Huyu ni mwanamke Muhammad anatoa order apigwe , baada ya hapa allah akashusha aya ya wanawake kupigwaBiblia inasema hivi
Mithali 20:30
Machubuko ya fimbo husafisha uovu,
Na mapigo hufikia ndani ya mtima.
Huyu ni mwanamke Muhammad anatoa order apigwe , baada ya hapa allah akashusha aya ya wanawake kupigwa
Kwa nini Muhammad anaruhusu wanawake wapewe kipondo? na hasemi chochote kuhusu mwanaume akikosea mwanamke amfanyaje?
- Do not beat Allah's handmaidens, but when Umar came to Muhammad and said: Women have become emboldened towards their husbands, Muhammad gave permission to beat them.....Sunan Abi Dawud 2146
Quran 2:78-79Unapo ongea weka na nukuu , umesema vitabu vilikuwepo vikawekwa mikono , hili unabidi ueleze kwa undani kwanza ulete ambacho akina mikono na ulete chenye mikono
Mfano leta hivi vitabu vya allah unavyovitaj Torati ya allah , Zaburi ya Allah na Injili ya Allah
weka original na weka iliyotiwa mikono nasubiri
Issue ipo kwa Allah kutamka wanawake wapigwe , na hakujihusisha kabisa na wanaume wakikosea wafanywajeQuran inasema hivi
4:34 Wanaume ni wasimamizi wa wanawake, kwa kufadhiliwa na Mwenyezi Mungu baadhi yao juu ya baadhi, na kwa mali yao wanayo yatoa. Basi wanawake wema ni wale wenye kut'ii na wanao jilinda hata katika siri kwa kuwa Mwenyezi Mungu ameamrisha wajilinde. Na ambao mnachelea kutoka katika ut'iifu wanasihini, muwahame katika malazi na wapigeni. Wakikut'iini msiwatafutie njia ya kuwaudhi bure. Hakika Mwenyezi Mungu ndiye aliye juu na Mkuu.
4:35 Na mkichelea kutakuwapo mfarakano baina ya mke na mume basi pelekeni muamuzi kutokana na jamaa za mume, na muamuzi kutokana na jamaa za mke. Wakitaka mapatano Mwenyezi Mungu atawawezesha. Hakika Mwenyezi Mungu ni Mjuzi Mwenye khabari.
Kati ya ivi vitabu Torati ya allah , Zaburi ya Allah na Injili ya Allah na Koran vipi vimetangulia?Quran 2:78-79
Mwanaume haongozwi na mwanamke...Dini ya uislam ishaweka hivyo na itabaki kuwa hivyo. Mwanaume ni mchungaji wa familia yake (mke na watoto) wanapokosea yeye ndie hutoa discipline.Issue ipo kwa Allah kutamka wanawake wapigwe , na hakujihusisha kabisa na wanaume wakikosea wafanywaje
- Issue ilikuwa baada ya muhammad kuruhusu wanawake wapigwe, wanawake wakaandaman mpaka kwa muhammad kumlalamikia kwa nini kasema wapigwe, muhammad akawaambie wale ambao walikuja wakilalamika kupigwa sio wanawake bora,
- Do not beat Allah's handmaidens, but when Umar came to Muhammad and said: Women have become emboldened towards their husbands, Muhammad gave permission to beat them.....Sunan Abi Dawud 2146
Hili la kusema uislamu ulikuwepo hakuna anae weza kuthibitisha
Hakuna historia yoyote inayo support uwepo wa uislamu kabla ya Muhammad, wote hao mitume wa allah toka adamu, musa , sijui daudi mara issa hakuna hata mmoja kaacha ata sura moja ya kitabu chake , vitabu vyao vyote havijulikani vinatajwa tu na koran kwamba vilikuwepo
Mwanamke haanzi kupigwa tu...dhumuni la kuoa mwanamke ni kuwa amtii mumewe. Ndoa ni uskivu na utiifu...ikiwa mwanamke ni mkaidi hataki kukuskiliza
Kwanza anapewa nasaha
Pili ikiwa mume amemnasihi na bado hataki kumsikiliza wala kumtii, inatakiwa umuhame kitanda yaani usilale nae
Tatu ,ikiwa bado anaendelea na ukaidi, sio mtiifu hapa unatakiwa umpe discipline kidogo pigo ambalo sio la kuhatarisha uhai wake.
