Katika suala zima la ndoa, dini ya Kiislamu ipo vizuri

Katika suala zima la ndoa, dini ya Kiislamu ipo vizuri

Sawa kwako ila Baadhi ya Waislamu wanasema Shetani ni tabia mbaya ila Ibirisi ndio huyo aliyemwasi amwenyezi Mungu.

Sisi Wakristo Shetani na Ibirisi ni Kiumbe Kimoja. Na Malaika zake ni Majini ambao nao wote ni Waasi wa Mungu.
Kama Majini yalikuja Kusilimu wakati wa Muhamadi na kutubu hilo fundisho sisi hatuliamini hata kidogo.

Mambo ya Walawi 17:7
Wala hawatatoa tena sadaka zao kwa wale majini, ambao huwafuata ili wafanye uasherati nao. Sheria hii itakuwa sheria ya milele kwao, kizazi baada ya kizazi.

Ni sheria ya milele sasa kama wangetubu baadae sisi hatujaambiwa na Mungu wala Manabii tunaowaamini
Hayo maandiko umenukuu wapi au mmetoa vichwani mwenu?

Mbona mnaruka kujibu hili swali? Upumbavu wa Mungu aliyekusudia Paulo ni upi? Maana nyie kwa matusi mpo vizuri. Mnamtukana hadi muumba wenu

1 Wakorintho

25 Kwa maana huu upumbavu wa Mungu una hekima zaidi kuliko hekima ya wanadamu, na ’udhaifu’ wa Mungu una nguvu ipitayo nguvu ya wanadamu.
 
Ndugu Huyu Kafiri Ana muhuri Tayari Wa Ukafiri Achana Nae Tumeshamuelewesha Sana Ila haelewi Wala hatoelewa..
Huyo ni Kafiri, tena Bibilia yake inamtambua kua ni Hayawani, ni Kipofu, Huota ndoto, Hupenda usingizi, tena ni Mbwa alie bubu, Hawana maarifa an wana choyo sana, Hafahamu neno la Mungu na ndio maana Hufuata maneno yake mwenyewe na sio ya Mungu. 56:09-12. ISAYA.

Ushahidi wa hao jamaa kuwa vipofu na hawana akili husema ktk mafundisho yao kuwa Yesu ni mwana wa Mungu, ila wakisali husema ... Maria mtakatifu mama wa Mungu, utuombee sisi wakosefu...
Sasa Maria kamzaa Mungu yupi wakati Mashetani walishawaambia kuwa Yesu si Mungu bali ni mtoto wa Mungu?
Pia ni dhambi zipi msamehewe wakati mnadai yesu alishachukua dhambi zenu?
Kila alie Kafiri lazima achukie uislam maana ni dini isio na mashaka. Nau ukisoma Bibilia mwanzo hadi ufunuo,hata hilo neno UKRISTO halipo. Pia ktk hiyo Bibilia hakuna hata hilo neno BIBILIA. Hapo ndio utajua huwa hao jamaa hawana hata dini.
 
Hawawezi Kujibu Hili Swali Kamwe Maana Jibu La hili Swali ndio ushahidi wa kuwa Biblia Sio KITABU CHA MUNGU
Wanafikiria kutunga uongo pia unakataa kwenye biblia. Kwenye Quran hodari kwa ufafanuzi wa aya.
Huku kwenye biblia sijui kuna shida gani hawawezi kutoa ufafanuzi.
 
