Tipstipstor
JF-Expert Member
- Nov 29, 2021
- 1,528
- 3,352
ALLAH anasema hivi kwenye Quran 59:7Hadith ndio imekataza mutah ila Koran Aya ipo na hakuna katazo , sasa tumfuate Umar au Allah ?
"And whatever the Messenger gives you, take it, and whatever he forbids you, abstain."
Umar r.a ametamka yaliyotamkwa na Mtume s.a.w hajatamka jambo kwa matamanio ya nafsi yake. Na waislam tunaamini kuwa kila alilolifundisha Mtume s a.w ni ufunuo kutoka kwa Mungu. ALLAH anasema kuwa Mtume hatamki jambo kwa matamanio ya nafsi yake bali ni ufunuo kutoka kwake.
Sasa mtume s.a.w kashasema kuwa Mut'ah ni haram untill the day of judgement alitamka maneno haya katika vita ya kuikomboa makka kutoka kwa washirikina.
Soma Quran 4:3,4:4:4:5, 4:24-25