Huyu Alie jiita Mimi ni nani?Yoyote mwenye kujitambua akipitia huu uzi atajua ukweli.Tangu lini shetani akamuamrisha mtu kufanya mema.Bora niende zangu naona umekaa ki imani zaidi pasipo kushirikisha cerebrum yako.
Wazinz cku zote wana option chief. Mke ni mmoja tu. Hakuna kisingizio. Hao unaosema wanaoa mpaka 4 bado ni wazinz waliokubuhu. Kikubwa unatakiwa kujua Mungu hafuati taratibu zako. Yeye ashaweka utaratibu ukizin ni kosa kuna adhabu. Mtu mzinz hata umpe mabeib wote atataman tu. So sisi wakristo Mungu wetu hakutupa option chief. Ukizin ni moto hata ukitaman ni kosa. Sio nyie mmepewa option eti msile kitimoto ila ikitokea dharura kula kula. Sasa huyo Mungu gan. Dhambi haiwezi kuwa nuru.
😂😂 Wapi nimekubali mkuu? Tafsiri nishaitoa kama haukubaliani na Tafsiri yangu huyo ni wewe kwakua kichwa chako ni serikali yako.Kwa hiyo unataka kusema shetani Kawa muislamu na hawezi kushauri mema , umekubali mwenyewe kwamba devil ambae alikuwa attached na muhammad Kawa muislamu
Unajichanganya SanaUnaniamisha Mzee Hoja Hapo ilikuwa umesema Tujifunze kumjua Yesu kwa Waisrael.. Ndio nimekuonyesha hao Waisrael unaowasemea Wewe.. ndio Hawa Hapa Yani kwao Bora Muhammad Kuliko Yesu ndio Maana kwao Uislam Umekubalika kuliko Ukristo
We Kubali tu hivyo visa Vya Yesu mmefundishwa na mzungu sio Waisrael Maana muisrael hamjui Yesu unaemuabudu wewe Kama unavyomjua wewe Kwanza wanapinga kauli Yenu kuwa yesu hajazaliwa bila Baba...View attachment 2118414
Sent from my TECNO CC6 using JamiiForums mobile app
Sio kweli mkuu
MWANAMKE katika UISLAM amepewa DALAJA la KWANZA kwa kila kitu au wazungu wao wanasema LADIES FIRST
mwanamke katika UISLAM amenyimwa UONGOZI tu
mfn:-
Mwanamke katika UISLAM ndie anataja mahari na ni yake hiyo MAHARI
Mwanamke wakati wa NDOA ndio anaazwa kuulizwa kama amekubari kuolewa na akikataa hakuna NDOA
mfn ataulizwa kwann umekataa usiolewe akasema mimi sijapewa mahari yangu basi hapo ndoa haifungwi mpk baba alokula maharai ya bint yake ampe ndo NDOA ifungwe
Mwanamke wa kiislam katika NDOA kazi yake ni mbili kujiremba kwa ajili ya mumewe na kumtanulia miguu aingie kati
na hata akikuzalia mtoto kumlea na kumnyonyesha ilipaswa umlipe hayo mambo ya kupika na kufua kama huwezi inapaswa wewe umtafutie mjakazi
mwanamke katika NDOA ya uislam kupika sio kazi yake wala kukufulia
ndio mana inasemwa kilaanapompikia mumeo na kumfulia unapata thawabu mara 100 zaid
Nimekueleza hayo machache tu
lkn yapo kedekede yanayomfanya MKE katika uislam aishi kama mfalme
na MWANAMKE katika uislam thamani yake iwe juu kam lulu
na ndio maana wakaambiwa wataingia mlango wa PEPO waitakayo
katika UISLAM pepo zina madaraja kwa ubora wake kama unavyoona hotel nyota 3 nyota 4 nyota 5 basi pepo nazi zipo hivyohvyo
sawa wanawake wa kiislam waliolewa wameahidiwa wataingia katika pepo wazitakazo wenyewe watakavyopenda
ikiwa watafanya mambao haya matatu
1. akamtii MUMEWE
2.Akaswali sala 5
3.akafunga ramadhani
basi wataingia katika pepo yoyote ile waitakayo
Ukiona MWANAMKE wa KIISLAM ananyanyasika basi ameyataka mwenyewe
kwa upumbavu wake na kuivunja NDOA yake mwenyewe
Kuna mda inabidi nikuite son of Mutah, wewe ndio ulikubali hapa shetani Kawa muislamu , usilete takiya mbele ya technologyMkuu haufai kuwa mtafsiri wa lugha.