Haya Maswali Nilimuuliza Huyo Kafiri Hakujibu Hata Moja Na Mpaka Sasa Hajibu Na Wala Hatowahi Kujibu.
Kupitia bibilia hawezi kujibu maana sio kitabu cha Mungu na ndio maana kinapingana ktk maandiko. Mfano...
MARCO 15:25, inasema Yesu kasulubiwa saa 3 wakati YOHANA 19:14, inpinga na kusema saa 6 Yesu Yuko mahakamani na Pilato bado Hajasulubiwa.
Pia MARCO hio hio 15:26... Inasena Aliesulubiwa ni Simoni Mkirene na pia Simoni aliubeba msalaba wa Yesu wakati YOHANA 19:16... Inapinga na kusema alisulubiwa Yesu na Msalaba alibebe Yesu mwenyewe hakubebewa.
Huku QURAN imetulia kwa kusema kuwa hao Makafiri, Yesu hawakumsulubisha wala hawakumuuwa
 
Ndio maana wewe ni mtupu Sana kwenye Uislam , shetani (Iblis) Allah alimpangia kufanya dhambi , nenda kasome ndio uje udebate , Jua dini Yako kwanza naona hapa unaabisha Uislamu kweupe
Usimsingizie ALLAH uongo...hakuna kiumbe muovu ulimwenguni kama mwenye kumzulia uongo Mwenyezi Mungu. Watch out kid.

Ni hivi Wanaadamu na Majini wote tumepewa nafsi zenye free will (uamuzi wa kufanya mema au mabaya).

Mwenyezi Mungu ametakasika juu ya dhulma.Infact amejiharamishia dhulma.Hadhulumu waja wake ila sisi waje ndio wenye kujidhulumu wenyewe.

Iblis l.a kama kiumbe wa ALLAH hakushurutishwa kufanya dhambi ya kumgomea amri ya Mungu, juu ya kumsujudia Adam. IBLIS kwa utashi wa akili na nafsi yake alichagua uasi badala ya utii.

Kinachokuchanganya ni uwezo wa ALLAH kujua what will happen next.ALLAH ana elimu juu ya kila kitu kilichotokea, kinachotokea na kitakachotokea. Hasinzii wala halali, yupo macho muda wote anaangalia yanayoendelea katika ulimwengu huu wa fujo. Iblis kabla ya kuasi ALLAH alishajua kuwa atakuja tu kuasi na baada ya kuasi na kumshawishi Adam kula tunda nini kitakuja kutokea. Infact licha ya kuwa tumepewa free will kuchagua kutenda mema au mabaya bado Mwenyezi Mungu anajua machaguzi tutakayoyachagua hapa duniani na yapi mafikio yetu baada ya machaguzi haya.
 
Hivi Majini Kabla ya Muhammadi yalikuwa Dini gani ?
 
IMG-20220216-WA0002.jpg
 
Hivi Majini Kabla ya Muhammadi yalikuwa Dini gani ?
Uislamu ulikuwepo kabla ya Mtume Muhammad s.a.w.... Uislam ulikuwepo kabla hata Adam hajaumbwa, Uislam maana yake ni kujisalimisha na kumpwekesha Mungu mmoja tu pas na kumshirikisha na chochote kile.

Mwenyezi Mungu anasema kuwa hakuwaumba Majini na binadamu isipokuwa kwa lengo moja tu la kumuabudu YEYE.

Majini waliumbwa miaka mingi kabla ya binadamu so uislam ulikuwepo kabla ya ujio wa binadamu kwenye uso wa ardhi.
 
Kwa mchango wako unamaanisha Majini walikuwa Waislamu kabla ya Adam na Hawa.

Swali la kwanza,
Je taratibu za Kiibada za Kiislamu zilikuwaje ?

Swali la pili
Mtume wa Majini alikuwa nani ?

Swali la tatu,
Huyo Mtume wa Kiislamu alikuwa anatumia mafundisho ya Kitabu gani ?
 
Enyi Wakristo Mliopotezwa na Wachungaji Wenu Muogopeni Mungu Mmoja Na Muache Kufuata Njia hizi Za Shetani Kwakua Shetani Amemkufuru MOLA wake..

