Ngumu kuamini lakini ndani ya CCM wahusika wanaheshimu uwezo.
Na CCM ina amini vijana wenye uwezo ndio wenye jukumu la kuendesha taifa la kesho.
Sasa wana namna zao za kuwasaka hao vijana, wengine uishia kuwa hovyo baada ya kuwadakua mahala tofauti na kutumia muda kuwatengeneza kuwa viongozi.
Kuna sehemu luluki za scanning zao kwenye vyuo na mitaani na JF pia ni sehemu moja wapo.
Tunapowapa ushauri hiyo sio njia unasomwa na watu wazito ni hivyo, hii ni sehemu ya ku-shine kama unataka kuwa-impress it’s serious.
Wengine tunaishi vijiji ambavyo, masaa sita nyuma 50 cents na G Unit ilikuwa ukitoka nje wanatupigia makelele live na weekend yote hii ni kusikiliza watu maarufu tu mpaka jumapili usiku.
Ndio maana tunadengua, lakini Uwezi kuwa mtu wa baiskeli miaka 800 ukionyesha uwezo wako humu.
Hao wa majungu wapo ni watu wa kujifurahisha tu, lakini CCM sio ya mzaha mzaha kwenye kutafuta talent.
Na JF ni sehemu ya kijana kujipangaza.