Katika suala zima la ndoa, dini ya Kiislamu ipo vizuri

Katika suala zima la ndoa, dini ya Kiislamu ipo vizuri

Hadith ndio imekataza mutah ila Koran Aya ipo na hakuna katazo , sasa tumfuate Umar au Allah ?
ALLAH anasema hivi kwenye Quran 59:7

"And whatever the Messenger gives you, take it, and whatever he forbids you, abstain."

Umar r.a ametamka yaliyotamkwa na Mtume s.a.w hajatamka jambo kwa matamanio ya nafsi yake. Na waislam tunaamini kuwa kila alilolifundisha Mtume s a.w ni ufunuo kutoka kwa Mungu. ALLAH anasema kuwa Mtume hatamki jambo kwa matamanio ya nafsi yake bali ni ufunuo kutoka kwake.

Sasa mtume s.a.w kashasema kuwa Mut'ah ni haram untill the day of judgement alitamka maneno haya katika vita ya kuikomboa makka kutoka kwa washirikina.

Soma Quran 4:3,4:4:4:5, 4:24-25
 
Ndugu Huyu Kafiri Ana muhuri Tayari Wa Ukafiri Achana Nae Tumeshamuelewesha Sana Ila haelewi Wala hatoelewa..
Mi nasahihisha tu anapotaka kuuchafua uislam. Kuamini au asiamini ni juu yake mwenyewe ndugu.
 
ALLAH anasema hivi kwenye Quran 59:7

"And whatever the Messenger gives you, take it, and whatever he forbids you, abstain."

Umar r.a ametamka yaliyotamkwa na Mtume s.a.w hajatamka jambo kwa matamanio ya nafsi yake. Na waislam tunaamini kuwa kila alilolifundisha Mtume s a.w ni ufunuo kutoka kwa Mungu. ALLAH anasema kuwa Mtume hatamki jambo kwa matamanio ya nafsi yake bali ni ufunuo kutoka kwake.

Sasa mtume s.a.w kashasema kuwa Mut'ah ni haram untill the day of judgement alitamka maneno haya katika vita ya kuikomboa makka kutoka kwa washirikina.

Soma Quran 4:3,4:4:4:5, 4:24-25
Allah hakutoa verse ya kukataza mutah , ila Umar na Muhammad ndio waliokataza ,
Nyie wenyewe ndio mnasema wazi Hadith iki pingana na Koran tunachumua Koran , kwa maana hiyo tunachukua Koran kwamba mutah bado ipo

Hili nimeshamaliza
 
Uislam ni Quran na Sunnah... Ukikataa kauli za mtume unakuwa sio muislam. Quran ishasema jambo mkiambiwa na Mtume lifateni na mkikatazwa liacheni. Mtume kashasema Muta'ah ni haramu , wewe nani kusema ni halali??
 
Allah kwenye Koran anasema yeye ndio anaweza kubadili sura au akafanya waisahau alafu wakisha sahau analeta kama ile ile ,
Kati ya maneno ya Allah Koran na ya muhammad Hadith kuhusu mutah tunamfuata nani?
 
Uislam ni Quran na Sunnah... Ukikataa kauli za mtume unakuwa sio muislam. Quran ishasema jambo mkiambiwa na Mtume lifateni na mkikatazwa liacheni. Mtume kashasema Muta'ah ni haramu , wewe nani kusema ni halali??
Nyie wenyewe ndio mnasema Hadith ikipishana na Koran inatakiwa ifuatwe Koran leo mnabisha tena?
 
Hata Hizi Picha Pia Hazichafui Ukristo Bali Zinaonyesha Uhalisia Wa Mnayofanya Huko Kanisani KwenuView attachment 2121251
Kwa taarifa yako Kanisa ziko za aina nyingi.
Freemason wana Kanisa
Satanic wana kanisa
Rusiferian wana Kanisa
Nk
Na wote wana vaa misaraba.

We sema hilo Kanisa ni Kanisa gani ambalo wanafungisha hao Mashoga ?

Kanisa La Kikristo halifanyi hizo mambo.
 
