Katika suala zima la ndoa, dini ya Kiislamu ipo vizuri

Kukopi ni suala moja!

Umielewaje? Unaifafanuaje?
 
Kukopi ni suala moja!

Umielewaje? Unaifafanuaje?
Mbona ipo wazi kabisa hakuna kificho
Abdullah ibn Mas’ud reported: The Muhammad, said, “Each one of you has a devil-companion from the jinn over him.” They said, “Even you, O Messenger of Allah?” The Prophet said, “Even me, yet Allah helped me against him until he embraced Islam. He does not order me to do anything but good.”
Source: Ṣaḥīḥ Muslim 2814
 
spensa_e ngoja nikujibu mwenyewe, utanichelewesha nina majukumu mengi, mpaka uwende kwa sheikh google utafute si leo. Bali utaendelea na copy and paste na ni kwa sababu: Elimu ni mfano wa kiumbe, elimu si karatasi wala vitabu. Elimu mtu anaihimili yeye mwenyewe. Hivyo anavyofanya mtu anahamisha maarifa kutoka kwake kwenda kwa mtu, na wala si Ku google na mengineyo. Elimu ya namna hiyo ya sheikh google haipo. Maadamu hauna, niliyenayo ngoja nikufafanulie.

Mtume swallallahu alayhi waalihi wasallam anasema; kwenye moyo wa binadamu kuna nyumba mbili. Moja ya malaika na shengine ni ya sheytwaan. Ikiwa huyu mja anamtaja Mungu sana sheytwaan anakonda (anakuwa kama ubawa wa mbu) malaika ndiyo anatawala. Ikiwa huyu mja hamtaji Mungu sheytwaan atamtawala. Huyu, ndiye anayeitwa the devil within.

Na kwa hii Mtume akaifafanua akasema; every human has a jinn(devil) that is assigned to that individual, and that devil is forever attached with each individual.

Huyu jinni kuanzia binadamu wa kawaida mpaka kwa mitume kwa manabii wapo. Isipokuwa mitume na manabii wametakasika, mioyo yao ni safi. Kwa hali hiyo yule the devil within wamejisalimisha. Rejea awali Mtume swallallahu alayhi waalihi wasallam aliposema moyo wa binadamu una nyumba mbili, ya malaika na jinni.

Ukumbuke pia katika Surat nnas za kujikinga dhidi ya sheytwaan wa kijinni na wa kibinadamu kuna aya inasema "alladhii yuwas-wisu fii suduuri nnasi. Minal jinnat wannaasi." Ninajilinda kwa mola kutokana na wanaotia wasisi katika nyoyo za binadamu, sharri ambazo zinatokana na sheytwaani wa kijinni na wa kibinadamu. Sasa miongoni mwa sheytwaani wa kijinni anayeleta wasisi katika mioyo ndiyo huyu, the devil within.

Ukumbuke pia katika uislam majinni ni miongoni mwa viumbe wa Mungu. Ukumbuke pia kwenye Qur'an Mungu anasema ameumba majinni na watu ili wamuabudu. Ukumbuke pia kumuabudu Mungu ni kufuata maarisho yake na kuacha makatazo yake. Kutekeleza hayo kunaitwa kujisalimisha ni muslimiin. Ni kuwa muislam.

Kwa mitume hao devil within wamejisalimisha. Kwetu ni kupambana nao kwa kufuata maamrisho ambayo Mitume wamekuja nayo. Uliyoitoa ni sehemu za kuwahusu hao majini ambao mtume kawazungumia kwenye hiyo hadithi. Mtume swallallahu alayhi waalihi wasallam kutufafanulia zaidi akasema; the angel has a touch and the sheytwaan has a touch. And the touch of the angel is that he inspires and motivates the individual to do good.

And the touch of the shaytwaan inafahamika ipoje! Ukimuacha huyu(devil) astarehe his momentum will carry you na utapotea. Mtume swallallahu alayhi waalihi wasallam akatupatia dawa vilevile kwa kutuambia. Moyo wa binadamu ni kama mfano wa chuma. Chuma kupata kutu ni mfano wa maasi/madhambi. Kila ukifanya dhambi moyo unashika kutu. Lakini kila binadamu ni mkoseaji, aliyebora ni mwenye kufanya tawbah, kutubu. Ukitubu unaondoa kutu iloyopo kwenye moyo.

Hiyo ndiyo fafanuzi fupi kuhusu hiyo hadithi. Ni kuwa tujielewe na tujifahamu binadamu mazingira tuliyopo ya namna zote. Hivyo Mtume swallallahu alayhi waalihi wasallam anatuvumbua na anatupatia silaha ya kupambana na huyu the so called the devil within, jina lake anaitwa Qaariin.