Wakorintho 15:18

Hivyo basi, wote waliolala katika Kristo wamepotea.View attachment 2121222
Ujifunze kusoma maandiko Hadi mwisho mwehu wewe

1 Wakorintho 15 (Biblia Takatifu)
¯¯¯¯¯¯¯¯¯¯
¹⁵ Naam, na sisi tumeonekana kuwa mashahidi wa uongo wa Mungu; kwa maana tulimshuhudia Mungu ya kuwa alimfufua Kristo, ambaye hakumfufua, ikiwa wafu hawafufuliwi.
¹⁶ Maana kama wafu hawafufuliwi, Kristo naye hakufufuka.
¹⁷ Na kama Kristo hakufufuka, imani yenu ni bure; mngalimo katika dhambi zenu.
¹⁸ Na hapo wao nao waliolala katika Kristo wamepotea.
¹⁹ Kama katika maisha haya tu tumemtumaini Kristo, sisi tu maskini kuliko watu wote.
²⁰ Lakini sasa Kristo amefufuka katika wafu, limbuko lao waliolala.
 
Kwa mchango wako unamaanisha Majini walikuwa Waislamu kabla ya Adam na Hawa.

Swali la kwanza,
Je taratibu za Kiibada za Kiislamu zilikuwaje ?

Swali la pili
Mtume wa Majini alikuwa nani ?

Swali la tatu,
Huyo Mtume wa Kiislamu alikuwa anatumia mafundisho ya Kitabu gani ?
Toka wanaadamu waumbwe, ALLAH amekwisha teremsha vitabu vitukufu vinne navyo ni Tawrat, Zaburi, injili na mwisho ni Quran.

Kabla ya Mussa kulikuwa na Mitume kama Ibrahim, ishaq, ismael, Nuh,Yaqub n.k hawa walikuwa na marejeo yao yaliyojulikana kama Suhufi. Dini ilikuwa ni ile ile ya uislam (Muabudu Mungu mmoja bila ya kumshirikisha na chochote (yeyote)) aka monotheism.

Mwenyezi Mungu anasema hayo kupitia

Quran 5: 48

Na tumekuteremshia wewe, kwa haki, Kitabu hichi kinacho sadikisha yaliyo kuwa kabla yake katika Vitabu na kuyalinda. Basi hukumu baina yao kwa aliyo yateremsha Mwenyezi Mungu, wala usifuate matamanio yao ukaacha Haki iliyo kujia. Kila mmoja katika nyinyi tumemwekea sharia yake na njia yake. Na lau kuwa Mwenyezi Mungu angeli taka ange kufanyeni nyote umma mmoja, lakini ni kukujaribuni kwa aliyo kupeni. Basi shindaneni kwa mambo ya kheri. Kwa Mwenyezi Mungu ndio marejeo yenu nyote, na atakuja kuwaambieni yale mliyo kuwa mkikhitalifiana.
 
We Kafiri Hii Hapa Mnafata Nani...?
Au sio Biblia hii Mchungaji Anaitumia kubariki Ndoa ya Mashoga..View attachment 2121224
JE UKRISTO NI USHOGA NA BIBLIA INASEMAJE KUHUSU USHOGA.

Mwanzo nitangulie kwa kusema nimesoma vitabu vingi sana ila sijawahi kuona kitabu kinachopinga ushoga kama Biblia

na kwa sababu biblia ndio kweli juu ya yote na haijaacha kitu hicho kimeshasemwa tayari na kikapingwa kwa nguvu zote .

“Tena mtu mume akilala pamoja na mtu mume, kama alalavyo na mtu mke, wote wawili wamefanya machukizo; hakika watauawa; damu yao itakuwa juu yao.”
— Mambo ya Walawi 20:13 (Biblia Takatifu)

“na wazinifu, na wafiraji, na waibao watu, na waongo, nao waapao kwa uongo; na likiwapo neno lo lote linginelo lisilopatana na mafundisho yenye uzima;”
— 1 Timotheo 1:10 (Biblia Takatifu)

