Katika suala zima la ndoa, dini ya Kiislamu ipo vizuri

Hayawezi Kujibu Hili Swali Mpaka Kiama Kiama. Watarudi na Hoja Za Majini kumuabudu Mungu Wanasahau hao Majini mungu mwenyewe ndio kawaumba au Watabisha na Hili..[emoji1787][emoji1787]

Sent from my TECNO CC6 using JamiiForums mobile app
Nimeshampa majibu akasome sura nzima na ajue alie andika ni nani, biblia sio kitabu Cha kuchomoa mstari sio Koran hiyo ambayo Haina uusiano verse na verse
 
Jifunze kuweka kila kitu mahala pake. Hata kutoa mifano nako kunahitaji elimu.

Halafu sijasema "Miaka na miaka" nimeandika "miaka na mikaka".
Ulichoongelea ni time frame iwe miaka au mikaka.
Ujinga ni ujinga tu hata udumu milele ndg.
Mmepewa akili bahati mbaya hamjawahi kuzitumia.
 
Kabla ya kuuliza unatakiwa usome kwanza uelewe , na wewe nenda kasome sura nzima ndio uje na maswali , Mimi napo weka hoja hapa ujue nimechukua mda kusoma Koran Hadith na tafsir najiridhiasha kwanza ndio nije humu
 
Hayawezi Kujibu Hili Swali Mpaka Kiama Kiama. Watarudi na Hoja Za Majini kumuabudu Mungu Wanasahau hao Majini mungu mwenyewe ndio kawaumba au Watabisha na Hili..[emoji1787][emoji1787]

Sent from my TECNO CC6 using JamiiForums mobile app
Hawa waabudu miungu watatu hawana hoja bali wana viroja.
 
Hawa waabudu miungu watatu hawana hoja bali wana viroja.
Nimeshasema Mungu ata asema nipo 10 shida Yako nini?
Issue unakuja mungu anae sema ni mmoja alafu hajui solar system, anasema Jua linazama kwenye matope, mara asema manii inatako kwenye UTI wa mgongo, verse moja anasema alianza kuumba Dunia verse nyingine anasema alianza kuumba mbingu huyu mungu ambae hajui kitu ndio tunatakiwa tumuhoji kwa kina
 
Nikishaona mnaanza kutukana Jua sindoni imekuingia
 
Kumbuka shetani ni muislamu
 
2. Biblia maana yake ni kitabu Cha vitabu kwenye biblia Kuna vitabu kwa hiyo ungeuliza jina la kitabu kimojawapo ndani ya biblia
Ndio maana nawambia kabla hujaleta swali soma kwanza
 
Wewe kama maneno ya Allah unaona ni matusi ni wewe Mimi nachukua kama mlivyo andika , mfano hapa tukitafsiri sexual intercourse tutatumia neno gani?

Koran 2:230 If he, the husband, divorces her, after the two utterances [of divorce]; she shall not be lawful to him after that, after the third [utterance of] divorce, until she marries another husband, who has sexual intercourse with her,
 
Nijibu kuhusu upumbavu wa Mungu ni upi kwenye hiyo biblia yenu? Mbona haujibu hili swali? Niliuliza Kwa muda mrefu. Mi sihami hapa. Kuna contradictions zaidi ya 200 kwenye biblia huyu kaandika hivi mwingine kaandika vile. Ila leo tunataka kufahamu upumbavu wa Mungu kwenye biblia wanachomaanisha

1 Wakorintho 1:25​

25 Kwa maana huu upumbavu wa Mungu una hekima zaidi kuliko hekima ya wanadamu, na ’udhaifu’ wa Mungu una nguvu ipitayo nguvu ya wanadamu.
 
Ukristo ni ufuasi wa mafundisho na maisha ya Yesu
3. Christianity is an Abrahamic monotheistic religion based on the life and teachings of Jesus of Nazareth.
 
Ukristo ni ufuasi wa mafundisho na maisha ya Yesu
3. Christianity is an Abrahamic monotheistic religion based on the life and teachings of Jesus of Nazareth.
Agano la kale la nini sasa ilhali katika agano la kale Kuna matukio mengine yasiyo husiana na Yesu?
 
Nimeshakujibu kasome sura uone kwa nini paul kaandika hivyo jibu lipo tena wazi kabisa sasa kama unataka niweke sura nzima huku au , Biblia ni kitabu Cha vitabu sasa taja kitabu ndani ya biblia ndio uulize maana ya jina ,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…