"Even me,yet Allah helped me against him until he embraced Islam.He does not order me to do anything but good."
Tafsiri:"Hata mimi,bado Mwenyezi Mungu alinisaidia dhidi yake mpaka yeye alipoukumbatia Uislamu.Mwenyezi Mungu haniamrishi kufanya chochote ila jema."
Alafu hiyo quotation yako ni ya kipuuzi.Eti "....he embraced Islam.He does not order me to do anything but good."
he embraced Islam- nakubali ni shetani.
He does not order me to do anything but good- huyu ni Mwenyezi Mungu.
Sasa kama ukizini ni moto huyo Yesu alikufa msalabani kwa ajili ya nini?Au ninyi wakristo hamtendi dhambi ya kuzini?Wazinz cku zote wana option chief. Mke ni mmoja tu. Hakuna kisingizio. Hao unaosema wanaoa mpaka 4 bado ni wazinz waliokubuhu. Kikubwa unatakiwa kujua Mungu hafuati taratibu zako. Yeye ashaweka utaratibu ukizin ni kosa kuna adhabu. Mtu mzinz hata umpe mabeib wote atataman tu. So sisi wakristo Mungu wetu hakutupa option chief. Ukizin ni moto hata ukitaman ni kosa. Sio nyie mmepewa option eti msile kitimoto ila ikitokea dharura kula kula. Sasa huyo Mungu gan. Dhambi haiwezi kuwa nuru.
Neno Yastak'biruuna (يَسْتَكْبِرُونَ )Ndio limetumika hapo na Tafsiri ikawekwa kujivuna Maana yake Ni Mwenye kufanya kibri katika Kumuabudu Mungu mfano wa hivi unavyofanya Wewe.. hivyo utakapoenda ndio Hukoooo.. USITUONE MAZUZU WENZIO
Sent from my TECNO CC6 using JamiiForums mobile app
Nimeshakumaliza , uwe unatuliza akili kijana , eti hawakubali Yesu kuzaliwa bila baba alafu wanaupenda Uislamu alafu hapo hapo Uislamu unasema Yesu alizaliwa bila baba[emoji28][emoji28]Nimejichanganya Nini Sasa Hapo Wakati ndio Ipo hivyo Mimi Siwatetei Wayahadi Wala sipo upande wao hapa nakueleza uhalisia ndivyo upo Hivyo nimekupa na ushahidi hapa. Wanaukubali Uislam kuliko Ukristo lakini pia wanakataa kuwa yesu hakuzaliza bila baba Kama nyinyi na sisi tunavyodai Ila kwao wanaona nyinyi ndio wapotevu Zaid Alafu mnajinasibisha Nao Wakati hawajui Wala hawataki shobo zenu na Yesu Wenu [emoji12][emoji28]View attachment 2118424
Sent from my TECNO CC6 using JamiiForums mobile app
Embu weka zote iliyopunguzwa na iliyoongezwa ili tujifunzeManeno haya yapo kwenye bibilia vile yameongezewa na kupunguzwa. Aisee nimeshangaa sana. Maana ni katika agano Jipya. Maneno ya Yesu mwenyewe
Nilishajibu mutah boy nenda kasome sura nzima inaeleza kwa nini paul akaandika hivyo acha uvivuAlafu mbona hunipi majibu ya maswali Yangu.. Sitaki Ufafanuzi Nataka Majibu Yatoke Katika Biblia kwasababu ndio unaizungumzia Hapa..
HUO UPUMBAVU WA MUNGU KATIKA BIBLIA NI UPI..?
Alafu Kama Kweli Kitabu Chako Kimetoka Kwa MUNGU Na Kimekamikika Timamu Kuongoza Watu Nijibu Haya[emoji116]
1. Mlifundishwa Wapi Kuabudu JUMAPILI Ndani Ya Biblia..?
2. Jina La Kitabu Chako Mlilitoa Wapi Au Limetajwa Wapi Katika Hicho Kitabu (Biblia)..?
3. Dini Yako Ni Mkristo. Niambie Wapi Biblia umewaambia kuwa Ukristo Ndio Dini Yenu..?
4. Unasema Biblia Ni Kitabu Cha MUNGU. Nipe Hilo Andiko Kutoka Katika Hiyo Biblia..?
Swali Mwisho Ipo Wapi Injili Ya Yuda..?