“Au hamjui ya kuwa wadhalimu hawataurithi ufalme wa Mungu? Msidanganyike; waasherati hawataurithi ufalme wa Mungu, wala waabudu sanamu, wala wazinzi, wala wafiraji, wala walawiti,”
— 1 Wakorintho 6:9 (Biblia Takatifu)

Warumi 1 (Biblia Takatifu)
¯¯¯¯¯¯¯¯¯¯
²⁶ Hivyo Mungu aliwaacha wafuate tamaa zao za aibu, hata wanawake wakabadili matumizi ya asili kwa matumizi yasiyo ya asili;
²⁷ wanaume nao vivyo hivyo waliyaacha matumizi ya mke, ya asili, wakawakiana tamaa, wanaume wakiyatenda yasiyopasa, wakapata nafsini mwao malipo ya upotevu wao yaliyo haki yao.
²⁸ Na kama walivyokataa kuwa na Mungu katika fahamu zao, Mungu aliwaacha wafuate akili zao zisizofaa, wayafanye yasiyowapasa.

Lakini kwanini watu wanafanya hii inatokana na tamaa zao binafsi na Mungu amewaacha ili siku moja makazi yao yawe kule kwenye ziwa liwakalo moto usiku na mchana

“Bali waoga, na wasioamini, na wachukizao, na wauaji, na wazinzi, na wachawi, na hao waabuduo sanamu, na waongo wote, sehemu yao ni katika lile ziwa liwakalo moto na kiberiti. Hii ndiyo mauti ya pili.”
— Ufunuo wa Yohana 21:8 (Biblia Takatifu)

Mbarikiwe
 
Kwa mchango wako unamaanisha Majini walikuwa Waislamu kabla ya Adam na Hawa.

Swali la kwanza,
Je taratibu za Kiibada za Kiislamu zilikuwaje ?

Swali la pili
Mtume wa Majini alikuwa nani ?

Swali la tatu,
Huyo Mtume wa Kiislamu alikuwa anatumia mafundisho ya Kitabu gani ?
Swali lako la pili unauliza kuwa mtume wa Majini alikuwa nani...

Mwenyezi Mungu anakujibu

Quran 35:

24. Hakika Sisi tumekutuma wewe kwa Haki, kuwa ni mbashiri na mwonyaji. Na hapana umma wowote ila ulipata mwonyaji kati yao.
25. Na wakikukanusha basi walikwisha wakanusha walio kuwa kabla yao. Mitume wao waliwajia kwa dalili wazi wazi na kwa maandiko na Kitabu chenye nuru.
26. Kisha nikawakamata walio kufuru. Basi kuchukia kwangu kulikuwaje?

Mwenyezi Mungu anasema kuwa hakuna Umma (taifa) lolote ila aliupelekea Mwonyaji kati yao. Yaani kabla ya mwanadam kuumbwa. Majini waliishi juu ya mgongo wa ardhi hii na walifanya ufisadi mkubwa sana , ila Mungu aliwaletea waonyaji waliotoka miongoni mwao wakiwaonya kuwa Wamuabudu Mungu mmoja tu.

So waonyaji wa majini kabla ya mwanadam kuumbwa walikuwa ni majini wenzao, baada ya kuja mwanadamu na kupewa utawala katila ardhi hii.

Waonyaji wa majini na binadamu ...wamekuwa ni binadam. So Mtume wa majini kipindi cha Tawrat alikuwa ni Mussa. Mtume wa majini kipindi cha zaburi inateremka alikuwa ni Daudi kisha mwanawe suleymani, kipindi cha injili inateremka Mtume wa wanadam na majini wa kipindi hicho alikuwa ni Issa (,Yesu) mwana wa mariamu na kipindi cha Quran inateremka mtume wa binadamu na majini alikuwa ni Mtume Muhammad s.a.w
 
Kafiri Unaelewa Vizuri Tu Ila Unajibebisha [emoji851][emoji851]

Kwaiyo hapo Unaifuta Ile Hadithi Yako fake uliyoa angaika nayo kuanzia jana [emoji2957][emoji2957]