Hii ni elimu. Huwezi kuipata google Mzee. Hivyo kukopi na kupesti hakutokusaidia kwangu mimi. Huwa siipendi hii mijadala ila huwa sitoacha kupaweka sawa kwa mazingira mnayojaribu kuyajenga ninyi.
 
Hakuna ata tejea moja , hapa naona ni uongo tu umeandika bila reference, alafu kiharabu unaandika kama kiswahili ili iweje?
Kumbuka waislamu ndio companion yenu ni shetani sisi wakristo Mungu wetu kasema tunalindwa na Malaika mda wote
Mungu wa biblia anasema
Psalm 91:11”For He will give His angels charge concerning you, to guard you in all your ways.

Allah anasema
, “Each one of you has a devil-companion from the jinn over him.” saḥīḥ Muslim 2814
 
Mbona tumeshamaliza

Mungu wa biblia anasema

Psalm 91:11”For He will give His angels charge concerning you, to guard you in all your ways.



Allah anasema

, “Each one of you has a devil-companion from the jinn over him.” saḥīḥ Muslim 2814
 
Unajitahidi kujibu ila bado unajichanganya.

1. Nikisema Waislamu na Majini wanaukaribu hata wa kuitana ndugu kwakuwa ndugu ya Mwislamu ni Mwislamu mwenzake.

Sasa hapo unakanusha nini wakati wote ni Waislamu?

Yaani Mtu na Jinni Waislamu si wana namna moja ya kuabudu ? Yaani ni Dini moja.

2. Mashehe au Viongozi wa Kiislamu wanaposomea uislamu ni lazima wanafika mahali wawasome Waislamu wenzao wa Kijini.

Yaani somo la
" Mahusiano ya Waislamu watu na Waislamu Majini"

Somo hili linawapelekea hadi kwenda Ujinini ili kujua Lugha, tamaduni, na elimu za Kijini. (Baadhi ya Mashehe wanalizungumza hili)

Kwa mfano Jini Mwislamu anakuja kusali Msikitini lazima kuna taratibu inabidi zifuate ili kumwekea mazingira yake.

Ndio maana Wanawake wakiwa kwenye siku zao wanakatazwa kuingia Msikitini kuswali kwakuwa Majini yanaweza kumyonya zile damu ikapelekea hata kifo chake.

Pili Mnaposwali Msikitini Mnasalimia kushoto na Kulia, ukweli hapo mnawasalimia Majini.

Kwa hiyo hizo ratibu lazima viongozi wa Kiislamu wazitambue kwa kusoma Elimu ya Majini.

3. Umesema Mungu aliwaumba Majini ili wamwabudu.

Je Kabra ya Muhammadi Majini yalikuwa yanamwabudu nani ?

Yalikuwa Dini gani ?

Maana Manabii wote hawakufanya Shirika na Majini katika Ibada zao wala hawakuwahi kuwahubiria Majini habari za Dini.

Na Hakuna Mahali ambapo Mungu aliagiza Manabii wake wawashirikishe majini katika ibada zao.

Muhammadi ndiye nabii wa kwanza kwenda Ujinini kuwahubiria Majini Uislamu na Majini yakaukubali na Kusilimu.
Nani alimpa ruksa hiyo na wapi ?

Je kabla ya Kusilimu ni kwanini Majini hayakuwa yakimwabudu Mungu hali ya kuwa waliumbwa ili yamwabudu ?

Unataka kusema Majini yaliumbwa na ikawabidi wamsubiri Muhammadi aletewe Uislamu ndio yasilimu na kunwabudu Allah ?

4. Unaposema Kuna Majini wema na wabaya mimi nashindwa kukuelewa.

Hapo unamaanisha hawafanyi dhambi kabisa au ?
Maana Waislamu watu wanatenda dhambi na wanatubu Msikitini.

Na Majini pia najua yanakosea na yanakuja kutubu Msikitini.
Wewe unasemaje kwamba kuna Majini mema ?

[emoji117]Mwema ni Mungu peke yake yeye pekee ndiye hatendi dhambi[emoji118]

Kusema kuna Majini mema ni juhudi za Waislamu kuwatetea ndugu zao wa Kijini.

Kama kuna Majini mema yanakuja kufanya nini Msikitini ?
Unamaanisha hayatendi dhambi au unamaanishaje ?
Yaani Jinni Mwema na ahitaji kusilimu ili iwe nini?

Ninachojua majini yote ni maovu ndio maana yanatapatapa kutaka kutubu.

Halafu Kusema Mtu au Jinni ni Mwema hii kauli haitakiwi isemwe na Jinni wala Mtu.

Mungu ndiye anayejua kiumbe gani ni Chema baada ya kutubu na kuishi kitakatifu.


Ni kwamba Majini yameukubali uislamu kwakuwa yanataka kutubu dhambi zao uli kumpendeza Mola wao.