Sent from my TECNO CC6 using JamiiForums mobile app
😂😂😂 Kweli hauna maarifa kaka unajua kubold tu 😂😂😂.Aya ya chini unamuachia nani?Ni mjinga pekee atakaye endeshwa na wewe kwa kuwachambulia kipi wakisome kipi wakiache.Kuna mda inabidi nikuite son of Mutah, wewe ndio ulikubali hapa shetani Kawa muislamu , usilete takiya mbele ya technology
Wewe ndio utulize akili usije kuzeeka vibaya.Nimeshakumaliza , uwe unatuliza akili kijana , eti hawakubali Yesu kuzaliwa bila baba alafu wanaupenda Uislamu alafu hapo hapo Uislamu unasema Yesu alizaliwa bila baba
Hapa upo na watu wazima Mutah boy
Mutah boy unaongea vitu havieleweki Alie sema devil Kawa muislamu ni Muhammad sasa wewe endelea kumpinga😂😂😂 Kweli hauna maarifa kaka unajua kubold tu 😂😂😂.Aya ya chini unamuachia nani?Ni mjinga pekee atakaye endeshwa na wewe kwa kuwachambulia kipi wakisome kipi wakiache.
Acha kubold kaka,acha mtu mwenye maarifa asome post nzima ili apate habari kamili.
Kama hauna cha maana naomba usinipotezee muda kuna nyuzi kibao JF zinanisubiri.
Stop being like this;
View attachment 2118433
Na mimi nishakupa tafsiri na nishakupa maelezo hapo earlier,sijakulazimisha.Mutah boy unaongea vitu havieleweki Alie sema devil Kawa muislamu ni Muhammad sasa wewe endelea kumpinga
Abdullah ibn Mas’ud reported: The Muhammad, said, “Each one of you has a devil-companion from the jinn over him.” They said, “Even you, O Messenger of Allah?” The Prophet said, “Even me, yet Allah helped me against him until he embraced Islam. He does not order me to do anything but good.”
Source: Ṣaḥīḥ Muslim 2814
Mutah boy , nakukanya biblia sio kitabu Cha kuchomoa mstari mmoja soma sura nzima uapate mtiriko ,Sawa Mpotevu Ila Mbona Usinifundishe hapa Maana nimeshasoma Sana hiyo sura Ila kichwaa kinauma kuona Kitabu Cha MUNGU kinamtukana Mwenye Kitabu chake..
HUO UPUMBAVU WA MUNGU KATIKA BIBLIA NI UPI..?
1 Wakorintho 15:18 NEN
Hivyo basi, wote waliolala katika Kristo wamepotea.
Sent from my TECNO CC6 using JamiiForums mobile app
Yesu amekufa kwaajili ya kurejesha mahusiano yaliyopotea kutokana na dhambi za huko nyuma so ukishafaham hilo unatakiwa kuchukua hatua za kujiepusha na dhambi maana Bwana amaiweka cku ya hukum kwa waovu wote.Sasa kama ukizini ni moto huyo Yesu alikufa msalabani kwa ajili ya nini?Au ninyi wakristo hamtendi dhambi ya kuzini?
Mutah boy kama unataka debate muheshimu kwanza mtume wako[emoji2957][emoji2957][emoji12]ETY NAKUKANYA UNAMKANYA NANI SASA[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
HILI ANDIKO UNALIJUA LAKINI..
1 Wakorintho 15:18
Hivyo basi, wote waliolala katika Kristo wamepotea.
[emoji116][emoji116][emoji116]UPOTOVU UNAELEKEA MWISHONI KAMA [emoji116][emoji116]
View attachment 2118466
Sent from my TECNO CC6 using JamiiForums mobile app
Mutah boy hayo nayoweka ni maandiko yenu usiyapinge[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Tatizo Lako Unaleta Hoja Feki Ambazo Zimefungwa Na watu Kama wewe Hazipo katika Qur'an Wala Mafundisho Sahihi ya kiislam. Mimi nakupa Kitu Og kabisa Kutoka katika kile kitabu chako kilichotungwa mwaka 1958
1 Wakorintho 15:18
Hivyo basi, wote waliolala katika Kristo wamepotea..
Mithali 2:15
ambao mapito yao yamepotoka na ambao ni wapotovu katika njia zao..
Ondoka katika UPOTOVU Kijana..
Sent from my TECNO CC6 using JamiiForums mobile app
Muislamu akiwa ni mtenda mema na mcha Mungu ataenda mbinguni?Yesu amekufa kwaajili ya kurejesha mahusiano yaliyopotea kutokana na dhambi za huko nyuma so ukishafaham hilo unatakiwa kuchukua hatua za kujiepusha na dhambi maana Bwana amaiweka cku ya hukum kwa waovu wote.