Katika MAISHA usichukulie kawaida , wenzako wanasukuma Mipira kama hii huku wewe unapewa baiskeli.

Katika MAISHA usichukulie kawaida , wenzako wanasukuma Mipira kama hii huku wewe unapewa baiskeli.

Abdul aendeshe v8, mwashamwa & variables wao waendeshe baiskeli...kweli akili ni nywele!!.
 
Kwahiyo hao wabunge wa darasa la saba wao wanafaa kukaa katika V8 Ila wananchi wanabidi kupanda baiskeli
Kwani darasa la saba sio binadamu, kwani elimu ya darasa la saba hana haki ya kuwa kiongozi. Ni wasomi wangapi wameshindwa kwenye kuwa viongozi bora lakini darasa la saba akaweza!!! Mi kwangu kiongozi sio elimu bali ni hekima sababu tumeshuhusia was.i wapuuzi kuliko wasiosoma. Na ulitaka nchi nzima tuendeshe V8 hata Marekani sio wote wanaondesha V8 kuna maskini vilevile
 
Back
Top Bottom