Knock life
JF-Expert Member
- Oct 11, 2024
- 2,465
- 7,764
Be smart Nigga , wenzako wanakaa katika mipira Kama hiii then wewe unapewa Baiskeli
Jitambue.
Jitambue.
Kwahiyo unajihisi ur very specialSio kila kitu kinamfaa kila mtu..
Ahaaa baiskeliNaona ndio unarudi nyumbani baada ya kufakamia visungura miksa na mbege, angalia usilale mitaroni, vijana sio wazuri
Baiskeli si dharau hata kidogo,hasa maeneo ya vijijini ambapo hakuna barabara ya kupitisha magari bali njia za baiskeli.Ila sijui walifikiria nini baiskeli borea hata wangeishia pikipiki.baiskeli wengi wameona NI dharau
Urefu wa kamba😂Be smart Nigga , wenzako wanakaa katika mipira Kama hiii then wewe unapewa Baiskeli
Jitambue.
View attachment 3402474
ina tofauti gani na hizi zingine.....Jana nimeendesha hiyo bike ya Mama...
Wao hawataki kufanya hayo mazoezi kama unavyosema? unafanya masihara kunyonga baiskel kwenye vilima? Je, umewah kumuona hata mbunge anayendesha baiskel hapa kwetu? acha huko Holland unakokimbilia kuonyesha mfano mbona mawaziri wetu hawafanyi kama huyo waziri wako wa Holland?Baiskeli si dharau hasa maeneo ya vijijini ambapo hakuna barabara ya kupitisha gari bali njia ya baiskeli.
Kuendesha baiskeli ni mazoezi ya mwil kuboresha afya yake kwa balozi wa nyumba kumi husika.
Kama waziri mkuu wa nchi tajiri na muhisani wetu Holland anatoka nyumbani kwake hadi ofisini kwa baiskeli ya miguu miwili iweje wewe Chakubanga?
Wasubiri kukumbwa na matatizo ya afya.Wao hawataki kufanya hayo mazoezi kama unavyosema? unafanya masihara kunyonga baiskel kwenye vilima? Je, umewah kumuona hata mbunge anayendesha baiskel hapa kwetu? acha huko Holland unakokimbilia kuonyesha mfano mbona mawaziri wetu hawafanyi kama huyo waziri wako wa Holland?
Wewe baiskeli umepataNaona ndio unarudi nyumbani baada ya kufakamia visungura miksa na mbege, angalia usilale mitaroni, vijana sio wazuri