zimmerman
JF-Expert Member
- Feb 17, 2011
- 1,644
- 3,176
Nilimsikia waziri wa mambo ya nje wa Ukraine akidai kwamba kwa kila missile moja ya Urusi inayoilipua Ukraine ubora wa maisha ya watu wa Afrika unaathirika. Sasa sijui pia tumwambie kwa kila round ya mizinga Ukraine wanayoirusha dhidi ya Urusi ubora wa maisha ya waafrika pia yanaathirika? Dharau ya watu weupe dhidi ya waafrika inazidi kujionyesha hapa. Yaani kila ujinga na upuuzi wanaoufanya Ulaya wanataka kuiingiza Afrika humo. Kila kibaya kinachoikuta dunia (corona, vita, mabadiliko tabia nchi) haya majamaa yanataka kuifanya Afrika jalala. Na stupid Africans wanayapa support. Stupid.