Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
SijakuelewaAifute sisiemu kwa kishindo.. huyu ni lofa kweli. Amuache tu .
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
SijakuelewaAifute sisiemu kwa kishindo.. huyu ni lofa kweli. Amuache tu .
Wale mnaopiga kelele kuwa Lisu kamaliza kazi mnaota Lisu mwezi mzima Hadi Sasa kahutubia kampeni majimbo Tena mijini 17 wakati jumla ya majimbo ya Uchaguzi Tanzania yako 264 Kuna majimbo 257 hajakanyaga sisi CCM tuko kote huko tunadunda Kama kawa tukisubiri kwa nderemo na vifijo tarehe 28 October tumuonyeshe Cha mtema kuni Lisu
Mwezi mzima majimbo 17!!! Tumebakiza mwezi mmoja wa kampeni hata aende kwa spidi ipi aweza ishia majimbo 35 tu jumla awamu hii ya pili majimbo 222 hataweza kuyafikia kabisa Hadi Uchaguzi mkuu ufike
Ushindi wa CCM hauepukiki hiyo ndio Siri yetu ya Kwanza sisi tuna cover kote hatuachi mahali kuanzia mjini Hadi vijijini vichakani utakuta bendera ya CCM hewani ikipepea na picha za chagua Magufuli
Tambo zote za Chadema mitandaoni humu ni za hayo majimbo 17 aliyopita Lisu Tena kwenye vimiji
kwa point yako moja kwa moja umeshajionyesha kua wewe ni mjinga wa kutupwaSisi tunataka biashara zetu ziende vizuri, na tumeahidiwa kupata mawaziri wanne
Lissu anakutesa sana.kwani MWALIMU yuko PembaWale mnaopiga kelele kuwa Lisu kamaliza kazi mnaota Lisu mwezi mzima Hadi Sasa kahutubia kampeni majimbo Tena mijini 17 wakati jumla ya majimbo ya Uchaguzi Tanzania yako 264 Kuna majimbo 257 hajakanyaga sisi CCM tuko kote huko tunadunda Kama kawa tukisubiri kwa nderemo na vifijo tarehe 28 October tumuonyeshe Cha mtema kuni Lisu
Mwezi mzima majimbo 17!!! Tumebakiza mwezi mmoja wa kampeni hata aende kwa spidi ipi aweza ishia majimbo 35 tu jumla awamu hii ya pili majimbo 222 hataweza kuyafikia kabisa Hadi Uchaguzi mkuu ufike
Ushindi wa CCM hauepukiki hiyo ndio Siri yetu ya Kwanza sisi tuna cover kote hatuachi mahali kuanzia mjini Hadi vijijini vichakani utakuta bendera ya CCM hewani ikipepea na picha za chagua Magufuli
Tambo zote za Chadema mitandaoni humu ni za hayo majimbo 17 aliyopita Lisu Tena kwenye vimiji
Mwaka 1995!Pardon!Tatizo CHADEMA haitakaa ijifunze ni bora vije vyama vipya kabisa. Mwaka huu wanashindwa kama walivyoshindwa mwaka 1995, historia yao inakwenda kujirudia.
Hapo umemzungumzia Lissu as individual halafu unamlinganisha na CCM kama chama kwa ujumla kitu ambacho siyo sahihi ingefaa umlinganishe Lissu na mgombea mwenzie Magufuli ili ufanye analysis vizuri mpk sasa wamecover kiasi gani toka wameanza. Maana siyo kwamba Chadema nao wamerelax kwa maana ya chama nao wapo site
Wewe ni mchaga Pori tuliza mshonoNipo Kilimanjaro, Magufuli anakubalika huku, nitahifadhi hii comment yangu nitarudi Tena, wachaga Sasa sisi tunamtaka Magu na atashinda lissu. Nadhani Katika sehemu ambayo upinzani wataumia Sana Ni mkoa wa Kilimanjaro, hawatapa Jimbo hata moja. Nani anataka ndugu zao kuenguliwa Katika position kubwa kubwa na kutengwa na raisi, tunajuta yaani
magufuli katembea majimbo mangapiWale mnaopiga kelele kuwa Lisu kamaliza kazi mnaota Lisu mwezi mzima Hadi Sasa kahutubia kampeni majimbo Tena mijini 17 wakati jumla ya majimbo ya Uchaguzi Tanzania yako 264 Kuna majimbo 257 hajakanyaga sisi CCM tuko kote huko tunadunda Kama kawa tukisubiri kwa nderemo na vifijo tarehe 28 October tumuonyeshe Cha mtema kuni Lisu
Mwezi mzima majimbo 17!!! Tumebakiza mwezi mmoja wa kampeni hata aende kwa spidi ipi aweza ishia majimbo 35 tu jumla awamu hii ya pili majimbo 222 hataweza kuyafikia kabisa Hadi Uchaguzi mkuu ufike
Ushindi wa CCM hauepukiki hiyo ndio Siri yetu ya Kwanza sisi tuna cover kote hatuachi mahali kuanzia mjini Hadi vijijini vichakani utakuta bendera ya CCM hewani ikipepea na picha za chagua Magufuli
Tambo zote za Chadema mitandaoni humu ni za hayo majimbo 17 aliyopita Lisu Tena kwenye vimiji
i thank you so muchSihitaji Lissu aje kwenye jimbo langu kama kigezo cha kumchagua.Nampa kura yangu hata asipokuja kwenye jimbo langu
...wachaga Sasa sisi tunamtaka Magu na atashinda lissu....
Umeona Wahaya walivyomkataa jiwe. Piga picha kwa Wachaga sasa.Nipo Kilimanjaro, Magufuli anakubalika huku, nitahifadhi hii comment yangu nitarudi Tena, wachaga Sasa sisi tunamtaka Magu na atashinda lissu. Nadhani Katika sehemu ambayo upinzani wataumia Sana Ni mkoa wa Kilimanjaro, hawatapa Jimbo hata moja. Nani anataka ndugu zao kuenguliwa Katika position kubwa kubwa na kutengwa na raisi, tunajuta yaani
Huyu jamaa ndiyo kalegea utafikiri amefunuliwa mtaro.Kuwa mpole. Chadema inakimbizana na ikulu na JPM amelegea, baadaye majimbo mtalegea.