LAZIMA TUKEMEE HUU UCHAFU WENU HUKO MAKANISANIView attachment 2121255
The following verse is believed to have permitted Muta:

O ye who believe! Forbid not the good things which Allah hath made lawful for you, and transgress not, Lo! Allah loveth not transgressors. S. 5:87 Pickthall

The hadith states:

Narrated Abdullah:

We used to participate in the holy battles led by Allah's Apostle and we had nothing (no wives) with us. So we said, "Shall we get ourselves castrated?" He forbade us that and then allowed us to marry women with a temporary contract AND RECITED TO US: -- ‘O you who believe! Make not unlawful the good things which Allah has made lawful for you, but commit no transgression.’ (5.87) (Sahih al-Bukhari, Volume 7, Book 62, Number 13o)

And forbidden to you are married women, except such as your right hands possess. This has ALLAH enjoined on you. And allowed to you are those beyond that, that you may seek them by means of your property, marrying them properly and not committing fornication. And for the benefit you receive from them, give them their dowries, as fixed, and there is no blame on you what you do by mutual agreement after the fixing of the dowry. Surely ALLAH is All-Knowing, Wise. Sher Ali. (Surah 4:24)

Noted Sunni commentator Ibn Kathir commented on the above text and claimed that:

"... (4:21): the general meaning of which was given as evidence for Mut'a Marriage (Marriage for an intended short time) which was, undoubtedly, PREVALENT at the onset of Islam, but was abrogated thereafter. Ash-Shafi'i and a group of scholars were of the opinion that Mut'a Marriage had once been permitted but was later invalidated on two occasions. Some were more assertive than that, while others have made it lawful only if necessary. The majority of scholars, however, have opposed this view. The correct statement is mentioned in Sahih Al-Bukhari and Sahih Muslim, on the authority of Ali Ibn Abu Talib: ‘The Prophet forbade Mut'a Marriage and the meat of local skylarks (a type of bird) on the Day of Khaibar.’

"It is narrated in Sahih Muslim, on the authority of Ar-Rabi' Ibn Sabrah Ibn Ma'bad Al-Juhani, who had quoted from his father, who had participated in the Conquest of Makkah with the Prophet who said: 'O, People! I have permitted you to do Mut'a Marriage and Allah has forbidden it until the Day of Judgment. Therefore, whosoever is married to a woman through this type of marriage, should release them and should not take anything back from Mahr you have given them.' According to Muslim, it was said during Hujjatal Wadaa' (Farewell Pilgrimage). This Hadith has other meanings in the Book of Al-Ahkaam." (Tafsir Ibn Kathir, abridged by Sheikh Muhammad Nasib Ar-Rafa'i [Al-Firdous Ltd., London; First edition 2000], part 5, pp. 29-30 underline and capital emphasis ours)
 
Toka wanaadamu waumbwe, ALLAH amekwisha teremsha vitabu vitukufu vinne navyo ni Tawrat, Zaburi, injili na mwisho ni Quran.

Kabla ya Mussa kulikuwa na Mitume kama Ibrahim, ishaq, ismael, Nuh,Yaqub n.k hawa walikuwa na marejeo yao yaliyojulikana kama Suhufi. Dini ilikuwa ni ile ile ya uislam (Muabudu Mungu mmoja bila ya kumshirikisha na chochote (yeyote)) aka monotheism.

Mwenyezi Mungu anasema hayo kupitia

Quran 5: 48

Na tumekuteremshia wewe, kwa haki, Kitabu hichi kinacho sadikisha yaliyo kuwa kabla yake katika Vitabu na kuyalinda. Basi hukumu baina yao kwa aliyo yateremsha Mwenyezi Mungu, wala usifuate matamanio yao ukaacha Haki iliyo kujia. Kila mmoja katika nyinyi tumemwekea sharia yake na njia yake. Na lau kuwa Mwenyezi Mungu angeli taka ange kufanyeni nyote umma mmoja, lakini ni kukujaribuni kwa aliyo kupeni. Basi shindaneni kwa mambo ya kheri. Kwa Mwenyezi Mungu ndio marejeo yenu nyote, na atakuja kuwaambieni yale mliyo kuwa mkikhitalifiana.
Hujajibu kabisa maswali yangu niliyokuuliza.

