Katika suala zima la ndoa, dini ya Kiislamu ipo vizuri

Hadith ndio imekataza mutah ila Koran Aya ipo na hakuna katazo , sasa tumfuate Umar au Allah ?
ALLAH anasema hivi kwenye Quran 59:7

"And whatever the Messenger gives you, take it, and whatever he forbids you, abstain."

Umar r.a ametamka yaliyotamkwa na Mtume s.a.w hajatamka jambo kwa matamanio ya nafsi yake. Na waislam tunaamini kuwa kila alilolifundisha Mtume s a.w ni ufunuo kutoka kwa Mungu. ALLAH anasema kuwa Mtume hatamki jambo kwa matamanio ya nafsi yake bali ni ufunuo kutoka kwake.

Sasa mtume s.a.w kashasema kuwa Mut'ah ni haram untill the day of judgement alitamka maneno haya katika vita ya kuikomboa makka kutoka kwa washirikina.

Soma Quran 4:3,4:4:4:5, 4:24-25
 
Ndugu Huyu Kafiri Ana muhuri Tayari Wa Ukafiri Achana Nae Tumeshamuelewesha Sana Ila haelewi Wala hatoelewa..
Mi nasahihisha tu anapotaka kuuchafua uislam. Kuamini au asiamini ni juu yake mwenyewe ndugu.
 
Allah hakutoa verse ya kukataza mutah , ila Umar na Muhammad ndio waliokataza ,
Nyie wenyewe ndio mnasema wazi Hadith iki pingana na Koran tunachumua Koran , kwa maana hiyo tunachukua Koran kwamba mutah bado ipo

Hili nimeshamaliza
 
Allah hakutoa verse ya kukataza mutah , ila Umar na Muhammad ndio waliokataza ,
Nyie wenyewe ndio mnasema wazi Hadith iki pingana na Koran tunachumua Koran , kwa maana hiyo tunachukua Koran kwamba mutah bado ipo

Hili nimeshamaliza
Uislam ni Quran na Sunnah... Ukikataa kauli za mtume unakuwa sio muislam. Quran ishasema jambo mkiambiwa na Mtume lifateni na mkikatazwa liacheni. Mtume kashasema Muta'ah ni haramu , wewe nani kusema ni halali??
 
Uislam ni Quran na Sunnah... Ukikataa kauli za mtume unakuwa sio muislam. Quran ishasema jambo mkiambiwa na Mtume lifateni na mkikatazwa liacheni. Mtume kashasema Muta'ah ni haramu , wewe nani kusema ni halali??
Allah kwenye Koran anasema yeye ndio anaweza kubadili sura au akafanya waisahau alafu wakisha sahau analeta kama ile ile ,
Kati ya maneno ya Allah Koran na ya muhammad Hadith kuhusu mutah tunamfuata nani?
 
Uislam ni Quran na Sunnah... Ukikataa kauli za mtume unakuwa sio muislam. Quran ishasema jambo mkiambiwa na Mtume lifateni na mkikatazwa liacheni. Mtume kashasema Muta'ah ni haramu , wewe nani kusema ni halali??
Nyie wenyewe ndio mnasema Hadith ikipishana na Koran inatakiwa ifuatwe Koran leo mnabisha tena?
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Huu Uchafu Wenu Makanisani Umefundishwa Na Mungu Yupi...?View attachment 2121249
Mutah boy unajitekenya unacheka mwenyewe , mimi napo weka uchafu naweka na maandiko Yako ambayo huwezi kuyapinga ,
Weka andiko la biblia linaruhusu huo unao uita uchafu
 
Hata Hizi Picha Pia Hazichafui Ukristo Bali Zinaonyesha Uhalisia Wa Mnayofanya Huko Kanisani KwenuView attachment 2121251
Kwa taarifa yako Kanisa ziko za aina nyingi.
Freemason wana Kanisa
Satanic wana kanisa
Rusiferian wana Kanisa
Nk
Na wote wana vaa misaraba.

We sema hilo Kanisa ni Kanisa gani ambalo wanafungisha hao Mashoga ?

Kanisa La Kikristo halifanyi hizo mambo.
 
Kwa Sisi Wakristo Shetani Ni Kiumbe na sio tabia mbaya ya mtu

Mathayo 4:10 Ndipo Yesu alipomwambia, Nenda zako, Shetani; kwa maana imeandikwa, Msujudie Bwana Mungu wako, umwabudu yeye peke yake.

Luka 22:3
Shetani akamwingia Yuda, aitwaye Iskariote, naye ni mmoja wa wale Thenashara.

1 Wakorintho 7:5
Msinyimane isipokuwa mmepatana kwa muda, ili mpate faragha kwa kusali; mkajiane tena, Shetani asije akawajaribu kwa kutokuwa na kiasi kwenu.

Ufunuo wa Yohana 20:2
Akamshika yule joka, yule nyoka wa zamani, ambaye ni Ibilisi na Shetani, akamfunga miaka elfu;

Kama Kwenu Waislamu Shetani ni
ni tabia mbaya za Watu na Majini basi tunatofautiana kwenye hilo.
 
Weka andiko moja tu la biblia linaruhusu huo uchafu, ni Bora umekiri hujui biblia hao ni wapinga kristo kama wewe tu
 
Nabii yupi katika biblia alioa mke mmoja
 
Imani Yako huijui kabisa , unajua kwa iamani Yako shetani anataga mayai? Kama hujui nenda kwa kiongozi wako wa dini akufundishe

Muhammad mwenyewe amekiri wazi mna shaitan kama companion wa waumini
 
Sawa kwako ila Baadhi ya Waislamu wanasema Shetani ni tabia mbaya ila Ibirisi ndio huyo aliyemwasi amwenyezi Mungu.

Sisi Wakristo Shetani na Ibirisi ni Kiumbe Kimoja. Na Malaika zake ni Majini ambao nao wote ni Waasi wa Mungu.
Kama Majini yalikuja Kusilimu wakati wa Muhamadi na kutubu hilo fundisho sisi hatuliamini hata kidogo.

Mambo ya Walawi 17:7
Wala hawatatoa tena sadaka zao kwa wale majini, ambao huwafuata ili wafanye uasherati nao. Sheria hii itakuwa sheria ya milele kwao, kizazi baada ya kizazi.

Ni sheria ya milele sasa kama wangetubu baadae sisi hatujaambiwa na Mungu wala Manabii tunaowaamini
 
Ndio maana wewe ni mtupu Sana kwenye Uislam , shetani (Iblis) Allah alimpangia kufanya dhambi , nenda kasome ndio uje udebate , Jua dini Yako kwanza naona hapa unaabisha Uislamu kweupe
 

1 Wakorintho

25 Kwa maana huu upumbavu wa Mungu una hekima zaidi kuliko hekima ya wanadamu, na ’udhaifu’ wa Mungu una nguvu ipitayo nguvu ya wanadamu.

Una maana gani kutowa andiko hili
 
Kwa hiyo Allah anapokea order kutoka kwa Mungu wa waisrael.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…