Kama Biblia inavyosema kwenye kitabu cha Mithali 20:30
"Mapigo na majeraha huusafisha ubaya, nayo michapo hutakasa utu wa ndani."
Imeanza Torati aliyopewa MusaKati ya ivi vitabu Torati ya allah , Zaburi ya Allah na Injili ya Allah na Koran vipi vimetangulia?
Ni vizuri umekiri mwanamke kwa usilamu ni kama mfugo, mwanaume anawafuga na kuwapiga, hilo tumemalizaMwanaume haongozwi na mwanamke...Dini ya uislam ishaweka hivyo na itabaki kuwa hivyo. Mwanaume ni mchungaji wa familia yake (mke na watoto) wanapokosea yeye ndie hutoa discipline.
Hakuna mfugaji anaongozwa na mifugo yake.upo!
Haya leta hivyo vitabu sura moja moja kila kimojaImeanza Torati aliyopewa Musa
Ikafuata zaburi aliyopewa Dawoud
Kisha ikaja injili aliyopewa Issa( Yesu) mwana wa mariam
Na mwiso ikaja Quran aliyoteremshiwa Muhammad
Biblia inafundisha kuwa ukimuoa mwanamke halafu hukumkuta BIKRA basi inatakiwa mwanamke huyo APIGWE MAWE NA WANAUME WOTE WA MJI HUO MPAKA AFE
- Hilo pigo ambalo sio la kuhatarisha uhai tukubali ni wewe unaongezea kwenye koran maana imeandikwa apewe kipigo haijasema cha namna gani
- Allah pia hajasema kama mwanaume atamkosea mwanamke , mwanamke atoe adhabu gani ilo kakaa kimya kabisa kwa nini?
Una akili timamu kweli yaani kitu halisi kilishapotea halafu unataka nikuletee kama kilivyokuwa!!! Maandiko yaliyobaki katika uhalisia wake ni Quran tu..itafute uisomeHaya leta hivyo vitabu sura moja moja kila kimoja
weka nakala halisi ilivyo shushwa na allah na kilichotiwa mikono
Jadili hili kwanza ndio urudi kwenye toratiBiblia inafundisha kuwa ukimuoa mwanamke halafu hukumkuta BIKRA basi inatakiwa mwanamke huyo APIGWE MAWE NA WANAUME WOTE WA MJI HUO MPAKA AFE
Kumbukumbu la Torati22:
20 Lakini likiwa ni kweli neno hili, la kutoonekana kwake yule kijana alama za ubikira;
21 na wamtoe nje yule kijana mlangoni pa nyumba ya baba yake, na waume wa mji wake wampige kwa mawe hata afe; kwa vile alivyofanya upumbavu katika Israeli, kwa kufanya ukahaba katika nyumba ya baba yake; ndivyo utakavyoondoa uovu katikati yako.
Ndio maana nataka mdahalo na watu makiniUna akili timamu kweli yaani kitu halisi kilishapotea halafu unataka nikuletee kama kilivyokuwa!!! Maandiko yaliyobaki katika uhalisia wake ni Quran tu..itafute uisome
Napo debate na wewe unatakiwa uwe umesoma dini yako na unaelewa, hakuna free will kwa Allah , allah ameweka kila kitu kabla hujazaliwaUsimsingizie ALLAH uongo...hakuna kiumbe muovu ulimwenguni kama mwenye kumzulia uongo Mwenyezi Mungu. Watch out kid.