Unataka kusema Musa na Ibrahimu walikuwa Mitume wa Majini pia kama Muhammadi?

Unataka kusema Majini nao walitumia mafundisho ya Vitabu vya Torati na Zaburi na Injiri ?
 
Hoja zisizo na mashiko kbs. Hao wenye dini yao wana wake 3-4 lakini wanachepuka na migogoro ya kindoa haijawahi kuwaacha salama, tamaa ya kuchepuka ni tamaa za mtu mwenyewe haziwezi kuzuiwa kwa kuwa na wake 4.
Unajua kuwa ili uweze kumpa talaka mke kwa mujibu wa dini hiyo unatakiwa uwakute ktk hali gani au unasema tu? Umfumanie mkea na mgoni wako kisu kipo alani yani nyama ndani ya nyama halafu uwe na mashahidi kuanzia 3 watakaokuwa wameona. Jiulize hao wafumaniwa watakuwa wana do bila kufunga mlango ili ukikute kisu alani?
DINI MIRADI YA WAJANJA WALIOTUTANGULI ili kuitawala dunia na kutufanya mambumbu hakuna cha dini ya haki wala halali zote kufunikana tu akili.
 
Uislamu ulikuwepo kabla ya Mtume Muhammad s.a.w.... Uislam ulikuwepo kabla hata Adam hajaumbwa, Uislam maana yake ni kujisalimisha na kumpwekesha Mungu mmoja tu pas na kumshirikisha na chochote kile.

Mwenyezi Mungu anasema kuwa hakuwaumba Majini na binadamu isipokuwa kwa lengo moja tu la kumuabudu YEYE.

Majini waliumbwa miaka mingi kabla ya binadamu so uislam ulikuwepo kabla ya ujio wa binadamu kwenye uso wa ardhi.
Uislamu ulikuwepo kabla ya Muhamad una akili sawa kweli kijana

Kwa mchango wako unamaanisha Majini walikuwa Waislamu kabla ya Adam na Hawa.

Swali la kwanza,
Je taratibu za Kiibada za Kiislamu zilikuwaje ?

Swali la pili
Mtume wa Majini alikuwa nani ?

Swali la tatu,
Huyo Mtume wa Kiislamu alikuwa anatumia mafundisho ya Kitabu gani ?
Swali lako la tatu linahusu kitabu kilichotumiwa na Mtume..

Jibu ni kuwa sio kila Nabii au Mtume alishushiwa kitabu. Wapo walioshushiwa vitabu kama Musa, Daud,Issa na Muhammad na wapo wengine hawakushiwa ila walikuwa wakitumia vitabu vya mtume aliyetangulia...mfano mitume ya kizazi cha wana wa israel yote ilitumia Tawrat kama kitabu chao kikuu cha sheria japo mitume hii ilikuwa ikipata maelekezo kupitia ufunuo kutoka kwa Mungu. Na kila umma ulikuwa na sheria zake...mfano wayahudi kipindi cha Musa waliharamishiwa kula vyakula vingi vizuri kutokana tu na ukaidi wao ila wakati wa injili vyakula vingi walivyoharamishiwa wakaruhusiwa kuvila ( sio nguruwe) .

So Mitume ilikuwa ikifuata sheria kuu japo mafundisho kati ya mtume na mtume yalikuwa yanatofautiana kutokana na vile Mungu alivyotaka.

Kwa majini kadhalika, Mitume yao nayo ilikuwa ikipata ufunuo kutoka kwa Mungu kupitia kwa malaika mkuu Jibril (Gabriel).
 
Back
Top Bottom