Katika mazingira haya utafanya nini?

Katika mazingira haya utafanya nini?

Mda wote nafanya meditation kupata mawazo bora kwa hiyo nitafanya tahajudi tu
 
Unainuka polepole unaondoka mdogomdogo kwa kunyata ukifika mbele kidogo unatimua mbio.
 
Busara ni
kama yeye alikukuta umelala hakukuamsha
na wewe mwache alale usimwamshe..
Subutuu huyo anajua wewe ukiamka lazima uma tie Ndio akushighulikie,

Hapo unapiga yowe anakimbia kwa wenge na wewe unasepa zako
 
Hiyo kwenye picha sio chui bali ni Cheetah. Hawa sio aggressive hata waarabu huwafuga. Chui ni habari nyingine.
 
Back
Top Bottom