Uchaguzi 2020 Katika majimbo ya Uchaguzi 264, Lissu kwa mwezi mzima wa kampeni katembelea majimbo 17 bado majimbo 257 ambayo CCM tupo

Ukweli unaowatoa nyongo wapambe wake ni kwamba, hata akifikia majimbo yote, hawezi shinda, hawezi na hatoweza, ninauhakika 100%

Amejitahidi Sana, atapata Kura 1.m

Labda Chadema wakiongeza matusi mara Ishirini zaidi ya hayo wanayotukana mitandaoni sasa
 
Huko nyie mlipoenea vipi hali ya umaskini wa wananchi,

Zaidi ya miaka 50 ya uhuru bado mnatoa ahadi za Maji,Barabara,Afya.

Piga chini ccm.
 

Na uzuri ni kwamba unaweza ukatembelea Majimbo 17 ukaeleweka na Watanzania wengi kuliko aliyetembelea Majimbo 264 na akapuuzwa sana tu.
 
Lissu anakutesa sana.kwani MWALIMU yuko Pemba
 
Tatizo CHADEMA haitakaa ijifunze ni bora vije vyama vipya kabisa. Mwaka huu wanashindwa kama walivyoshindwa mwaka 1995, historia yao inakwenda kujirudia.
Mwaka 1995!Pardon!
 
Hana akili hizo
 
Unafikiri wananchi ni matomaso hadi wamuone ndio wampigie kura. Hata mkifanya hujuma za kumfukia shimoni bado atapita. Roho mbaya zenu ndio zimewaponza mwaka huu
 
Wewe ni mchaga Pori tuliza mshono
 
magufuli katembea majimbo mangapi
 
Umeona Wahaya walivyomkataa jiwe. Piga picha kwa Wachaga sasa.
 
Nitaendelea kuchagua chama tawala kwa maendeleo binafsi na ya nchi nzima, hao wanaofanya mipasho wasubiri miaka ijayo wakijaliwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…