Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naunga mkono hojaWaooooo like your name KWISHA na umekwishaaa kweli kweli.
Am sorry my Brother, kachukue simu yako ila kama Tecno au Infinix muachie itamlipukia hiyo, ila kama ni Samsung au IPhone chukuaaaaaaa.
Umeanza mambo yako.Huo ukauzu umeanza lini bhana,utaweza[emoji23]
[emoji119][emoji119][emoji119][emoji3577][emoji3577]Nami ilishwahi nikuta hiyo demu alikuwa mzuri sana (cheupe ndio ugonjwa wangu) nilimuelewa sana nikasema huyu naoa kabisa.
Nami nikamnuliaga simu ya kama 180k hivi sasa alafu nilivyokuwa zoba kwasababu ya kupenda nilimnunulia cm kabla ya kupiga miti, mi sikujua kama demu kichwan kama ana low IQ kiasi kile hivyo hivyo akaanza gafla kulingalinga mpaka tukaachana, kilichoniuma zaidi ni nimemnunulia cm alafu sijapga miti, nikapotea tu simu hata sikumpokonya nikapotezea tu.
Kama miez 8/10 hivi ikapita nashangaa cm inaita namba ngeni,,kupokea ananambia mimi ni fulani,,,nikamwambia poa,,tukachati chati akaniuliza,,vipi ulishaoa nikamwambia bado,,,akawaanajisogeza sogeza nibebe tena mzigo na akasema simu yake aliibiwa kwenye daladala (niliyomnunulia) maana alikuwa na kiswaswadu na katika maongez baadae akiuliza kiutani 'vipi nikikuambia uninunulie tena cm utakubali' nikamwambia haaa usijar mimi kwa wew tena,,ngoja KIDOGO mambo YAKAE SAWA
Nikasema huyu ntamuonyesha shoo mpaka afurahi,,nami bila hiyana 'tukarudiana' safari hii sikumchelewesha nikamuombaga gemu fasta,,hakuzingua ,, nikamwambia aje getho night ,,demu akaja 'nikapiga show ya maana' (ingawa demu mzuri lakini shoo yake F ) asubuhi akasepa
Mara akashangaa hata meseji ya
kumuhuliza vipi umefika salama sijamtumia,,
akaniuliza vipi mbona haujaniuliza kama nimefika,
,kidume nikamute kimya,,,,
Baada ya kama masaa matatu akatuma sms 'naona umefanikisha ulichotaka '
Nikamtext tu 'hahahahha'
Alafu akala block namba zake zote
Na nikafufutilia mbali namba yake,,,nikasema huyu demu aliniona mi boya sana,,,nikafurahi tu nae kaumia nikasema saa hz tume 'balance equation' kiroho safi
Itakua iphone za mchongowakati iPhones siku hizi ndizo zinaongoza kwa kulipuka
Sent from my Infinix X683 using JamiiForums mobile app
[emoji3]Upo sahihi[emoji1787]
Hatari sana hiki kitabu, uwe unawaletea vijana sio wanawapa tu wanawake vitu kijinga, na akimaliza hicho asome flirt like a pro. Cha huyo huyo dominic mann nafikiri atakuwa amepiga hatua kubwa kwenye maswala ya wanawake.
Ndo mana juzi kunademu nimempa lift kesho yake nikala mzigo akijua mi ni bonge la bwana nilimsugua usiku kucha kwa fuja nika mpakia boda asubuhi na 5k mkononi ndo alipie boda hapo hapo yaan kanilaani laana zote mamaeee... Si wachekeagi kwenye helaWahuni sio watu, unamnunulia mpenzi wako simu halafu simu hio hio anaitumia kumpigia mpenzi wake. Maisha hayajawahi kuwa faire.
Halafu kuna kenge itasema mwanamke mpe
pesa au vitu anatulia vizuri.
Ukome siku ingine kugawa smNdugu zangu mimi mwenzenu kwa mara hii nahisi nimepigwa na radi kabisa sio tena kitu kizito. Kuna demu nilimtongoza kwa bahati nzuri demu huyo alinikubalia.
Sasa ikawa ngumu kwetu kuongea kwa maana alikuwa hana simu mimi na mapenzi yangu ya kijinga nikajifanya kiherehere cha kumnunulia simu kubwa ya laki 3 nikampa demu. Cha ajabu simu niliyo nunua sasa hivi ndo inanitesa.
Huyo demu sasa hivi hapokehi simu zangu wala kujibu sms zangu na kila nikienda kwao namkuta anaongea na wanaume wengine pale kwao. Tena kwenye simu niliyonunua. Yaani kwa kifupi demu hana mpango na mimi tena.
Je, ni halali mimi kuchukua simu yangu kwake au ni mpotezee?
mkuu nasubiri utuambie uliyoyakuta kwenye iyo simumkuu pole mimi ilinitokea miezi miwili nyuma nilimnunulia demu simu sumsung A11 nikampa ili mawasiliano yaimarike niendelee kufaidi mbususu kwa uhakika zaidi..