Ni hivi Wanaadamu na Majini wote tumepewa nafsi zenye free will (uamuzi wa kufanya mema au mabaya).
Mwenyezi Mungu ametakasika juu ya dhulma.Infact amejiharamishia dhulma.Hadhulumu waja wake ila sisi waje ndio wenye kujidhulumu wenyewe.
Iblis l.a kama kiumbe wa ALLAH hakushurutishwa kufanya dhambi ya kumgomea amri ya Mungu, juu ya kumsujudia Adam. IBLIS kwa utashi wa akili na nafsi yake alichagua uasi badala ya utii.
Kinachokuchanganya ni uwezo wa ALLAH kujua what will happen next.ALLAH ana elimu juu ya kila kitu kilichotokea, kinachotokea na kitakachotokea. Hasinzii wala halali, yupo macho muda wote anaangalia yanayoendelea katika ulimwengu huu wa fujo. Iblis kabla ya kuasi ALLAH alishajua kuwa atakuja tu kuasi na baada ya kuasi na kumshawishi Adam kula tunda nini kitakuja kutokea. Infact licha ya kuwa tumepewa free will kuchagua kutenda mema au mabaya bado Mwenyezi Mungu anajua machaguzi tutakayoyachagua hapa duniani na yapi mafikio yetu baada ya machaguzi haya.
Allah amekamilika kimajina, kisifa na kiutendaji ametakasika dhidi ya sifa zote za upungufu.Napo debate na wewe unatakiwa uwe umesoma dini yako na unaelewa, hakuna free will kwa Allah , allah ameweka kila kitu kabla hujazaliwa
wewe ni wa mtoni au janah kashaandika ata ufanyeje huwezi badili
- Hadith inaweka wazi malaika ukiwa tumboni anakuandikia wewe ni wa motoni au Janah
- ....Allah sends an angel and orders him to write four things, i.e., his provision, his age, and whether he will be of the wretched or the blessed (in the Hereafter). Then the soul is breathed into him. And by Allah, a person among you (or a man) may do deeds of the people of the Fire till there is only a cubit or an arm-breadth distance between him and the Fire, but then that writing (which Allah has ordered the angel to write) precedes, and he does the deeds of the people of Paradise and enters it; and a man may do the deeds of the people of Paradise till there is only a cubit or two between him and Paradise, and then that writing precedes and he does the deeds of the people of the Fire and enters it." Sahih al-Bukhari 6594
- Kuna kisa Al Khidr alimuua Mtoto wa kiume , Muhammad kaelezea wazi huyu mtoto alipangiwa na Allah atakuwa Kafir, allah alimpangia atakuwa Kafir na akapanga auliwe kwa sababu kampangia hivyo, na dogo akachinjwa kikatili
- Koran 18:80. Na ama yule kijana, wazazi wake walikuwa ni Waumini. Tukakhofu asije watia mashakani kwa uasi na ukafiri.
- Prophet (ﷺ) said: "The boy that Al-Khidr killed was destined to be a disbeliever the day he was created.'" Jami` at-Tirmidhi 3150
- Kuna msiba ulitokea wa mtoto mchanga kafariki aisha akamwambia muhammad huyu mtoto anaenda mbinguni, Muhammad akasema Si hivyo , Allah ameumba wa motoni na wa janah kabla hawajazaliwa
- ....Muhammad says ..God has created some to go to paradise, doing so when they were still in their fathers’ loins; and He has created others for hell, doing so when they were still in their fathers’ loins.” Mishkat al-Masabih 84
Hawezi kuwa Mungu ikiwa hajui mambo yatakayotokea mbeleni, Ameziumba nafsi na nafsi zote zilikiri kuwa ALLAH ndie mola wetu.Napo debate na wewe unatakiwa uwe umesoma dini yako na unaelewa, hakuna free will kwa Allah , allah ameweka kila kitu kabla hujazaliwa