Uchaguzi 2020 Katika majimbo ya Uchaguzi 264, Lissu kwa mwezi mzima wa kampeni katembelea majimbo 17 bado majimbo 257 ambayo CCM tupo

Akili matope,kwa hiyo hayo majimbo yaliyobaki chadema hawana mgombea na ni CCM pekee mko huko.Na km chadema ina wagombea huko hawapigi kampeni.
Pili kati ya majimbo yote JPM keshapiga kampeni ktk majimbo mangapi ili tufanye ulinganisho kati yake na Lissu.
 
Wewe sasa hivi ndio kiongozi wa timu ya propaganda humu? [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]. Uko kama kuku mtetea. Halafu unaanzisha threads ambazo zinaonesha kabisa wewe na kambi yako na waliowatuma mmepanic mazima. Salama yenu ni kumuacha Lissu apambane kivyake, maana chadema ilishakufa tangu 2015.
 
Magufuli yeye katembea mangapi hadi sasa tangu aanze 2015 hadi leo 2020?!
 
Huyu amepagawa maana hawakutarajia haya wanayoyaona kwa macho ya nyama. Kila baada ya dk 10 anaanzisha thread tofauti tofauti kuhusu Lissu.
 
Magufuli katembelea mangapi?
 

Kura za Urais nakubaliana na wewe, kwa ubunge kuna Jimbo upinzani wanachukua, ila uchaguzi huu ni mgumu sana Kilimanjaro kwa Upinzani. Na hata wachangiaji wenye asili ya Kilimanjaro tunao zungumzia uchaguzi mkuu tumepungua sana humu.
 


Amekula Maharage ya wapi !.
 
Mvuto unao onekana ni kwamba haitaji kufika kila mahali CCM ilipofika. Yajayo yatashangaza sio CCM tu bali Dunia.
 
Mlimba
Mikumi
Kilosa
Kilombero
Iringa Mjini
Isimani
Kilolo
Ilula
Mafinga
Mufindi
Njombe
Makambako
Mbeya Mjini
Mbeya Vijijini
Mbozi
Tunduma
Momba
Sumbawanga Mjini
Kwela
Kibondo
Mpanda
Ujiji
Kigoma Buhambwe
Karagwe
Ngara
Bukoba
Biharamuro
Buchosa
Mbagala
Kawe
Arusha
Nyamagana
Dodoma
Mtwara Mjini
Mjini Magharibi etc etc.


Je, hayo yamefika mangapi?
 
Kinachokuuma ni nini hapo?
 
Kwa sababu huna akili ndio maana unaona Losu katembea majimbo 17. Hugo Meko ametembea majimbo mangapi?

Salumu Mwalimu katembea mangapi au usaidiwe kuhesabu?
 
Tofautisha kampeni na fiesta ,,,,Mana Kuna watu wanapita kuwanadi wasanii tu. Napita.
Lisu anafanya kampeni.
 
Nawapongeza chadema nimeona leo wameanza kampeni ya nyumba hadi nyumba huku mbeya
 
Magufuli katembelea majimbo mangapi?
 

Tusisahau pia kwamba raisi Magufuli na mgombea wa CCM aliishaitembelea Tanzania ndani ya miaka mitano ya utawala wake.

Ndo maana sasa hivi kwenye kampeni wakaamua kupeana majukumu ya kutembelea majimbo yalobakia ili kuweka msisitizo.

Ila ni ukweli kwamba Chadema nao wanajitahidi kuzungukia majimbo fulani ambayo wao wanayaona ni ya kimkakati.

Lakini bado hawajawafikia CCM kwenye suala ya kufukiza majimbo kwa ubani wake maalum wa kampeni.
 
Nakubali chandema viongozi wao kuanzia katika Kanda husika wapo wanapiga kazi usiku na mchana
 
mbona wakati wa kutafuta wadhamini katembea mikoa 17ni kampeni Tosha na ukichanganya majimbo wakati ukitembea mkoa mmoja baadhi ya majimbo ya karibu lazima yalete wawakilishi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…