Msimamo Wa Waislam Kuhusu Shetani Tunafundishwa kumuepuka pamoja na Vitu Vyote vyenye Nasaba yake..

Qur'an Inafundisha Nini Kuhusu Mashetani...[emoji116]

Qur'an 24:21.. Enyi mlio amini! Msizifuate nyayo za Shet'ani. Na atakaye fuata nyayo za Shet'ani basi yeye huamrisha machafu na maovu..

Qur'an 17:53. Waambie waja wangu waseme maneno mazuri, maana Shet'ani huchochea ugomvi baina yao. Hakika Shet'ani ni adui aliye dhaahiri kwa mwanaadamu.

Qur'an 17:37.. Hakika wabadhirifu ni ndugu wa Mashet'ani. Na Shet'ani ni mwenye kumkufuru Mola wake Mlezi...

Zipo Nyingi Ila Hizi Ni Mfano Tu Wa Qur'an inavyowafundisha Waislam kuhusu ubaya wa Shetani..

JIBU NIMEKUPA HILO HAPO..

NAOMBA WATETEE HAWA WAKRISTO WENZIO WANAOTUMIA BIBLIA NA KANISA KUBARIKI USHOGA..

View attachment 2121240
Kwa Sisi Wakristo Shetani Ni Kiumbe na sio tabia mbaya ya mtu

Mathayo 4:10 Ndipo Yesu alipomwambia, Nenda zako, Shetani; kwa maana imeandikwa, Msujudie Bwana Mungu wako, umwabudu yeye peke yake.

Luka 22:3
Shetani akamwingia Yuda, aitwaye Iskariote, naye ni mmoja wa wale Thenashara.

1 Wakorintho 7:5
Msinyimane isipokuwa mmepatana kwa muda, ili mpate faragha kwa kusali; mkajiane tena, Shetani asije akawajaribu kwa kutokuwa na kiasi kwenu.

Ufunuo wa Yohana 20:2
Akamshika yule joka, yule nyoka wa zamani, ambaye ni Ibilisi na Shetani, akamfunga miaka elfu;

Kama Kwenu Waislamu Shetani ni
ni tabia mbaya za Watu na Majini basi tunatofautiana kwenye hilo.
 
Mimi Siijui Biblia Kumzidi Huyu Mchungaji Wenu hapa aliyeishika Na kubariki Ndoa Mimi Sina Uwezo Wa kumpinga Maana kwanza sio mmoja au wawili au watatu Bali wengi Sana ingia YouTube utazio hata ukitumia mwezi Mzima hautazimaliza..

Watete Hawa Basi Kama una jeuri Hiyo..

SHETANI MAS'KANI YAKE NI KANISANI...[emoji116][emoji116]View attachment 2121259
Weka andiko moja tu la biblia linaruhusu huo uchafu, ni Bora umekiri hujui biblia hao ni wapinga kristo kama wewe tu
 
Nabii yupi katika biblia alioa mke mmoja
Ndoa zote zinaidhinishwa na Serikali.
Maana yake anayefungisha ndoa ni Serikali.
Ndio maana ukitaka kuvunja ndoa ni lazima uende katika vyombo vya serikali kama Mahakama.

Na Serikali ikijiridhisha kuwa ndoa flani ilifungwa kwa kukiuka kanuni za ndoa, inaivunja hiyo ndoa bila kujali ilifungwa Kanisani au Hekaluni.

Huko Kanisani na Misikitini viongozi wake wanaiwakilisha tu kazi ya serikali.

Hata kiongozi wa Mila anaruhusiwa kwenda Serikarini na kuchukua vyeti vya ndoa na kuwafungisha watu wake, ili mradi tu aaminike na jamii yake na Serikali.

Kuhusu kuoa wake wengi au mmoja
hii inategemea na uwezo wa Mwanaume.

Taraka haipaswi kutolewa kwa urahisi kwakuwa Wanaume wasio na busara wanatumia fimbo ya Taraka kuwaumiza wanawake.

Wengi wetu uwezo wetu ni wakuoa mke mmoja tu.
Kama ilivyoandikwa kwenye Biblia Takatifu.
 