Sasa bhna baada ya kupokea simu kama wiki hivi nikaanza kuona mabadiliko kitu cha kwanza nilianza kuona ni siwezi kuona status zake WhatsApp nikajua hapa lazima namba imefutwa au privacy inatumika juu yangu ili nisione nini na nani anawekwa status.
Siku moja nikiwa nimetoka kazini mida ya saa kumi12 nikampigia mtoto nikamwambia nataka tuonane akanambia naomba iwe saa moja namalizia kupika nikamwambia sawa ilipo fika saa moja nikajisogeza maeneo ya kukutana nikawa nameza moto polepole muda unasonga .
Nilipo mpigia nikamwambia nakusubiri maeneo hapa uje akagutuka heee! umeshakujaa?? nikamwambia ndio akaanza sasa mbona umekuja na sijakwambia uje nikamjibu tulikubaliana ni saa moja.
Akasema mi bado nina kazi siwezi kutoka nikamwambia utamamaliza saa ngapi akajibu sijui..nikaona isiwe tabu nikakata simu nikamalizia kinywaji nikasepa lakini kichwani nawaza hizi dharau.
Nikaanza mpango wa kutaka kachukua simu yangu ili mpango uende vizuri nikasema sitakiwi kuwa na hasira niwe mpolee basii baada ya siku moja kupita nikamwambia nakuja huko nikuletee zawadi gani,? akasema amua wewe basi chap nikaingia online nikadownlod caver za simu yake za kike nzuri nikamtumia picha nikamwambia chagua caver mbili nipo dukani hapa nikununulie akasema nataka hii na hiii...
Basii nikajua hapa kila kitu kitakuwa sawa nikamwambia basi usiache simu maana zingine huwa zinapwaya hivyo vizuri tujaribishe ili kama itakuwa kuna kasoro nirudi nazo..
Mishale ya saa moja hivi tukakutana tukapiga story fresh nikamwambia nipe simu yako basi akanipa screen lock amebadilisha ila kabla sijampa ile simu mwanzo nilikuwa nimeweka finger print yangu hivyo ilikuwa rahisi kutoa lock chap nikatoa nikaangalia namba yangu kweli haijaseviwa.
Nikamuuliza mbona namba umefuta hana cha kusema nikamwambia naondoka na simu yangu akajibu sawa nikatoa ufungo mfukoni nikachomoa line zake nikamwambia shika akagoma nikaziweka chini hapo mara ghafla akanishika akasema ivi kweli ndo umeamua hivyo nikamwambia ndio nasepa..
Akaanza kilio amenikamata lakini haikusaidia baada ya vutana ya muda nikasepa zangu..Sasa bhana baada ya kufika home na kuikagua ile simu asee niliishiwa nguvu yani aseee acha nisiseme tu...[emoji1602][emoji1602][emoji1602][emoji1602][emoji1602][emoji1602]
mkuu ni mambo mengi asee hawa viumbe sio wa kucheza naomkuu nasubiri utuambie uliyoyakuta kwenye iyo simu
Hili swali ni fikirishiImei namba za simu anazo nani!!? Tuanzie hapo kwanza!
Kosa lake kaingia kingi mapemaMwambie akurudishie simu yako akijikuta nunda.. MUAMBIE NAONA UMECHOKA KUISHI 😀 😀 😀 huyo fala usichekee nae
Bora umejikwepesha na gharama za kupoteza muda na hela nyingi zaidi.Ndo mana juzi kunademu nimempa lift kesho yake nikala mzigo akijua mi ni bonge la bwana nilimsugua usiku kucha kwa fuja nika mpakia boda asubuhi na 5k mkononi ndo alipie boda hapo hapo yaan kanilaani laana zote mamaeee... Si wachekeagi kwenye hela
Hahahahahah haya ndio yale yale nayosemea. Unakuwa na mpenzi wako ilihali nae ana mpenzi wake kwahio ngoma inogile. Unahudumia raia asiyejulikana kwa mgongo wa mchumba wako.Pole sana bora yako wewe laki 3 mimi wangu bi mkubwa wake alilazwa muhimbili sewa haji private akaniambia nikiwa kama mchumba wake ambae ndio future yake uko mbele nimuazime laki5 tano aongezee kwenye kulipia bili za pale hospital lohhhhh kumbe napigwa changa la macho nikampa 650k kumbe kuna bwana ake kapata kazi za kwenda congo na malori sasa iyo sehemu aliyopata kazi kumbe HR anataka 400k kama rushwa ndio jamaa apewe nafasi jamaa akampigia demu wake ambae ndio alikuwa mchumba wangu demu akamuambia usijali ngoja niitafute iyo hela ndio nikapigwa na kitu kizito kichwani na hela yote akatumiwa jamaa yaani 400k kama rushwa 250k iliyobaki ni kama pocket money kwa muda atakao kuwa uko congo ..nikaja kugundua kuwa yule bi mkubwa wake alikuwa adaiwi ata mia na hospital ana mtoto wake mkubwa wa kiume alimkatia bima kubwa kwaiyo bima ililipia kila kitu.. nilichokuja kumfanyia sijui kama atakuja kunisahau kenge yule