi".
Hao wakupelekwa tu pale wanaitwa "ashkenazi" ndiyo kina netanyahu hao, hawana kabisa asili ya nchi za Kiarabu.
Kumbuka kuwa mezrahi walikuwepo vikundi vikundi vinavyoishi kiukoo middle east yote, hao hawana kabisa matatizo na waarabu isipokuwa sasa wanajazwa fitna na ashkenazi lakini hata hivyo wanapinga kabisa hii vita ya kijinga iliyotarishwa na Wamarekani ili waendelee kushika utajiri wa maguta uliopo mashariki ya kati.