Katika maisha, nimejifunza kuwa mwanamke sio mtu wa kumuamini kabisa

Watu wanaopokonya wapenzi wao vitu baada ya kuzinguana naona ni ushamba tu.
 
Sasa kinachokufanya usiamini wanawake ni nini?
Kwani mlikubaliana wewe ndio.mwanaume wake.pekee?
Au mlikubaliana kuwa ukimnunulia simu wanaume.wengine hawawezi kumpigia?

Hiyo ni changamoto ndogo sana ya mapenzi, fanya ni hasara kama hasara nyingine
 
Watu wanaopokonya wapenzi wao vitu baada ya kuzinguana naona ni ushamba tu.
Wee tall dark and handsome ulishawahi kumpa nini labda tuanzie hapo...and mbususu doesnt count for that matter
 
Jamaa yupo dunia gani sijui mademu kwa asilimia 90 kwa siku hizi si wa kutongoza au kubembeleza ukimbembeleza anakuona mshamba fulani, siku hizi ni vipi mambo uko poa, njoo basi somewhere, unampa luxury uchwara na vibia unapiga mzigo unampa 30 unasepa! Kizazi hiki hakipendi majamaa yanayorembaremba ndio saikolojia yao ilivyo! No matter yupo decent kwa namna gani?
 
Kwa ulivyoshauriwa,mdanganye aje kuchukua zawadi bora kabisa then mle timing pokonya simu halafu sepa, is petty lakini dawa ya muhuni ni uhuni tuu ustaarabu hawajui
 

Chukua simu yako mzee
 
Sijampa chochote zaidi ya utamu.
But i said utamu doesnt count maana ata yeye kakupa utamu.
Therefore usiseme kuwa wanaume washamba kutaka vitu vyao baada ya breakup maana mpaka pale utakapo mpa handsome boy kitu kikubwa alafu akakubwaga ndio utaelewa uchungu tunaoupata
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…