BLACKTIGER
JF-Expert Member
- Dec 21, 2012
- 1,568
- 1,923
Ha haha!
hapo inabidi kutumia busara tu!
hapo inabidi kutumia busara tu!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ngoja anyofoe kalio.Fanya Kujamba tu 😝wa naogopa ushuzi hao
Nafikiri mtoa mada kapewa notisi na mwenye nyumba wake kwahiyo anaplan jinsi atakavyoishi msituni.Maisha magumu sana, kama mtu anaweza kuwa na mawazo kama haya
Busara niKuua mbu kwa bastola
Nani tena Mkuu
Subutuu huyo anajua wewe ukiamka lazima uma tie Ndio akushighulikie,Busara ni
kama yeye alikukuta umelala hakukuamsha
na wewe mwache alale usimwamshe..
Wenye D mbili wameelewa 😃
Chafya au mwayo utakuwa ni uchokozi wa wazi wazi kwa mnyama mwenzio..Je ukikamatwa na Chafya!??