Katika suala zima la ndoa, dini ya Kiislamu ipo vizuri

Mutah boy, unaposema Islam is growing unapinga Muhammad peupe kabisa , kama unataka debate heshimu mtume wake ili tuweze ku debate kama unaanzisha Uislamu wako weka wazi

Muhammad kasema wazi Uislamu utakufa ,ulianza kama kituko na utarudi kuwa kituko

“Islam began as something strange and will go back to being strange, so glad tidings to the strangers.’”Sunan Ibn Majah 3986

He also reported Muhammad saying, “Islam began as a small religion and will return to the state in which it began. Then blessed will be the few Mishkat al-Masabih 159
 
hawezi akakujibu uyo nilishawahi kumuuliza maswali hajanijibu mpk leo na nilishamwambia hatopata majibu yake mpk anakufa

Ni mjinga mmoja ivi uyo asojielewa
Mutah boy huwa unanikimbia, shida hamjui dini yenu kila maandiko nayoweka ni yakwenu lakini mnayapinga
 
Mutah boy ! kama maandiko yenu mnayaita vihoja sasa tunawasaidiaje?
 
Mkuu hivyo ni vigezo vyao na sivitambui na siviamini kwa 100% iwe Biblia iwe Quran.Mimi natambua Mungu aliye pamoja nami kuwa nijitahidi kufanya mema na kuogopa kufanya ubaya(HOFU YA MUNGU).

Mambo ya kusema ukiwa mkristo au muislamu ndio utaenda mbinguni siamini.

Ninachoamini hata yule asiye na dini yoyote ile na akafanya mema na akawa na HOFU YA MUNGU ataingia mbinguni.

MUNGU WANGU ANABAGUA WALE WALIOJAA USHETANI KATIKA MIOYO YAO TU.

Mimi nasoma dini yoyote ile hata ya mababu zetu, Hinduism n.k.Cha msingi za kuambiwa ninachanganya na za kwangu.
 
Mathayo 11:28
Njoni kwangu, ninyi nyote msumbukao na wenye kulemewa na mizigo, nami nitawapumzisha.
29 Jitieni nira yangu, mjifunze kwangu; kwa kuwa mimi ni mpole na mnyenyekevu wa moyo; nanyi mtapata raha nafsini mwenu;
30 kwa maana nira yangu ni laini, na mzigo wangu ni mwepesi.
 
Eti kuna kifungu kina sema kama hujakutana na mkeo kwa miezi 3 na hajui ulipo eti hapo automatically talaka 😂😂😂😂😂😂

What a marriage
 
Usishindane Na Qur'an Kitabu Chenye Historia Moja Iliyonyoooka Hakina Shaka Wala Marekebisho ndani yake..



Sent from my TECNO CC6 using JamiiForums mobile app
Koran bila hadith haieleweki kabisa ni mashahiri yasiyo heleweka

Korana inataja mtu anaitwa israel unaweza kueleza israel ni nani na alipataje hilo jina?
Koran bila mabano na maelezo ya binadamu hakuna kitu ni mashahiri hayaeleweki, embu weka 49:13 bila mabano uone ilivyo kituko

Mfano hapa ukitaka kujua waliotumwa , Koran Haina majibu ni binadamu ndio wanamajibu
Koran 46:14. Tulipo watumia wawili, wakawakanusha. Basi tukawazidishia nguvu kwa mwingine wa tatu. Wakasema: Hakika sisi tumetumwa kwenu
 
Mutah boy , sasa umemaliza nini hapo alafu kwa nini unampinga Allah ambae amesema alishusha biblia , nimesha kwambia kama unataka ku debate muheshimu Allah na Muhammad kwanza
Huyu hapa mtume wako anasema anaamini Torah na kwamba ni ya kweli na anaamini Mungu alieishusha Torah

...They placed a cushion for the Messenger of Allah (ﷺ) who sat on it and said: Bring the Torah. It was then brought. He then withdrew the cushion from beneath him and placed the Torah on it saying: I believed in thee and in Him Who revealed thee.....Sunan Abi Dawud 4449
 
Eti kuna kifungu kina sema kama hujakutana na mkeo kwa miezi 3 na hajui ulipo eti hapo automatically talaka [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

What a marriage
Think.

Hakuna sababu ya kutesana.

Nasio hivyo tu....

Hata ukifungwa gerezani zaidi ya miezi 3, hapo kinachohitajika ni uvumilivu wa mwenza wako kukusubiri umalize kifungo.

Ila itakapo timia miezi 3, na mke na mume hawapo pamoja, hapo kuna haki ya kutalakiana kama mmoja atahitaji iwe hivyo.
Ila wakiamua kusubiriana, haina shida.


Reasons for divorce ni nyingi mno.

Yanini kutesana, na mazingira yana force kuachana..?






Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa nini Allah anasema mwanamke apigwe , hili hakuna Alie jibu

4:34.... Basi wanawake wema ni wale wenye kut'ii na wanao jilinda hata katika siri kwa kuwa Allah ameamrisha wajilinde. Na ambao mnachelea kutoka katika ut'iifu wanasihini, muwahame katika malazi na wapigeni

Huyu ni mungu kweli anasema wanawake wapigwe
 
Kwani jini ni nani?
 
Kwani jini ni nani?
Jini ni shetani Yani Devil ambae muhammad anasema kila muislamu anae ndio mlinzi wake wakati wakristo wakilindwa na Malaika waislamu wanalindwa na shetani

Abdullah ibn Mas’ud reported: The Muhammad, said, “Each one of you has a devil-companion from the jinn over him.” They said, “Even you, O Messenger of Allah?” The Prophet said, “Even me, yet Allah helped me against him until he embraced Islam. He does not order me to do anything but good.”
 
Hii ibada ya jiwe jeusi hakuna muislamu Dunia nzima anaweza kukujibu kwa nini anaabudu jiwe
 
Eti kuna kifungu kina sema kama hujakutana na mkeo kwa miezi 3 na hajui ulipo eti hapo automatically talaka [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

What a marriage
Kifungu gani hicho hebu tuwekee hapa tujifunze
 
Hii ibada ya jiwe jeusi hakuna muislamu Dunia nzima anaweza kukujibu kwa nini anaabudu jiwe
Hawakujibu kwakuwa ni ibada za Kishikina.
Na zile za Kuchinja wanyama wa Kafara kwa ndugu zao wa Kijini.
 
Hawakujibu kwakuwa ni ibada za Kishikina.
Na zile za Kuchinja wanyama wa Kafara kwa ndugu zao wa Kijini.
Jiwe lenyewe wanaloliabudu limebaki kokoto , Kuna jamaa alilichukua akaliweka chooni likawa la kuchambia na kusugulia miguu ,huyu jamaa alimchalenge Allah akamwambia kama yeye anaweza aje alichukue jiwe ,Allah akashundwa kwa miaka zaidi ya ishirini , muhammad akatafuta pesa akanenda kulinunua ila lilibaki vikokoni kama name tu , ndio vipo pale wanasujudu kwa kokoto
 
Hakuna mjadala usio zingatia usahihi wa lugha. Inabidi mjifunze adabu za mijadala kwanza.

Kingine ni kuwa kazi yangu nimemaliza.
Jikite kwenye mada Kuna watu kiswahili sio lugha Yao ya kwanza kama Mimi ,unachotakoa angalia maana

Kuna swali la kuabudu jiwe , kwa nini mnaabudu jiwe?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…