Huyu Alie jiita Mimi ni nani?Yoyote mwenye kujitambua akipitia huu uzi atajua ukweli.Tangu lini shetani akamuamrisha mtu kufanya mema.Bora niende zangu naona umekaa ki imani zaidi pasipo kushirikisha cerebrum yako.
40:60. Na Mola wenu Mlezi anasema: Niombeni nitakuitikieni. Kwa hakika wale ambao wanajivuna na kuniabudu Mimi wataingia Jahannamu wadhalilike