Katika MAISHA usichukulie kawaida , wenzako wanasukuma Mipira kama hii huku wewe unapewa baiskeli.

Katika MAISHA usichukulie kawaida , wenzako wanasukuma Mipira kama hii huku wewe unapewa baiskeli.

Baiskeli si dharau hata kidogo,hasa maeneo ya vijijini ambapo hakuna barabara ya kupitisha magari bali njia za baiskeli.
Kuendesha baiskeli ni mazoezi tosha ya mwil kuboresha afya yake, kwa balozi wa nyumba kumi husika.

Kama waziri mkuu wa nchi tajiri na muhisani wetu Holland anatoka nyumbani kwake hadi ofisini kwa baiskeli ya miguu miwili iweje wewe Chakubanga?
Aliyewahi kuwa waziri wa uchumi na mipago kwenye serikali ya Mwalimu Nyerere Profesa Babu alitumia baiskeli kwenda ofisini kwake.
Kwanini hawakupewa Makatibu wa CCM Wilaya hizo bomba ili wafanyie mazoezi? Yaani Mtanganyika anakosa mpaka fedha ya kununulia baiskeli mpaka hiyo budget nayo iwe ndani ya deni la mama?
Hizo ni DHARAU!
 
Maiaha siku zote yapo tofauti hapa duniani husipokubaliana na hili utapata shida sana , hatuwezi kulingana hata siku moja. Hata huko Marekani na China ambapo uchumi upo juu lakini watu kimaisha wanatofautiana na kuna masikini pia huko. Wewe unaweza kudharau hiyo baiskeli lakini kuna mwingine kupata hiyo baiskeli kwake kama kapata Prado maisha yapo tofauti.
 
Ila sijui walifikiria nini baiskeli borea hata wangeishia pikipiki.baiskeli wengi wameona NI dharau
Kila kina rank yake, wapo wanaostahili magari, pikipiki na baiskeli pia.
Kuna wanaohitaji baiskeli tu, siyo gari wala pikipiki.
 
Maiaha siku zote yapo tofauti hapa duniani husipokubaliana na hili utapata shida sana , hatuwezi kulingana hata siku moja. Hata huko Marekani na China ambapo uchumi upo juu lakini watu kimaisha wanatofautiana na kuna masikini pia huko. Wewe unaweza kudharau hiyo baiskeli lakini kuna mwingine kupata hiyo baiskeli kwake kama kapata Prado maisha yapo tofauti.
Kwahiyo hao wabunge wa darasa la saba wao wanafaa kukaa katika V8 Ila wananchi wanabidi kupanda baiskeli
 
Ndiyo, wa mbili havai moja.
Huu ujinga mmerithi wapi.

Zama za Leo kwa mazingira ya kijijini ambako hakuna lami kumejaa milima ndo unampa MTU basikeli ili aendeshee wapi

Mnachofanya hapo mnachukua matatizo na umasikini wa watu for profit gain.
 
Kama kuna milima na hakuna lami,na hawazitaki,kwa nini wazipokee sasa?
 
Back
Top Bottom