Hapana Kwetu Shetani Ni kiumbe Aliemuasi MWENYEZI MUNGU Soma Tena hizo Aya Vizuri

Shetani Ndio Kiongozi wa Kuongoza Watu katika tabia za uovu na mbaya

Ndio Maana Mtu anapofanya Jambo Ovu Moja kwa Moja inaaminikia amefanya kwa Ushawishi Wa Shetani

Mfano Shetani Alivyomshawishi Yesu Kumuacha Mungu Na Kumuabudu Yeye..
Imani Yako huijui kabisa , unajua kwa iamani Yako shetani anataga mayai? Kama hujui nenda kwa kiongozi wako wa dini akufundishe

Muhammad mwenyewe amekiri wazi mna shaitan kama companion wa waumini
 
Hapana Kwetu Shetani Ni kiumbe Aliemuasi MWENYEZI MUNGU Soma Tena hizo Aya Vizuri

Shetani Ndio Kiongozi wa Kuongoza Watu katika tabia za uovu na mbaya

Ndio Maana Mtu anapofanya Jambo Ovu Moja kwa Moja inaaminikia amefanya kwa Ushawishi Wa Shetani

Mfano Shetani Alivyomshawishi Yesu Kumuacha Mungu Na Kumuabudu Yeye..
Sawa kwako ila Baadhi ya Waislamu wanasema Shetani ni tabia mbaya ila Ibirisi ndio huyo aliyemwasi amwenyezi Mungu.

Sisi Wakristo Shetani na Ibirisi ni Kiumbe Kimoja. Na Malaika zake ni Majini ambao nao wote ni Waasi wa Mungu.
Kama Majini yalikuja Kusilimu wakati wa Muhamadi na kutubu hilo fundisho sisi hatuliamini hata kidogo.

Mambo ya Walawi 17:7
Wala hawatatoa tena sadaka zao kwa wale majini, ambao huwafuata ili wafanye uasherati nao. Sheria hii itakuwa sheria ya milele kwao, kizazi baada ya kizazi.

Ni sheria ya milele sasa kama wangetubu baadae sisi hatujaambiwa na Mungu wala Manabii tunaowaamini
 
Hapana Kwetu Shetani Ni kiumbe Aliemuasi MWENYEZI MUNGU Soma Tena hizo Aya Vizuri

Shetani Ndio Kiongozi wa Kuongoza Watu katika tabia za uovu na mbaya

Ndio Maana Mtu anapofanya Jambo Ovu Moja kwa Moja inaaminikia amefanya kwa Ushawishi Wa Shetani

Mfano Shetani Alivyomshawishi Yesu Kumuacha Mungu Na Kumuabudu Yeye..
Ndio maana wewe ni mtupu Sana kwenye Uislam , shetani (Iblis) Allah alimpangia kufanya dhambi , nenda kasome ndio uje udebate , Jua dini Yako kwanza naona hapa unaabisha Uislamu kweupe
 
1 Wakorintho

25 Kwa maana huu upumbavu wa Mungu una hekima zaidi kuliko hekima ya wanadamu, na ’udhaifu’ wa Mungu una nguvu ipitayo nguvu ya wanadamu.

Una maana gani kutowa andiko hili
 
Vita Vilifundishwa Na Bwana Na Yeye Ndie Halalisha Mauaji Ya Binadamu Wasio Kuwa Waisrael..

awaambie, Sikizeni, enyi Israeli, hivi leo mwasongea mapiganoni juu ya adui zenu mioyo yenu na isizime; msiche, wala msiteteme, wala msiingiwe na hofu kwa ajili ya wao; Kumbukumbu la Torati 20:3

Msiogope, wala msifadhaike. Kesho tokeni mwende mkawakabili, naye Bwana atakuwa pamoja nanyi.’ ”

Na ahimidiwe Bwana, mwamba wangu, Anifundishaye mikono yangu vita, Vidole vyangu kupigana. Zaburi 144:1
Kwa hiyo Allah anapokea order kutoka kwa Mungu wa waisrael.
 
Back
Top Bottom