Katika nchi 35 zilizokataa kupiga kura suala la Urusi kuvamia Ukraine 50% ni za Afrika, ikiwemo Tanzania

Bwana wee, mie sioni pointi ya kukujibu hapo. Zote za kijiweni
 
Huwez jibu ukiwa shallow idea lazima uone haya.

Inawezekana vip bado waafrika hawajui ukoloni mambo Leo. Gays what the hell are you??

No, siweji kujibu kwa kuwa unatoa very shallow arguments, naona unanipotezea muda. Nani amekuambia kuunga mkono ni kuwa upande wa USA? Kwani kura ilikuwa kuunga mkono USA?

Wewe unauliza raisi wa Libya alikosa nini, mbona sasa Libya wamepiga kura "upande" wa USA? Na unajua wengine waliopiga "upande" unaouiita wewe wa USA?

Afghanistan, Brazil, DRC, Libya, Mynmar, Saudi Arabia, Somalia, Yemen nk

Kwa hiyo hawa walipiga kura kuipinga Urusi kwa kuwa wako upande wa USA? Vitu huvielewi unakuwa na domo kubwa la ubishi na kujifanya unajua. Eti gays. Saudi Arabia amepiga kura kuipinga Urusi kwa kuwa ni gays? Myanmar anamuunga mkono USA? Ongeza elimu uelewe hoja kama hizi ndio ujibu
 
Teh kisa humsapoti marekani na wenzie
Unajua nini, ili ujione usivyo na elimu kwenye hili suala, angalia nchi zilizopinga Urusi kama USA ilivyofanya, ndio utajua ulivyo mtupu kichwani kwamba hili sio suala la kuwa upande wa USA au Urusi

Afghanistan, Brazil, DRC, Libya, Mynmar, Saudi Arabia, Somalia, Yemen nk
 
Enyi watu msio na maarifa, hii kura haikuwa kumsupport USA na wenzake, ilihusu kupinga Urusi kuvamia nchi huru kwa lengo la kuchukua sehemu ya nchi hiyo. Mtakosa maarifa hadi lini?
Watu hawatakua wapumbavu kila siku......hizo kura siku zote zilikua wapi mataifa mengine wakati wanaonewa.....NATO wamewasapoti Albania
Wacha we, wenye elimu sasa mapovu ya nini??
 
Watu hawatakua wapumbavu kila siku......hizo kura siku zote zilikua wapi mataifa mengine wakati wanaonewa.....NATO wamewasapoti Albania

Wacha we, wenye elimu sasa mapovu ya nini??
Tatizo ni kwamba wewe wakati huo hukuwa unafuatilia. Hata suala la USA kuvamia Libya, Iraq, lilipigiwa kura na kupingwa na mataifa mengi. Kwa hiyo si mara ya kwanza.
 
Tatizo ni kwamba wewe wakati huo hukuwa unafuatilia. Hata suala la USA kuvamia Libya, Iraq, lilipigiwa kura na kupingwa na mataifa mengi. Kwa hiyo si mara ya kwanza.
Basi kazi iendelee......kumbe ni maoni tu ila kazi inaweza kuendelea
 
Basi kazi iendelee......kumbe ni maoni tu ila kazi inaweza kuendelea
Hilo nakubaliana na wewe. Ni kwamba kura ya azimio la Umoja wa mataifa ilipigwa kuishutumu Israel kuvamia Palestine, na nchi nyingi ziliunga mkono. Lakini USA Israel nk walipinga. Na pia kama nilivyosema kura ya UN ilipigwa kupinga USA kuvamia Libya, kura ilipigwa kupinga Morocco kuitawala Sahara, nk.

Sasa suala hapa sio kwamba mataifa yakipinga kwa wingi basi wavamizi wataacha. USA, Israel, Morocco, Urusi wote wamekuwa na kiburi dhidi ya maazimio ya Umoja wa Mataifa yaliyopita kwa kura nyingi. Suala ni kwamba jambo tunajua Tanzania tukipinga uvamizi wa Urusi au USA haitafanya waache, lazima tuonyeshe kwamba hatukubaliani nao.