Na Majini Maovu ndiyo yanayotaka kutubu kupitia taratibu za Kiislamu.

5. Hivi ni kwanini Ibada za Kiislamu zishirikishe Majini?

Hivi Allah alishindwaje kuchagua Mtume wa Kijini ili awahuburie Majini wenzake ?

Inayumnikanaje Mtume wa Watu aende kuyahubiria Majini wakati Majini hayaonekani kwa Macho ya Kibinadamu.?

Alikukutana nayo vipi na wapi mbona qurani haielezi. Muhammadi alijifunza wapi Lugha za Kijini.

Muhammadi tunaona Allah anamtuma kwa Watu awe Mtume.

Mbona hatuoni Allah anamtuma Muhammadi kwenda kuwa Mtume kwa Majini ?

Hivi Allah kama alitaka Majini yamwabudu kupitia Uislamu kwanini hakumteua Mtume miongoni mwa Majini awahubirie Majini wenzake ?

Kama Binadamu Muhammadi ndiye aliyeyasilimisha Majini.
Basi ni wazi hata leo Majini yanasikiliza Ibada kwa Binadamu Mashehe na Maimamu.

Ndio maana yule Shehe aliniambia Majini yote yanaswali Kwenye Misikiti ya Watu.

Kama Majini yalikosa Nabii wao wa Kijini, basi ni hakika hayana Mashehe wala Maimamu wa Kijini.
Wa kuwaswalisha huko huko Ujinini.
Hivyo ni lazima Majini yashiriki katika Ibada zote za Kiislamu zinazo ongozwa na Waislamu watu Misikitini.

Hii ni hatari sana kwa baadhi ya Waislamu Watu hasa wengi wao ambao ni Maamuma kwenye Kweli ya Kiislamu
 
We KAFIRI tuelezee huu upumbavu ni upi?
 
kwaio hapa Hakuna KAFIRI.anaejua jibu lake hapa?
Hiyo Paul ametumia metaphor language kueleza hakuna binadamu anafikia uweza wa Mungu , hilo tumemaliza turudi tuelezeeni kwa makini kwa nini mnalindwa na shaitan
 
Mwulize Paulo kwanini alimwita Mungu hivyo.
Hhhhhhhh tumuulize Paul wakati nyinyi si ndo kitabu chenu icho kiteteeni sasa

Ukristo haujawahi na hautowahi kua dini yni mpk Mungu anatukanwa
 
Hiyo Paul ametumia metaphor language kueleza hakuna binadamu anafikia uweza wa Mungu , hilo tumemaliza turudi tuelezeeni kwa makini kwa nini mnalindwa na shaitan
Akili mbili kweli ww usiteteee ujinga hpa bible lenu ilo ndo liloandikwa ivo tupeni majibu kma mtaweza
 
Hhhhhhhh tumuulize Paul wakati nyinyi si ndo kitabu chenu icho kiteteeni sasa

Ukristo haujawahi na hautowahi kua dini yni mpk Mungu anatukanwa
Hapo Kwangu mimi Paulo alikosea,
Kwani Makosa ya mitume si yanaandikwa kwenye Vitabu vya Dini kama kawaida.

Musa alikusea, Daudi alikosea, Muhammadi alikosea, Ibrahimu alikosea,
Suleimani alikosea

Sasa unashangaa nini Paulo kukosea ?
Kwani yeye ni Mungu hata
asikosee ?

Kwa namna yoyoye ile kutamka hilo neno ni kosa.
Na nina uhakika Paulo alitubu kwa Mungu wake.
 
Lete Aya za hao mitume walokosea hapa

hlf pitia aya hii hapa 2:2 hlf ndo uje na ayo makosa yako
 
Mutah boy ,mbona hakuna ushahidi umeweka
 
Akili mbili kweli ww usiteteee ujinga hpa bible lenu ilo ndo liloandikwa ivo tupeni majibu kma mtaweza
Mutah boy unataka ujibiwe kivipi , hilo tumemaliza na jibu nimeshatoa ,

Kwa nini Allah amewapa ulinzi wa shaitan the Devil
 
Anhaa kwaio unakiri kua Bible ina makosa au sio ? Endeleeni tu kutumia icho kitabu hlf saivi kule Mapadri wanatakiwa waoe bhna washaona kua haiwezekani mtu kukaa bila ya kuoa

Nafurahi kuzaliwa katika neema ya Uislamu
 
Lete Aya za hao mitume walokosea hapa

hlf pitia aya hii hapa 2:2 hlf ndo uje na ayo makosa yako
Kwenye biblia ni wengi wamekosa na wametubu na Mungu wa biblia anachukizwa na dhambi zao,

Ukirudi kwa Allah alifikia maali mpaka akasema muhammad afanye dhambi zote maana kampa leseni ya kufanya dhambi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…