Haya Jibu Wewe Baba Mchunga Kondoo Nipe Majibu Kwa Mujibu Wa Kitabu Chako Biblia Kinachokuongoza Kumuabudu Mungu Wako...
Kama Kweli Kitabu Chako Kimetoka Kwa MUNGU Na Kimekamikika Timamu Kuongoza Watu Nijibu Haya[emoji116]
1. Mlifundishwa Wapi Kuabudu JUMAPILI Ndani Ya Biblia..?
2. Jina La Kitabu Chako Mlilitoa Wapi Au Limetajwa Wapi Katika Hicho Kitabu (Biblia)..?
3. Dini Yako Ni Mkristo. Niambie Wapi Biblia umewaambia kuwa Ukristo Ndio Dini Yenu..?
4. Unasema Biblia Ni Kitabu Cha MUNGU. Nipe Hilo Andiko Kutoka Katika Hiyo Biblia..?
Swali Mwisho Ipo Wapi Injili Ya Yuda..?
Please Naomba Unijibu Hayo tu Nijifunze Usibadilishe Mada [emoji120][emoji120]
Sent from my TECNO CC6 using
JamiiForums mobile app