Ndio maana nimesema hapa sio suala la kuchagua upande, ni suala la kuonyesha kwamba sisi hatuko tayari kukubaliana na nchi yeyote duniani kukiuka haki za binadamu na kuheshimu mipaka ya nchi huru, awe Urusi, Russia, Israel hata Kenya

Sasa kuna watu wasiojitambua humu wanaona tukipinga Urusi wanachofanya tunaunga mkono USA. Tukipinga USA wanachofanya tunaunga mkono Urusi. Ndio maana nawaita wajinga wajinga wanaobisha bila kuelewa siasa za kimataifa.
 
Kanywe maji blaza...huu ushabiki kama wa epielo tu
 
Waambie Rwanda, Kenya, Zambia nk waliopiga kura kuwapinga Urusi. Tuone basi itakuwaje kwao. Tuwe waoga hadi makalioni?
Ukiona Mtu anasema yeye Hana upande anaounga mkono jua Huyo ni MNAFIKI. Tuna viongozi Wanafiki na Sasa wàmeigeuza nchi kuwa ya KINAFIKI.
 
Kanywe maji blaza...huu ushabiki kama wa epielo tu
Sio ushabiki, ni mambo yanahusu maisha ya watu kuuwawa - Palestina, Ukraine, Libya, Iraq, Sahara. Unaita ushabiki? Tanzania inaona hili jambo ni dogo la kulikalia kimya? Na wewe pia unaliona kama EPL?
 
Ukiona Mtu anasema yeye Hana upande anaounga mkono jua Huyo ni MNAFIKI. Tuna viongozi Wanafiki na Sasa wàmeigeuza nchi kuwa ya KINAFIKI.
Niliwahi kusema humu JF wakati Magufuli alipofungua uhusiano wa Kibalazi na Israel na Morocco eti kwa maslahi ya taifa, kwamba leo hii, kama South Africa ngekuwa haijaondoa utawala wa makaburu na Mandela bado yuko kifungoni, tungeanzisha uhusiano wa Kibalazi na serikali ya Makaburu. Tanzania imekuwa na viongozi wanafiki kiasi hicho.
 
Hiv unajua sababu kubwa ya Russia kuivamia Ukraine?
 
Hiv unajua sababu kubwa ya Russia kuivamia Ukraine?
Nimeshasema, hata kama raisi wa Ukraine alimtukania Putin mama yake, hakuna sababu inayohalalisha kuvamia nchi huru yenye mipaka inayojulikana na kuhalalishwa na Umoja wa Mataifa na kusema nachukua sehemu ya nchi hii. Hata kama Ukraine walifanya kosa gani.

Ndio maana tulipompiga Idd Amin, hatukusema sasa tunabaki ndani ya Uganda. Tulirudi nyumbani bada ya kumwadhibu.
 
Sio ushabiki, ni mambo yanahusu maisha ya watu kuuwawa - Palestina, Ukraine, Libya, Iraq, Sahara. Unaita ushabiki? Tanzania inaona hili jambo ni dogo la kulikalia kimya? Na wewe pia unaliona kama EPL?
Sasa unanililia.mimi blaza kwani ndo nimeshika mtutu nenda kabwekee huko kwa wenye elimu
 
Sasa unanililia.mimi blaza kwani ndo nimeshika mtutu nenda kabwekee huko kwa wenye elimu
Umenifuata huku wewe kwenye thread ya wenye elimu. Nilishawaambia wenzako waende kule kwingine kuna thread inasema Mwajuma kakojoa kitandani kwa wakwe
 
Umenifuata huku wewe kwenye thread ya wenye elimu. Nilishawaambia wenzako waende kule kwingine kuna thread inasema Mwajuma kakojoa kitandani kwa wakwe
Kama wanavokojolewa ukraini na kombora la mrusi
 
Ww unajidanganya mwenyew
 
Ww unajidanganya mwenyew
Hilo ni jibu la mtu ambae ameelewa ukweli lakini hakubali kukubali.

Utakuwa ni mtu wa aina ambao unampiga mkeo, halafu ukiona umefanya vibaya unamwambia unajua wewe ndio unafanya mie nikosee na kukupiga!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…