Katika kundi la 260 waliokwenda Israel kama hakukua na waislamu basi kulikuwa na ajenda ya siri

Katika kundi la 260 waliokwenda Israel kama hakukua na waislamu basi kulikuwa na ajenda ya siri

Huyo alikutwa camp ya jeshi na mpa mda hu siamini kauliwa na Hamasi, askari wa Hamasi hawauwi mateka hata siku moja.

Siku za mbele mtasikia Israel ndio alimuwa wala si Hamasi.

Afu mtoa mada unapoint vipi wale wote wakristo ndio wamenda kosemeshwa Israel, kama hakuna siri hapo nyuma ya pazia inatakiwa serekali ifatilie na ichunguze nani aliye watuma kusoma huko? Je ni serekali au wenyewe? Kama wenyewe hao lazima walitumwa kujiunga na jeshi la Israel.

Naomba serekali ya Tanzania ifatilie hi point ni muhimu sana, na mtoa mada wewe akili zako ni [emoji817]
waislam mmelogwa na nan ? watu wanapambana kwenda kusoma ww unasema wametumwa , uvivu wenu isiwe kigezk cha kuwatisha wengine wasipambane
 
Hamna upendeleo wowote wa kidini kbs, wengine wanasoma zile program za online wakishapata vyeti wanatumia hvo vyeti kuomba kua interns huko na wanapata na wapo wengi sana waliofanya hv mfano waliosoma agronomy, animal science & BVM
waislam ni hamnazo
 
Huko kunakoitwa Israel ni ardhi ya Wapalestina, hivyo ukienda huko ujue kabisa kuuawa ni haki yako.

Watu wanapambania ardhi yao alafu jitu linatoka huku kwenda kusoma huko au kufanya kazi huko....pumbavu
kwaiyo unabishana na quran yenu ?
 
Kwenye hii vita tutajua mengi sana, ila mi bado nawashangaa mnaotanguliza udini kila kukicha.
 
Nikisema tatizo la wakristo hasa tec ni ushoga nitakua nakosea sana maana sio tec wote wanaounga mkono huo ujinga,so unatukosea sana waislam unapotujumlisha waislam wote na ujinga
kwa waislam ni % kubwa ni wajinga wanawameza wenye akili wachache
 
Tupewe orodha ya majina yao wote walioenda kusoma israeli lakini majina tu haitoshi tupate na uthibitisho wa dini zao. Umeongea kitu cha msingi sana serikali zetu za kiafrika tunafanya mambo kienyeji hatujui kumbe tupo vitani. Huu ni mgogoro wa kidiplomasia.
aseme kama kuna muislam aliwai omba kusoma Israel akakataliwa
 
Wewe ni mjinga sema tu hawajakuambia hao jamaa wanaokuzunguka kuwa wewe ni mjinga ndio maana kila sehemu unawaona wengine wajinga kwa hoja za kijinga.
Jiangalie tu kwenye kioo utaona ujinga wako tu.
Kila sehemu unasema Waislamu wajinga wakati wewe mwenyewe ni jinga kubwa na miwani yako utadhani fenesi.
Ni bora tu ujiue mbona chuki zako zitaacha wakuue kabla hujajiua mwenyewe.
Uncivilised!
kama unamshambulia jamaa na unamuacha mtoa mada anaeleta mada za kijinga bas na ww ni mjinga pia , badala ya kuleta majina ya waislam walioomba kusoma israel wakakataliwa yeye analaumu walioomba wakakubaliwa , pia hajui kuwa wapalestina waarabu na waislam pia kila siku wanaingia Israel kufanya kaz bila buguza ,ila yupo hapa kutunga story
 
Mazayuni wote ni wahamiaji tu hapo baada ya 1948, hata DNA zao haziendani kabisa na Wayahudi waliokuwepo nchi za Kiarabu kabla ya 1948 wanaoitwa "mezrahi".

Hao wakupelekwa tu pale wanaitwa "ashkenazi" ndiyo kina netanyahu hao, hawana kabisa asili ya nchi za Kiarabu.

Kumbuka kuwa mezrahi walikuwepo vikundi vikundi vinavyoishi kiukoo middle east yote, hao hawana kabisa matatizo na waarabu isipokuwa sasa wanajazwa fitna na ashkenazi lakini hata hivyo wanapinga kabisa hii vita ya kijinga iliyotarishwa na Wamarekani ili waendelee kushika utajiri wa maguta uliopo mashariki ya kati.
lin mliwapima DNA ?
 
Kawaida katika mambo mengi hutajwa Tanzania haiangalii dini wala rangi ya mtu. Hata hivyo kuna mengi huendeshwa kidini na kiubaguzi mwengine ambao huwa umejificha sana.

Nilikuwa nafuatilia ile orodha ya vijana 260 waliotajwa kwenda kusoma kilimo na sijaiona.

Shaka yangu ni kuwa huenda wote wametoka maeneo au vyuo ambako hakuna waislamu. Hiyo inaweza ikawa ni maelekezo ya wafadhili ya zile nafasi na kwa kuwa walikuwa na ajenda ya siri ya kuwaingiza kwenye mafunzo ambayo waislamu wasingefaa kupelekwa.

Picha ya hatma ya Joshua Mollel imezidisha shaka hiyo na hasa kwa vile imechelewa kutolewa kama kwamba ilikuwa ni siri ya Israel ambayo mwisho wake siri hiyo imewaponyoka.
Kwa Tanzania hiyo haiwezekani hata iwe vipi, itakuwa wapo mchanganyiko.
 
Hakuna sehem nimelazimisha nimeuliza
Hamas wamemuua mollel kama mnavyodai kuthibitisha kua wale hamas mmeshindwa
Wale wenginewalokua wanapita njia wa dini ile dini ipi au umejuaje kama wa dini ile
Kama race hata race ile ile pia aliwahi tekwa na hamas na kwenye kuachia mateka nae akaachiwa
Sasa hoja yako bado sijaielewa kabisaa
Najua baada ya uthibitisho kwamba israhell wameamua mollel kuja hadharani mtakuja hapa na masuala ya collateral damage
wale wapita njia una uhakika gan kama sio hamas wenzao ? una uhakika gan kama sio wapalestina na badala yake unawapa uraia wa israel
 
Back
Top Bottom