This is...
JF-Expert Member
- Dec 28, 2014
- 5,050
- 5,204
Akili matope,kwa hiyo hayo majimbo yaliyobaki chadema hawana mgombea na ni CCM pekee mko huko.Na km chadema ina wagombea huko hawapigi kampeni.Wale mnaopiga kelele kuwa Lisu kamaliza kazi mnaota Lisu mwezi mzima Hadi Sasa kahutubia kampeni majimbo Tena mijini 17 wakati jumla ya majimbo ya Uchaguzi Tanzania yako 264 Kuna majimbo 257 hajakanyaga sisi CCM tuko kote huko tunadunda Kama kawa tukisubiri kwa nderemo na vifijo tarehe 28 October tumuonyeshe Cha mtema kuni Lisu
Mwezi mzima majimbo 17!!! Tumebakiza mwezi mmoja wa kampeni hata aende kwa spidi ipi aweza ishia majimbo 35 tu jumla awamu hii ya pili majimbo 222 hataweza kuyafikia kabisa Hadi Uchaguzi mkuu ufike
Ushindi wa CCM hauepukiki hiyo ndio Siri yetu ya Kwanza sisi tuna cover kote hatuachi mahali kuanzia mjini Hadi vijijini vichakani utakuta bendera ya CCM hewani ikipepea na picha za chagua Magufuli
Tambo zote za Chadema mitandaoni humu ni za hayo majimbo 17 aliyopita Lisu Tena kwenye vimiji
Pili kati ya majimbo yote JPM keshapiga kampeni ktk majimbo mangapi ili tufanye ulinganisho kati yake na Lissu.